Zitto: Kwanini Mama Rwakatare haagwi Bungeni kwa mujibu wa Kanuni za Bunge? Kwanini azikwe na Serikali kama hajafa kwa COVID19?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Mbunge akifariki Dunia analetwa ndani ya Bunge na kuagwa. Hata Mbunge awe amefariki akiwa nje ya Nchi huletwa Bungeni. Mbunge Mama G Lwakatare ( Mungu amrehemu ) anazikwa na Serikali na hataagwa na Wabunge wenzake. Serikali inasema SIO #COVID19TZA


Zitto.JPG
 

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,514
2,000
Msiba ni maamuzi ya familia
Acheni utani mnapo jibu hoja. Mbunge akifa kuna kanuni na taratibu za mazishi yake. Tumekuwa tuna fichwa sababu za vifo vingi vya viongozi tangu hiki kicorona kilipo ingia Tz.

Hata kama familia imeamua je ni sahihi azikwe kimya kimya na serikali?

Sioni mantiki ya kuficha ugonjwa ulio muua huyu mama.

Mungu amuweke anapo stahili. Akamwambie Mungu Zitto bado ana wapambania Watanzania wanyonge. Hata yule alie shauri Zitto auawe ata kufa kabla ya Zitto akamuandalie makao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom