dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,121
- 49,376
... na kwa kweli sijakuelewa! Yaani mazishi ya Rev. Hon. Dr. Getrude Rwakatare unazungumzia "gharama"! Be serious Mkuu. Yaani hata waumini wa kanisa lake walioko kwa maelfu washindwe kumzika askofu wao hadi msaada wa Serikali? Tena azikwe na watu wasiozidi 25? Again, acha masikhara kwenye mambo ya msingi.Inawezekana sana tu, marehemu alikuwa mbunge ameitumikia serikali hata matibabu serikali ndo inagharamia (kama ameumwa) unless familia iamue kugharamia. So suala la maziko inawezekana pia kama familia wameomba pengine ni kutokana na gharama ama vinginevyo ( sijui kama utanielewa hapa)