Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

hivi hii midahalo inatusaidia nini sisi ambao tunaathirika na danadana za umeme? hata wahusika kama katibu wa wizara na hata msemaji wa tanesco kuliko hawa ''vijana'' ambao wanatafuta umaarufu kwenye shida za watu????? they cant be serious wanasiasa? hawa watatusaidia nini? kama ni mdahalo ufanyike kati ya wataalam na wananchi naona wote wanajikanyagakanyaga wanatajanatajana ...... eti naomba nindelee pale alipoishia mwenzangu........... wanapokezana kwani hii ngonjera, wasitupumbaze tunataka umeme blah! blah! za wanasiasa. naona ''vijana'' wamekuwa walimu wa historia ya umeme hawatupi solution ooh sijui watu wamezungumza tupen fact damn it??!! *'&@*&!
 
sijawahi ona mdahalo unaboa kama huu,zito na january ni kama wametumwa kuongea pale,sioni tofauti ya zito na january,nimekubali zito yupo kwenye payrol ya ccm,nimezima tv
 
sijawahi ona mdahalo unaboa kama huu,zito na january ni kama wametumwa kuongea pale,sioni tofauti ya zito na january,nimekubali zito yupo kwenye payrol ya ccm,nimezima tv

Umeona ee?? huu mdahalo wa leo unaboa
 
Poor planning itatatuliwa na nani? Tuache kuainisha matatizo, lazima tu comeup na solution- zito, tanesco pekee hatufikishi kwenye tanzania tuitakayo, tanesco igawanye - J Makamba
 
sijawahi ona mdahalo unaboa kama huu,zito na january ni kama wametumwa kuongea pale,sioni tofauti ya zito na january,nimekubali zito yupo kwenye payrol ya ccm,nimezima tv

naona we una negative altitude na Zito. kwakweli naona wanaenda vizuri ni umakini wako ndio unaotakiwa.
 
Kufanya midahalo ni sehemu ya kazi yao, kwa kupitia midahalo tunapata taarifa nyingi. Kumbuka Kipindi kiko usiku ni baada ya kazi ya mchana kutwa na hapa wanapata nafasi ya kutuharifu, vilevile wataulizwa maswali na muandaaji wa huu mdahalo... Ni kwanjia ya midahalo hii ndo tumeweza kujua mambo mengi.

KUJUA MAMBO MENGI MAPYA USIYOYAJUA HAPO KTK HAYO WANAYOSEMA???? TUMEKUWA TUKISIKIA SIJUI MCHUCHUMA, LIGANGA THAT'S BULLSHIT WE NEED UMEME, SIKU NYINGINE USISHABIKIE UCHAPATI ETI UNAJIFUNZA??? UNAJIFUNZA MY A***
 
Mzee wa tanesco anachemka vibaya anaogopa kugusia dowans eti kesi ipo mahakamani.
 
huyu jamaa wa Tanesco wamemuokota wapi? mbona anajiumauma tu hata hajibu maswali
 
hivi kweli zito na makamba ndo wabunge wa kupigiwa mfano pekee ambao wanachambua matatizo ya taifa na ku sugest solutions.? (kwenye mdahalo *tv)kama anavyodai zito? nawaheshmu lakn ni bora wakaacha wengine tukawapima kuliko kujitapa
 
Back
Top Bottom