Ryaro wa Ryaro1233
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 353
- 883
Bhatuambie Bhukweli....Kashasema Kizitto.....
😂 😂 😂 😂 😂Na uongo huu halafu tunasema tuko kwenye maombi! Shetani anacheka tu
Hamna hata undugu naye, hao ndugu wenyewe wako kimya! Kafanyeni kazi.
Mbona umepaniki?? Jibu hojaMhe.Zitto wacha unafiki , huyu mama si ndiye yule aliyesheherekea, Baba Mkwe wako aliposemanunastahili kuuwawa. Wewe niayako sio mzuri kwenye hilo, unakufuru mtoto wa kiislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hata ukimjibu hawezi kukuelewaAcheni utani mnapo jibu hoja. Mbunge akifa kuna kanuni na taratibu za mazishi yake. Tumekuwa tuna fichwa sababu za vifo vingi vya viongozi tangu hiki kicorona kilipo ingia Tz.
Hata kama familia ime amua je ni sahihi azikwe kimya kimya na serikali?
Sioni mantiki ya kuficha ugonjwa ulio muua huyu mama.
Mungu amuweke anapo stahili. Akamwambie Mungu Zitto bado ana wapambania Watanzania wanyonge. Hata yule alie shauri Zitto auawe ata kufa kabla ya Zitto akamuandalie makao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mama Lwakatare tayari ameshazikwa jamanii ?
Je ataagwa Bungeni au Karimjee?Mhe.Zitto wacha unafiki , huyu mama si ndiye yule aliyesheherekea, Baba Mkwe wako aliposemanunastahili kuuwawa. Wewe niayako sio mzuri kwenye hilo, unakufuru mtoto wa kiislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of context out of content. Naona huelewi hata kinachoongolewa.Kwa hiyo mkimuaga itawasaidia nini?hawa watu sijui wanafikiria kwa kutumia nini?au wewe ndiyo yule mgonjwa mmoja?
Mungu Mwenyezi huyaweka wazi yale ya sirini