jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,323
Ok!Toka corona ianze ni miezi minne sasa, serkali inajiendesha

Umasikini, ujinga na maradhi ndio adui wa taifa letu.shika iko wapi sasa hapo?kabwe na Tundu lissu si mlisema tutashitakiwa?kama wameanza kulipa si ni faida kwetu na ushindi wetu ni halali.tafuteni lingine
Profesa wa jalalani huyo kawezesha mzigoKama ni kweli nafikiri sio mbaya kutumia mbadala kuliko kukopa tena. Hongera kwa waliowezesha hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ndio tiketi ya kuwapeleka ikulu!Mapato ya Serikali ya Mwezi Mei balaa sana sababu ya #COVID19TZA. Baada ya malipo ya kuhudumia Deni la Taifa ( debt service ), Mapato yote yanayobaki hayatoshi kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma ( TZS 576 Bilioni). Kwa Mwezi huu imebidi Serikali ichukue za Barrick $100m
Pia soma > Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa
Mapato ya Serikali ya Mwezi Mei balaa sana sababu ya #COVID19TZA. Baada ya malipo ya kuhudumia Deni la Taifa ( debt service ), Mapato yote yanayobaki hayatoshi kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma ( TZS 576 Bilioni). Kwa Mwezi huu imebidi Serikali ichukue za Barrick $100m
Pia soma > Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa
[/QUOTE
Mchawi utamtambua tu!! Hufurahia na kushikia bango habari mbaya!!
Zytoh mpuuzi mpuzeni!
Yaani wewe upige picha na mabeberu ukishika mfano wa hundi usideke afu Zitto ambaye hayupo pichani awe anadeka.Huyo zito anawadekea Mabeberu
Msifie jiwe aliye tafuna trilioni 1.5Ulitaka nimsifie Mbowe kwa kutafuna bilion 8?
Kwa sie tunaodrive central line kutoka Dar to bara ni shida aisee yaani ukifika Kibamba tu unapunguza na kuanza kutembea 50km/h ujue kutwa nzima utatembea hivyo muda mwingi hadi jua lizame! Vinginevyo ikiwa utaamua kufunika basi uandae kama ka 70 hivi stdby.... At least ukifika Nzega huko angalau unaweza nyoosha mguu kidogoSasa naanza kuelewa kwanini trafik wako barabarani na faini kwa kwenda mbele. Hata siku za sikukuu, wamejaa kukusanya ushuru wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sie tunaodrive central line kutoka Dar to bara ni shida aisee yaani ukifika Kibamba tu unapunguza na kuanza kutembea 50km/h ujue kutwa nzima utatembea hivyo muda mwingi hadi jua lizame! Kidogo hawa hapa..!..... Kidogo hawa hapa! Yaani kama una ugonjwa wa moyo ni taabu.. Vinginevyo ikiwa utaamua kufunika basi uandae kama ka 70 hivi stdby.... At least ukifika Nzega huko angalau unaweza nyoosha mguu kidogoSasa naanza kuelewa kwanini trafik wako barabarani na faini kwa kwenda mbele. Hata siku za sikukuu, wamejaa kukusanya ushuru wao.

Aiseeeee !!!!Mapato ya Serikali ya Mwezi Mei balaa sana sababu ya #COVID19TZA. Baada ya malipo ya kuhudumia Deni la Taifa ( debt service ), Mapato yote yanayobaki hayatoshi kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma ( TZS 576 Bilioni). Kwa Mwezi huu imebidi Serikali ichukue za Barrick $100m
Pia soma > Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa
Si tulichukua maamuzi ya kulinda uchumi kuliko maisha kwa hatua tulizochukua katika kupambana na coronavirus, sasa haya yanatoka wapi?Sasa Zitto anatakaje? Korona ni janga la kila nchi, mwaka huu lengo ni ku-survive tu, kama pesa iko Barrick au kokote ichukuliwe tu. We are where we are, kuilaumu serikali hapa ni kukosa huruma kwa wananchi