Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Yawezekana Urais wa Chambawima
Kulingana na ziara ya kiongozi mkuu na kupokelewa vyema kuna uhakika wa ACT kushinda kiti cha urais kwa urahisi kabisa.
Zitto amenukiliwa na Mwananchi (la leo) kuwa atamwachia nafasi yake ya kiongozi mkuu wa ACT.
My take: Hii siyo demokrasia, kama watu wanaachiana vyeo katika chama cha siasa kama kurithishana ufalme.
======================
Chanzo:Mwananchi
Ni kweli Zitto ni msaka madaraka ndiyo maana ni msalitii na mbinafsi kupita maelezo. Lakini kuna hili suala na kingozi kuwa kama mfalme,kwamba wanaeana vyeo kama taasisi ya kifalme.Hapa issue siyo kuachiana vyeo Zitto ashafanya hesabu zake ACT Rais atakuwa ni mtu yupo hawezi kushika madaraka saivi lengo lake yeye awe mbunge ili apate kujidai kule bungeni na kuonekana labda huko baadae akihisi urais unaweza kuwa deal ndo mana ameachia ni ule ule unafiki tu
Hata mimi naona hivyo. Halafu Zitto kweli akili yake imechoka maana anadanganya halafu anasahau. Anataka kujiunga na UKAWA huku anataka kumwachia Lowasa ukuu wa chama ili agombee urais kupitia ACT. Hivi anajielewa kweli huyu Zitto.dah kweli mtoa mada great tinker
Inaonekana ACT hawataweka mgombea urais.
Sidhani kama Zitto anaweza kumwachia mwingine cheo cha Kiongozi mkuu wa chama ili huyo mwingine agombee urais.
Kuanzia 2020 ndio ataanza kugombea. Na ataendelea kugombea hadi avunje rekodi ya Lipumba.