Zitto, Makamba na mwakilishi wa TANESCO ndani ya mdahalo wa Star Tv

zitto kabwe alikuwa nani aliposimamia hoja ya dowans? Alikuwa nani aliposimamia hoja ya buzwagi? Unaweza ukawa waziri kivuli usiwe na ajenda na unaweza kuwa mbunge wa kawaida na ukawa na ajenda na hoja, huyo ndio zitto.
ZZK ni msomi wa uchumi na sheria, mbunge wa muda mrefu mwanaharakati. Anaupeo na uelewa wa kuelezea TANESCO imefikaje ICU
 
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?

Mkullo
tatizo lenu mnatoa hoja hapa kwa kutumia "masaburi" kufikiria. Mhe. Zitto Kabwe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Hesabu za Masahirika ya Umma. Tanesco ni shirika la Umma, ambalo Mhe. Zitto na Kamati yake wanapitia Hesabu zake. Acheni chuki binafsi.
 
Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi

1. Nani kaitisha mdahalo?
2,. Je walimualika Zito au alijialika?
3. Je walialika chadema kuwa wachague mtu na chadema imemchagua zito?
4. Je mdahalo ni lazima awepo waziri kivuli? criteria hii ana iset nani? zito au waandaaji
5. why zito?

kwenye maswala ya energy huwezi ukamfananisha Mnyika na Zito mtu yeyote ambaye hajui uhusika wa zito kwenye nishati lazima aidha kilaza au hajui!

Mnyika ni waziri yes, lakini kwenye upe wa nishati hamfikii Zito..tuseme ukweli

sijawahi kuona article, speech, au swala lolote la kutatua matatizo ya nishati ambayo Mnyika ameishawahi kuweka mezani ..hakuna

in other words output ya Mnyika kwenye energy issues iz zero whether is shadow minister or shallow minister

semeni lingine!

Well said brother!! Whether mawazo yake yaliwahi kufanyiwa kazi au la, that is another case, lakini changamoto ambazo Zitto amekuwa akitoa katika sekta hii ni dhahiri kabisa.
 
watu hapa mnakua kama hamjui madhumuni ya Zitto kisiasa, Zitto anatamani sana nguvu za utawala ambazo CCM wanazo, sasa badala ya kuendeleza mapambano anakua mjinga anasogezwa karibu na CCM bila yeye kujua, huu mtandao wa January Makamba sponsored by Jk, Lowassa, Rostam ndiyo unamfadhili na Zitto huyu version ya 2011.
 
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?

Ukiangalia wajumbe wengine wote wana mahusiano ya moja kwa moja na mambo ya umeme. Hapo ni bora wafanye mabadiliko aende Mnyika ambaye hiyo ni wizara yake na Zitto asubirie siku ya wizara yake apambane na Mkullo

Ni mdahalo maalumu wa watu wa chini, si mawaziri. Zitto Kabwe anaenda kama mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya mashirika ya umma, likiwamo TANESCO. Haendi kama waziri kivuli wa wizara ya fedha na uchumi. Ndiyo maana Mkulo hayumo, Mnyika hayumo, Ngeleja naye hayumo. Hawa ni mawaziri.
 
Kweli hata mimi napendekeza waziri kivuli Mh John Mnyika akapambane na hao,maana ndo waziri kivuli wa wizara hiyo,any way kama kunamtu anajua vigezo vilivyotumika basi atuambie

Zitto aje hapa jamvini aseme ni kwann aende yeye wakati waziri kivuli yupo? Hiki kitakuwa kimbele mbele na uroho wa madaraka. km kwenye midahalo tu anakuwa mroho hv je akipata huo urais si atakuwa anaenda hadi kwenye midahalo ya kata

Ni mdahalo maalumu wa watu wa chini, si mawaziri. Zitto Kabwe anaenda kama mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya mashirika ya umma, likiwamo TANESCO. Haendi kama waziri kivuli wa wizara ya fedha na uchumi. Ndiyo maana Mkulo hayumo, Mnyika hayumo, Ngeleja naye hayumo. Hawa ni mawaziri na si walengwa wa waandaaji wa mdahalo.
 
