Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

Msemaji wa Tanesco: Mwaka 1961 kulikuwa ma 40MGW leo ni MGW kama 1200....huyu anasema tunajivunia gridi ya taifa na 2/3 ya mikoa imeungwa kwenye gridi ya taifa
 
Msemaji wa Tanesco: Kazi iliyofanyika kwa miaka 50 ya uhuru ni ya kujivunia
 
Tanesco: wamawekeza kwenye mitambo ya maji sbb ni rahisi kuendesha....sasa hiivi wanahama kwenda kwenye makaa na gas, mafuta n.....anaanza kuorodhesha kiwira, mchuchuma, mtwara nk
 
Huyu wa tanesco ni pumbavu kweli ! Anasema wanampango wa kupeleka umeme vijijini .swali ?wanapeleka umeme ama mgawo?
 
kuna mdahalo unaendelea startv sasa hivi.maada ni;
NISHATI NA TANZANIA TUITAKAYO.
 
Mhmm kweli Tanzania inaongozwa na vipofu na viziwi, hivi kazi ya viongozi ni kufanya midahalo au kutenda kazi zionekane?

Kama si wapuuzi hawa watu basi ni wajinga nadhani mdahalo ungeweza kufanywa na academia na si watendaji! Umeme haupo na wao ndio viongozi mdahalo wanini badala ya kuleta umeme? Enyi Watanzania mtaendelea kuchaguwa hawa viongozi mbumbumbu hadi lini? Viongozi wa tume na uchunguzi na midahalo! Vipi nyie hamuoni aibu kulipwa kwa kodi za Watanzania kufanya kazi msiyoijuwa wala kuiweza?

Kufanya midahalo ni sehemu ya kazi yao, kwa kupitia midahalo tunapata taarifa nyingi. Kumbuka Kipindi kiko usiku ni baada ya kazi ya mchana kutwa na hapa wanapata nafasi ya kutuharifu, vilevile wataulizwa maswali na muandaaji wa huu mdahalo... Ni kwanjia ya midahalo hii ndo tumeweza kujua mambo mengi.
 
Huko nyuma tanesco tuliwekeza sana kwenye umeme wa mitambo ya kutumia maji. Sasa tunaangalia vyanzo vingine. Tatizo la ukame limetuathiri - Bw. William mhando-Tanesco.
 
Tanesco: kuna miradi haijakamilika sbb ya global crisis miradi ilikosa wawekezaji......Mwakitwange anamuuliza pamoja na gridi mbona umeme ni wa mgao?
 
Tansco: ambako hakuna gridi hakuna mgao: Kigoma,kagera,katavi,mwara na ruvma huko hakuna mgao
 
Tanesco: Kwa mikoa isiyo kwenye gridi mgao unasababishwa na ukosefu wa mafuta au vipuri vywa mashine
 
Mwakitwange: Kwann mipango yetu mingi ni ya kutegemea mvua?....Makamba anajibu
 
MAkamba: Umeme wa makaa ya mawe ndio ulioleta mapinduzi kwa nchi za wenzetu, Umeme wa makaa ya mawe ni rahisi zaidi kuliko wa mafuta
 
Aggggrrrr????? huu mjadala umeshaanza kuboa, ni kama vile hoja hazina mjibuji...sbb mwenyekiti anamuuliza makamba tatzo ni nini makaa yasitumike na makamba nae anasema hata yeye hajui.
 
Back
Top Bottom