Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,468
Kwa hilo s
Kwa hilo sikubaliani nalo kwani Mheshimiwa sana ni msomi mzuri tu na anauelewa mzuri tu. Ila anayafanya haya yote ili kudescredit serikali ya JMT kwa kutomtambua kama ilivyokuwa kwa awamu zilizopita. Nadhani inamuuma zaidi pale ambapo anaona serikali inampuuza kwa kutomjibu au kulumbana naye. Bahati mbaya huu ni mwaka wa uchaguzi na ifikapo mwezi November tutaona nani amevuna nini.