@Painstruth,
With due respect naomba nitofautiane na wewe. Kama umesoma vizuri michango ya hawa wanaJF utagundua one key question kwamba ni 'vigezo gani vilitumika' kumualika ZITTO na sio Mnyika (waziri kivuli wa wizara ya Nishati). Madai kwamba Mnyika ni mweupe (nadhani ulimaanisha ni mbumbumbu) in comparasion to Zitto yanaweza kuwa na walakini. Ni mweupe kwa vipi? Kuna evidence gani zinazothibitisha haya madai ya weupe wa Mnyika? Ni lini na ni wapi Mnyika amehojiwa kuhusu energy na ikagundulika kuwa ni mweupe? Michango ya Mnyika kuhusu Energy ipo, wasiliana na ofisi za bunge wakupe Hansard.

Kwenye red: uko sahihi kwamba nani kamualika Zitto, na kwa nini Zitto (shadow Finance Minister) na sio Mnyika (Shadow Energy Minister)? Star Tv au waandaji wa huu mdahalo walifikiaje uamuzi wa kuwa na Zitto na sio Mnyika? Kwa bahati nzuri Bongo ni tambarare sana na comments tunazotoa hapa zinatokana na mambo tunayoona mtaani.

Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi

1. Nani kaitisha mdahalo?
2,. Je walimualika Zito au alijialika?
3. Je walialika chadema kuwa wachague mtu na chadema imemchagua zito?

4. Je mdahalo ni lazima awepo waziri kivuli? criteria hii ana iset nani? zito au waandaaji
5. why zito?

kwenye maswala ya energy huwezi ukamfananisha Mnyika na Zito mtu yeyote ambaye hajui uhusika wa zito kwenye nishati lazima aidha kilaza au hajui!

Mnyika ni waziri yes, lakini kwenye upe wa nishati hamfikii Zito..tuseme ukweli

sijawahi kuona article, speech, au swala lolote la kutatua matatizo ya nishati ambayo Mnyika ameishawahi kuweka mezani ..hakuna

in other words output ya Mnyika kwenye energy issues iz zero whether is shadow minister or shallow minister

semeni lingine!
 
Porojo, Porojo, Porojo wakati tunatabika. Nasema acheni UPUMBAVU wadangayika, hakuna jipya hapo msipoteze muda hata kuangali porojo hizo.
 
zitto kabwe alikuwa nani aliposimamia hoja ya dowans? Alikuwa nani aliposimamia hoja ya buzwagi? Unaweza ukawa waziri kivuli usiwe na ajenda na unaweza kuwa mbunge wa kawaida na ukawa na ajenda na hoja, huyo ndio zitto.
ZZK ni msomi wa uchumi na sheria, mbunge wa muda mrefu mwanaharakati. Anaupeo na uelewa wa kuelezea TANESCO imefikaje ICU

Neno msomi nadhani hulijui kabisa, unalitumia tu kama mtu anavyo toilet paper badala ya maji.
 
Ngoja tusubiri huo mdahalo ndipo nitakapotoa comments zangu na ikibidi hata kumwandia E-mail Mh. Zitto kwa hayo atakayo yazungumza kama yatakuwa na mwelekeo wa kujipendekeza kwa JK na kuiponda CDM hapo patachimbika. Lakini jambo kubwa na la msingi Mheshimiwa Mnyika atuambie je anataarifa ya mwaliko huo wa Zitto kuzungumzia wizara ya Nishati na Madini?.
 
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?

Ukiangalia wajumbe wengine wote wana mahusiano ya moja kwa moja na mambo ya umeme. Hapo ni bora wafanye mabadiliko aende Mnyika ambaye hiyo ni wizara yake na Zitto asubirie siku ya wizara yake apambane na Mkullo

Naibu kiongozi wa upinzania.Inawezekana KuB atakua na dharura
 
Ni sifa zipi zimetumika kwa Zitto kuwa ktk huo mdahalo wakati yeye sio waziri kivuli wa nishati na madini?

Ukiangalia wajumbe wengine wote wana mahusiano ya moja kwa moja na mambo ya umeme. Hapo ni bora wafanye mabadiliko aende Mnyika ambaye hiyo ni wizara yake na Zitto asubirie siku ya wizara yake apambane na Mkullo

Kama sijakosea Zitto ni m/kiti wa kamati ya mashirika ya umma ambalo Tanesco wamo pia nilimsikia kwenye bunge akisema shahada yake ya uzamili inahusiana na mambo ya nishati
 
kwani waziri wa nishati na madini atakuwepo??
by the way, Zitto alijikita kwenye madini na nishati long time.........mpaka mafisadi wakamnunulia hummer!!........sorry......sijasema mimi.

Brigitta,
Wewe hauna taarifa sahihi kuhusu Zitto bora ukae pembeni
 
Jamani kwenye 48 Laws of power, kuna principal moja inasema make your enemy your Best friend.so sioni shida yoyote zitto akiwa karibu na magamba, anawastudy hao mapimbi ili ajue weaknesses zao ili ajue jinsi yakudeal nao.Cause huyo january he just rose kwa kubebwa but zitto worked hard his way through. Zitto has enough knowledge about energy.
 
Guys nyie ndio ambao huwa mnaharibu credibility zenu, post zenu zote hazina hoja, hazina ujazo wala haziwezi kumsaidia mtu yeyote zaidi ya majungua ambayo unajua yanapikwa na wajinga fulani fulani hivi

1. Nani kaitisha mdahalo?
2,. Je walimualika Zito au alijialika?
3. Je walialika chadema kuwa wachague mtu na chadema imemchagua zito?
4. Je mdahalo ni lazima awepo waziri kivuli? criteria hii ana iset nani? zito au waandaaji
5. why zito?

kwenye maswala ya energy huwezi ukamfananisha Mnyika na Zito mtu yeyote ambaye hajui uhusika wa zito kwenye nishati lazima aidha kilaza au hajui!

Mnyika ni waziri yes, lakini kwenye upe wa nishati hamfikii Zito..tuseme ukweli

sijawahi kuona article, speech, au swala lolote la kutatua matatizo ya nishati ambayo Mnyika ameishawahi kuweka mezani ..hakuna

in other words output ya Mnyika kwenye energy issues iz zero whether is shadow minister or shallow minister

semeni lingine!
mkuu naungana na wewe. Ninachokiona hapa ni chuki zile zile za siku zote tulizozizoea hapa JF. Kwani huu mjadala ni wa maamuzi? Mbona hamuulizi Geleja kwanini asiwepo? Ukiangalia kwa undani hapo unaweza kujua kitu ambacho wengi wanaopinga Zitto wanachomaanisha. Lakini kwa jamii ya leo hii haitatusaidia hata kidogo. Majungu kila kukicha utafikiri mapenzi kumbe mambo seriuos. Hatutafika popote. hata kwa mijadala tu ambayo kimsingi mimi sioni kama ina maamuzi watu wanaona wivu. kajinyongeni basi. Aghaaa
 
Hii midahalo ndo inatupumbaza huku wananchi tukiendelea kupigika kwa maisha haya yanayoshabihiana na ya jehanamu
 
kwa mimi hata angeenda diwani yeyote angeyakamua magamba. Haf kumbukeni u/kivuli ni u/usio rasmi kwa hiyo unawakilishwa na mtu ambaye sio rasmi
 
Zitto uraisi 2015, unamtesa kama swaiba wake Lowassa. Anaforce awe juu ya CDM mbele ya jamii.
 
Kweli hata mimi napendekeza waziri kivuli Mh John Mnyika akapambane na hao,maana ndo waziri kivuli wa wizara hiyo,any way kama kunamtu anajua vigezo vilivyotumika basi atuambie

Kama huo mdahalo walilenga wanasiasa basi john mnyika ilikuwa ndio nafasi yake. Hakuna sababu za zitto kuwepo kwenye mdahalo kwa upande mmoja huku upande wa pili akiwepo january makamba.

Lakini kama waliwachagua kwa mtazamo tofauti basi tusubiri hiyo jumapili.
 
Back
Top Bottom