Zitto kuwasilisha hoja J3 wamo wabunge watano wa CCM

imefika pahali hata mwana CCM. (mwenye busara lkn) inamwia vigumu kufungua kinywa zake kutetea serikali ya ccm iliyoko madarakani...ah! shauri yao....
 
Lazima Zitto awasilishe hoja vinginevyo next time wabunge watasita kuweka sahihi zao atakapowaomba.
 
Leo nimejua kwamba Mwakyembe, Samweli Sita, Anna Kilango Malecela na Ole Sendeka ni WAHUNI NA WABABAISHAJI.
 
Ane kilango ni hovyo plus, huyo ole sendeka ndio mmeisha muona, wabunge wengi ccm ni wanafiki plus kingw, mak jr?
 
Zitto ameweka historia. Hii imefungua ukurasa mpya wa siasa za Tanzania. Kesho leo kamwe haijafanana na jana na siku ya kesho. Hii momentum imeanza taratibu na taratibu "takes its shape". Ufisadi na wizi wa mali ya umma, uongo uliokubuhu na dharau kwa watanzania maskini utawaangusha watawala as individual or as a political party. Tunacheza na wakati and yet times change....
 
N alisema aliweka sisi yeye ila wannchi wa Ludewa waliyomtuma
Alinifurahisha aliposema mara alipoitwa na waziri mkuu aliamua kuweka sahihi kabisa kabla ya kwenda ili asije badilishwa mawazo, dah huyu jamaa kweli alidhamilia.
 
Nimeipenda hiyo picha Zitto na Filikunjombe kwani inazungumza mengi. You can tell from Hon. Filikunjombe's body language that he is fed up and is ready for whatever might ensue. We need people like Filikunjombe who have the audacity to call it like they see it.

Ushauri wa bure kwa Filikunjombe (Yaani viko Njombe), akija Dodoma bungeni asile wala asinywe kwa siku zote atakazokaa Dodoma. Asitumie kipaza sauti kilicho kwenye kiti chake na akiitwa kwa gamba yeyote hata dada yake sijui mama yake Anna Makinda asiende peke yake maana Kolimba alipojalibu kusema CCM haina dira hajawahi kutoka kwenye mike ile. Na hata waliokwishapata matatizo (Mhasibu wa CCM mama yule sijui Mbatia???!!!, Mwakyembe na wengine wengi wamepata madhara wakiwa kwenye barabara iendayo Njombe... ni hatari lazima ajilinde na manungayembe hayo ya kigamba so vitabu vile vya Willy Gamba (Marehemu Musiba).
 
Ushauri wa bure kwa Filikunjombe (Yaani viko Njombe), akija Dodoma bungeni asile wala asinywe kwa siku zote atakazokaa Dodoma. Asitumie kipaza sauti kilicho kwenye kiti chake na akiitwa kwa gamba yeyote hata dada yake sijui mama yake Anna Makinda asiende peke yake maana Kolimba alipojalibu kusema CCM haina dira hajawahi kutoka kwenye mike ile. Na hata waliokwishapata matatizo (Mhasibu wa CCM mama yule sijui Mbatia???!!!, Mwakyembe na wengine wengi wamepata madhara wakiwa kwenye barabara iendayo Njombe... ni hatari lazima ajilinde na manungayembe hayo ya kigamba so vitabu vile vya Willy Gamba (Marehemu Musiba).
Acha woga kifo kipo tu hakikwepeki hata ushinde chumbani mwako kufa utakufa tu, mwisho utashauri watu wasivuke barabara kwa vile watagongwa na gari.
 
Magamba, magamba
Kelele nyingiii, majasiri watano tu. naomba niwe mtu wa mwisho kuamini kwamba magamba hata yakipiga kelele sana yanamaanisha yanachokipigia kelele.

Hao watano tu, ndio wabunge wanaowawakilisha kiukweli wananchi wa majimbo yao. wabunge wengine wote wa ccm wapo bungeni kwa ajili ya maslahi ya Chama (Akiwemo mwakyembe, sendeka, sam six,na vuvuzela kilango).
 
