Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

Mkuu, sijajua ni kiasi gani those two guys are closer to each other. Hoja yako ni ya msingi. Lakini ninachokifahamu mimi, hata kama wangeunganisha nguvu, kwa kudhani wanakubalika na wanawafuasi wengi, hawawezi kushinda nafasi ya uraisi. Tena kama ikiwa ndivyo, hapo UKAWA watakuwa ni wafungaji kwenye goli lisilokuwa na keeper!.
Hata kama mgombea huyo akiwa Warioba?
 
Mkuu, sina hakika kama Mzee wa watu Judge Warioba, anaweza kuwa mtu mwenye tamaa ya uraisi kiasi cha kutaka kulazimisha awe raisi kwa njia yoyote ile. Upande wa pili, nimemwelewa Bukyanagandi alipotoa hoja yake, alikuwa anasema nini.
 
unaongea tu hauelewi... ivi unajua maana ya kurithisha??? au unaropoka tu!! haya unasema chama wanarithushana tuambie mrithi wa ZZK n nan? katiba ya ACT ipo waz kuwa mgombea urais ndiye atakua kiongoz wa chama na endapo akishidwa uchaguz ndan ya miez sita kutaitishwa mkurano mkuu na atakua amepoteza sifa ya kuwa kiongoz wa chama hivyo atachaguliwa mwingine. Sifa ya kuwa kiongoz wa chama n lazma ushinde uchaguz wa serkal

I like this ACT type of readership! Big up. Sio ile ya ku-copy & ku-paste style.
 
ZZK hatumtaki wewe ndo ugombee uwe mbunge nawewe tukuone,unahoji uwezo wa wenzako wakati wewe hata ukuu wa mtaa hujawahi chaguliwa nyambafu

Nichaguliwe kwani mi nimegombea mkuu! kwataarifa yako mimi hata kadi ya kupigia kura sina, siwezi kupoteza muda wangu kwa manufa ya wengine.
 
Tunaomba jibu ZZT je nyie mnapanga kupeleka bakuri la ombaomba kwa wazungu lini kama wenzeni?
 
Zitto na Mwigulu walikuwa wanawasiliana ili Lowassa akikatwa jina wampe nafasi Agizo la Chama Tawala (ACT).
Nitakuleteeni hapa hizo baruapepe. Na Zitto kaambiwa aanze kumtangaza Lowassa na ndo maana alisima hivyo.
 
Zitto na Mwigulu walikuwa wanawasiliana ili Lowassa akikatwa jina wampe nafasi Agizo la Chama Tawala (ACT). Nitakuleteeni hapa hizo baruapepe. Na Zitto kaambiwa aanze kumtangaza Lowassa na ndo maana alisima hivyo.
haha..nadhani alipoiona hii habari alidhani wanamwandalia mpango huu..sasa ndio majua kuwa walikuwa wanamuanika.
 
Natumia simu ya mkononi sijajua jinsi ya kuatach hayi mawasikiano ya Zitto na Mwigulu wakimuandalia Lowassa nafasi.
Vilevile Zitto anaomba Tzs 700m ili aendelee kuibomoa CDM
 
Sasa naamini anayesubiriwa na EL pekee hapa wanajipambanua zaidi.
 
Unafiki wa Zitto ndio huo, alipokuwa cdm hakutaka kusikia lolote zaidi ya Uenyekiti na Uraisi utafikiri anakufa kesho. Leo hii ndio anajitambua kwamba hana haraka ya Uongozi, kwamba bado ni Kijana bado ana muda?? Ameyaona haya baada ya kwenda ACT???. Kweli usaliti ni mbaya. Ameanza kujisaliti mwenyewe sasa

hizo ni mbinu zao na mwigulu mkuu hata usiumize kichwa!
walishasema kuna mzee zitto atajidai anampisha ili zitto asionekane ni mtaka madaraka!!

na mbinu yao ndo hiyo ya kuwaanda wananchi kisaikolojia!

hata hawa wote unaona wanabwabwaja hapa jukwaan wamewekwa maalum kwaajili ya kupiga hiz kelele ili tu jina ACT liendelee kusikika masikion mwa watu!! so kwa mtu mwelewa hata usipate shida
 
nasubiria kuona EL akisimamishwa kama mgombea urais kupitia ACT

Na hapo ndipo ambapo wanaukumbi wengi wanapasubiria, ngoja tuone CCM wapitishe mgombea wao then bunge livunjwe kwanza, sasa zile rangi halisi ndo zitabainika.

Kufika lazima tufike tuu.
 
Msihangaike wanajamvi. Ujumbe uliokusudiwa ni kupelekwa kwa jamii ni kwamba, ZITTO ZUBERI KABWE NDIYE ATAKAYEGOMBEA URAISI KWA TICKET YA ACT!
akili zako zinashangaza sana kama kweli wewe ni mtanzania unajua umri wa kugombea urais kikatiba, nakushauli hamia jukwaa la mapenzi.
 
