Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Mkuu hebu nieleweshe kidogo kuhusu hicho cheo cha Zitto, "kiongozi mkuu wa chama", nasikia kuna mwenyekiti pia, yeye Zitto na huyo mwenyekiti wake ni nani mkubwa?Zitto nyota ing'aayo Tanzania.Kila baada ya dakika moja Zitto anafunguliwa thread hii inaonyesha jinsi gani wanavyomkubali.Hata kama wakibadilisha maneno.