Huyu mbunge wa viti maalum toka kanda ya ziwa bila shaka ni Mh.Maria Hewa....namkubali sana kwa hoja mama huyu..

huyo mama anahusika katika tukio la kiwia mbunge wa ilemela kwa sababu gari lake ndilo lililokuwepo ktk tukio. sio mtu mzuli huyo mama
 
Wana Ruvuma mna Wabunge au wachumia tumbo? Hadi mnatia aibu hamna saini hata moja.Hawa Wabunge wamesahau mbolea feki, ajali zilizowaua ndugu ze2. 2jiulize juu ya manungayembe haya kisha 2chue hatua.Kaka Deo waamshe jirani zako hata kwa ndonga Dad!

Ngoja tunakuja wenyewe kugombea huko sasa hivi yaache yachumie tumbo tu
 
1 5. Deo H Filikuchombe- CCM
2 18. Aphaxar K Lugola- CCM
3 2. Chiku Aflah Abwao -CDM
4 6. Pauline P. Gekul-CDM
5 8. Prof.Kuliyokela Kahigi- CDM
6 9. Naomi M Kaihula – CDM
7 10. Sylvester Kasulumbayi- CDM
8 11. Raya Ibrahim Khamis - CDM
9 13. Susan L Kiwanga-CDM
10 14. Grace Kiwelu CDM
11 16. Joshua S Nassari –CDM
12 17. Tundu A Lissu- CDM
13 19. Susan A Lyimo- CDM
14 21. John Shibuda Magalle - CDM
15 23. Esther N Matiko-CDM
16 24. Joseph Mbilinyi- CDM
17 25. Freeman Mbowe- CDM
18 26. Kurudhum J. Mchuchuli – CDM
19 27. Halima Mdee-CDM
20 28. John Mnyika- CDM
21 30. Maryam S Msabaha- CDM
22 31. Peter Msingwa-CDM
23 32. Christowaja G Mtinda -CDM
24 33. Philipa G Mturano- CDM
25 34. Christina L Mughwai- CDM
26 35. Joyce Mukya – CDM
27 36. Israel Y Natse – CDM
28 37. Philemon Ndesamburo- CDM
29 39. Vincent Nyerere- CDM
30 41. Meshack J Opulukwa- CDM
31 42. Lucy Owenya- CDM
32 43.Rachel Mashishanga- CDM
33 44. Mhonga Ruhwanya – CDM
34 45. Conchesta Rwamlaza – CDM
35 47. Joseph R Selasini – CDM
36 48. David E Silinde-CDM
37 49. Rose Kamili - CDM
38 50. Cecilia Paresso- CDM
39 51. Kabwe Zuberi Zitto- CDM
40 53. Rebecca Mngodo- CDM
41 54. Sabreena Sungura -CDM
42 56. Mustapha Boay Akoonay -CDM
43 62. Mhe. Anna Marystella Mallack -CDM
44 1. Rashid Ali Abdallah -CUF
45 3. Salum Ali Mbarouk -CUF
46 4. Salum Khalfam Barwany -CUF
47 7. Asaa O Hamad-CUF
48 12. Mkiwa H. Kiwanga CUF
49 15. Kombo H Kombo CUF
50 22. Faki Haji Makame-CUF
51 38. Ahmed Juma Ngwali-CUF
52 40. Rashid Ali Omar-CUF
53 46. Moza Abedi Saidy-CUF
54 52. Magdalena Sakaya – CUF
55 55. Rukia Kassim Ahmed - CUF
56 57. Mhe. Abdallah haji Ali - CUF
57 58. Mhe.Khatibu Said Haji. - CUF
58 59. Mhe. Hamad Ali Hamad - CUF
59 60. Mhe. Riziki Omar Juma - CUF
60 61. Mhe. Haji Khatib Kai - CUF*
61 63. Mhe. Hamad Rashid Mohamed - CUF
62 64. Mhe. Rajab Mbarouk Mohamed - CUF
63 65. Mhe. Thuwayba Idrisa - CUF
64 66. Mhe.Masoud Abdallah Salum - CUF
65 67. Mhe. Muhammad Ibrahim Sanya - CUF
66 68. Mhe.Ali Khamis Seif - CUF
67 69. Mhe.Haroub Muhammed Shamis - CUF
68 70. Mhe. Amina Amour. Nassoro. - CUF
69 20. Moses Machali – NCCR
70 29. Augustino L Mrema- TLP
 
Duuu CCM wawili tu hao tutasikia baada ya siku chache wameshafukuzwa
 
Back
Top Bottom