Zitto: Mapato ya mwezi Mei hayatoshi kulipa mishahara, Serikali imeamua kukubali kulipwa USD mil 100 ya Acacia na iliyosalia kwa awamu hadi miaka 5

shika iko wapi sasa hapo?kabwe na Tundu lissu si mlisema tutashitakiwa?kama wameanza kulipa si ni faida kwetu na ushindi wetu ni halali.tafuteni lingine
Umasikini, ujinga na maradhi ndio adui wa taifa letu.
Nimenong'onezwa "na mwingine ni ccm"
 
Sasa anajua kabisa tatizo ni Nini afu anatueleza ili iweje ZITTO ni F.ALA sana
 
Mapato ya Serikali ya Mwezi Mei balaa sana sababu ya #COVID19TZA. Baada ya malipo ya kuhudumia Deni la Taifa ( debt service ), Mapato yote yanayobaki hayatoshi kulipa mishahara ya Watumishi wa Umma ( TZS 576 Bilioni). Kwa Mwezi huu imebidi Serikali ichukue za Barrick $100m

Pia soma > Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa
[/QUOTE
Mchawi utamtambua tu!! Hufurahia na kushikia bango habari mbaya!!
Zytoh mpuuzi mpuzeni!
 
Mshahara wa mwezi Mei umetoka tangu tarehe 22...Arcacia wamefanya mali jana...!hiyo habari ya Serikali imeshindwa kulipa mishahara ya Mei inatoka wapi?

Zito anakuwaga na ujinga mwingi sana sometime...!
 
Sasa naanza kuelewa kwanini trafik wako barabarani na faini kwa kwenda mbele. Hata siku za sikukuu, wamejaa kukusanya ushuru wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sie tunaodrive central line kutoka Dar to bara ni shida aisee yaani ukifika Kibamba tu unapunguza na kuanza kutembea 50km/h ujue kutwa nzima utatembea hivyo muda mwingi hadi jua lizame! Vinginevyo ikiwa utaamua kufunika basi uandae kama ka 70 hivi stdby.... At least ukifika Nzega huko angalau unaweza nyoosha mguu kidogo
 
Sasa naanza kuelewa kwanini trafik wako barabarani na faini kwa kwenda mbele. Hata siku za sikukuu, wamejaa kukusanya ushuru wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sie tunaodrive central line kutoka Dar to bara ni shida aisee yaani ukifika Kibamba tu unapunguza na kuanza kutembea 50km/h ujue kutwa nzima utatembea hivyo muda mwingi hadi jua lizame! Kidogo hawa hapa..!..... Kidogo hawa hapa! Yaani kama una ugonjwa wa moyo ni taabu.. Vinginevyo ikiwa utaamua kufunika basi uandae kama ka 70 hivi stdby.... At least ukifika Nzega huko angalau unaweza nyoosha mguu kidogo
 
Zito hana mwelekeo tena siku hizi. Amekuwa shabiki wa kulaumu serikali bila hata kuangalia pa kulaumu. Mtu huyu aliwahi kutoa mapendekezo kuwa serikali ifunge nchi (lockdowna) halafu wape watu hela za kujikimu bila hata kusema serikali ingezitoa wapi hela hizo. Kuna thread yake hapa iwapo kuna wanaotaka kujua alisemaje pale mwanzo. Serikali ina mambo ya kulaumiwa lakini suiyo haya ambayo jamaa hawa wanaleta hapa kile siku.
 
Sasa Zitto anatakaje? Korona ni janga la kila nchi, mwaka huu lengo ni ku-survive tu, kama pesa iko Barrick au kokote ichukuliwe tu. We are where we are, kuilaumu serikali hapa ni kukosa huruma kwa wananchi
Si tulichukua maamuzi ya kulinda uchumi kuliko maisha kwa hatua tulizochukua katika kupambana na coronavirus, sasa haya yanatoka wapi?

Anyway, utanisamehe kama wewe si mwimba mapambio, lakini tumesoma mengi hapa JF kuhusu uhalali wa maamuzi hayo.

Na kama asemayo Zitto ni kweli, basi tupo kwenye ngazi hatarishi. Baada ya hapa itakuwa kushindwa kuhudumia deni?
 
Back
Top Bottom