mwongoza mdahalo ameanza na swali la kwanza tuko gizani tunaelekea miaka 50 ya uhuru je tumefikaje hapa!
anataka jibu changieni zitto ndo amepewa nafasi ya kwanza
Zitto: Tangu 92 njia zetu za uzalishaji hazijabadilika na kuna tatizo pia la mikataba.....Tanesco haikuwekeza kwa miaka 10 1996-2006 sbb liliwekwa kwenye orodha ya kubinafsishwa
Mdahalo wa nishati na Tanzania tunayoitaka ndio umeanza lkn ktk hali ya kushangaza wizara husika haijatuma mwakilishi huku mkurugenzi wa Tanesco akituma mwakilishi tofauti na ilivyotarajiwa kwamba angekuwepo mwenyewe. Sasa anaongea Zitto
Zito ameanza vizuri nitaendeleza palepale, ukuaji wa uchumi uende sambamba na upatikanaji wa umeme, hakuna kitu kikubwa kama planning kwenye umeme, mahitaji ya umeme yachukue sura ya ukuaji wa uchumi - hilo halikutokea . J Makamba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.