From: Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com>
Date: Saurday April , 2015 at 1:10 PM
To: Zitto Kabwe <zittokabwe@gmail.com>
Subject:Re: KUONGEZA NGUVU

Hon PM,

Apson sijongea naye. Naona hata humu ndani mambo si mazuri. Vijana wangu wameniletea taarifa kwamba Vuvuzela (mropokaji) anajaribu kila njia ikiwa ni pamoja na kuwashawishi viongozi ili mzee akatwe kwenye hatua ya kwanza kabisa, maana pale juu kila mtu yuko upande wetu. Tengeneza mazingira, ila naona kila dalili ikitokea tu, itakuwa vizuri kwako ukimpisha. Maana itakuwa ni tofauti na madai ya wengi kwamba wewe ni mpenda madaraka sasa watashangaa kuona unamwachia.

Itakuwa pia vyema ukianza kuzungumzia hii kwenye majukwaa ili kuwatayarisha wananchi kisaikolojia ila kwa sasa hivi naona mipango yetu yote iko sawa. Huyo mambo is a dying horse. EL is a big engine! They know na hakuna wanachoweza kufanya at this point. Juliana will call you she has a message. Ila nikutakie kila la heri kwenye mapambano leo.

Lameck

From: Zitto Kabwe zittokabwe@gmail.com
Date: Sat, 11 Apr 2015 14:42:03 +0300
To: Mwigulu Nchemba shimbi85@gmail.com
Subject: Re: KUONGEZA NGUVU

Comrade,

Makamuzi yanaendelea, nadhani mmeona mambo ya makambako. Hao washenzi wa ufipa mwaka huu wataisoma namba, na ndoto yao ya kuichukua nchi tunaiua.
Sasa kuna mapungufu. The amount we have is very insufficient. Naombeni tusaidiane hapa, nadhani ili tukamilishe shughuli by June tunahitaji 700m pamoja na additional manpower kwenye social media. Mapokezi na muamko ni mkubwa sana toka kwa wananchi CDM is dying.

Tafadhali jadili hii issue na prof pia tujaribu kuongeza vijana kwenye social media maana tusipojibu mapigi hii issue ya usaliti itasambaa na kuaminika. Kwenye majukwaa tutawakaanga kabisa na kuhusu bwana mkubwa, inabidi tuanze rasmi kutengeneza mazingira stahiki, ili Mangula na wenzake wakijaribu kumzuia, upande wetu ni rahisi kumkaribisha

Cheers,
ZZK

From: Zitto Kabwe zittokabwe@gmail.com
Date: Sat, 11 Apr 2015 5:47 AM (GMT-5:00)
To: Mwigulu Nchemba shimbi85@gmail.com
Subject: Re: KUONGEZA NGUVU

Comrade,

Kwema? Umewasiliana na Apson? Naomba ongea naye. Budget ya matangazo iongezwe. Muhimu sana na posho za vijana kwenye planning. Nimepata habari rasmi kwamba Nyoka wa Mdimu anasaidiana na CDM, na Vuvuzela ndiye anayepenyeza taarifa kwa Riz1. Hizi ni pamoja na biashara nyingi za mzee. Wanamtumia kijana anayeitwa Luckson kupeleka taarifa ufipa, lengo ni kumchafua his Excellency wakiwa na malengo kwamba asifike hata kwenye NEC. In politics anything unanswered can be a big damage. Counter haraka sana. Mbona mnainyamazia Bahari Beach Hotel? Apson inabidi aongezewe nguvu. Mimi niko kwenye hii ziara, and may not be in Dar for couple of days. Prof yupo.

Aisee, hii ni bonafide genuine kama Pasco anavyosema. Mahojiano ya gazeti la Mwananachi na Zitto vinashabihiana vizuri mno na hizi emails. Wala huhitaji hata ku-connect dots, ni straight forward, yaani wazi kabisa. Aisee, watu wanakurunzi za uvunguni.
 
Unafiki wa Zitto ndio huo, alipokuwa cdm hakutaka kusikia lolote zaidi ya Uenyekiti na Uraisi utafikiri anakufa kesho. Leo hii ndio anajitambua kwamba hana haraka ya Uongozi, kwamba bado ni Kijana bado ana muda?? Ameyaona haya baada ya kwenda ACT???. Kweli usaliti ni mbaya. Ameanza kujisaliti mwenyewe sasa
Hili nalo neno mkuu.
 
Na hapo ndipo ambapo wanaukumbi wengi wanapasubiria, ngoja tuone CCM wapitishe mgombea wao then bunge livunjwe kwanza, sasa zile rangi halisi ndo zitabainika.

Kufika lazima tufike tuu.
Hata bunge likivunjwa NEC bado siyo huru, wanaweza kutangaza aliyeshindwa urais. Unakumbuka ya serikali za mitaa. CHADEMA ilibidi wafanya kazi ya ziada kulinda ushindi wao.
 
Naona maneno ya kwenye e mail yameanza kufanya kazi, "Waandae wananchi ili wasije kushituka" analiandalia njia jiwe watakalo likataa waashi ili lije kuwa jiwe kuu la ACT. siasa ni mchezo mchafu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom