Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Mbunge wa jimbo letu la ludewa tunashukuru ametuwakilisha vema, Mungu awe nawe pia tupo pamoja
wewe acha ujinga,wabunge wa ccm wana uoga na unafiki,lakini mioyoni mwao wanatambua haki na dhamiri zinawasuta.wanalinda kitumbua chao tu. Ila wanajua wakiwaacha wenzao waendelee kula bata na kuwaharibia mwaka 2015 itakula kwao.sasa kwa taarifa yako kazi ngumu ilikuwa kupata hizo kura sabini,kura 176 ni rahisi mno.hivi kwa upeo wako wale wabunge wote wa ccm waliolalama na kwa jazba na kwa upeo wako kama mwana-ccm unaweza kuwaamini kwenye secret ballot.mkulu mwenyewe anajua hilo na hatamani siku hiyo ifike na hata wewe unajua ndio maana unaleta propoganda za kukatisha watu tamaa.kaka hii haichomoki iwe jumatatu,mtondogoo,au juni lazima kieleweke.kwanza bunge hili likiisha tunaendeleza twanga kotekote na mavuno zaidi na kutapanya hiyo sumu-ripoti ya cag nchi nzima,presha inapanda presha inashuka

sasa unamwambia usichemke yeye kakuambia kuwa anaipeleka jumatatu?Zitto usichemke, huwezi kupeleka hoja Jumatatu, unaweza kupeleka Taarifa ya Maandishi kwa Spika, Jumatatu, halafu ( 1 ) usubiri siku 14 kabla ya kutoa hoja; ( 2 ) uombee Spika akukubalie kwa utashi wake.
Katiba ya Jamhuri, 53 (A)
Ingekuwa jambo la kushangaza kama Deo na Kessy wasingesaini ila natamani kumuuliza Zito huyu Zambi ameondoka Dodoma maana kama kuna mtu aliogea sana kuilaumu serikali ni pamoja na yeye.Aulizwe lives tumsikie kwa nini hakusaini?
MwanakijijiKuita watu wajinga haikufanyi uwe mwerevu! unaweza kujenga hoja (kama uwezo huo unao) bila kuwaita watu majina kwani kwa kuita majina inaonekana tu unajaribu kulazimisha hoja ambayo huwezi kuijenga vinginevyo.
Ndugu zangu ni juzi tulikutana hapa mkampamba sana mbunge wa Mbozi Mashariki Bwana Godfrey Weston Zambi kuwa ni mwanaharakati na msema kweli baada ya kuwahadaa kwa mbwembwe eti anadhamira ya kweli juu ya maslahi ya wananchi. Sasa niwaulize je anadhamira ya kweli kama ndugu yetu Deo? Je huyu anatofautiana na mchumia tumbo? Napita tu lakini hii ndiyo hali halisi ya wabunge wetu wa ccm na baba yaoWana Ruvuma mna Wabunge au wachumia tumbo? Hadi mnatia aibu hamna saini hata moja.Hawa Wabunge wamesahau mbolea feki, ajali zilizowaua ndugu ze2. 2jiulize juu ya manungayembe haya kisha 2chue hatua.Kaka Deo waamshe jirani zako hata kwa ndonga Dad!