Kama IQ yako ni kubwa utamuelewa ZZK ilichomaanisha hapo kama ni kilaza hautomuelewa alichomaanisha.
Ni kwamba Zitto amesema kuwa atamrithisha cheo chake cha kiongozi mkuu mgombea urais atakayeteuliwa na ACT. Habari kamili gazeti la Mwananchi la leo (ukurasa wa kwanza na inaendelea ukurasa wa sita). Hapo utaona watu wanarithishana vyeo katika ACT kama ufalme.
hawezi kukana kwan n kwa mujibu wa katiba ya chama labda kisisimamishe mgombea urais
Sawa inawezekana kabisa wanamsubiri Lowassa ila kazi itakuwa pale atakapotakiwa kujaza fomu ya mali alizonazo..
Anayawinda makapi yatakayotupwa kwenye kura za maoni za vyama.
Anamvutia EL kuwekeza act?
Akili yako ya ajabu sana ni mtu usiyejitambua wala hujui unafanya nini kwenye hii dunia.
we ni wakike au wa kiume?,na ni nani yake zzk
Hawezi kuivunja rekodi ya Lipumba kwa mujibu wa katiba yao ukigombea na kushindwa huo ndio unakuwa mwisho wa uongozi wako, hii katiba ni ya ajabu sana hawajui kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa.Inaonekana ACT hawataweka mgombea urais.
Sidhani kama Zitto anaweza kumwachia mwingine cheo cha Kiongozi mkuu wa chama ili huyo mwingine agombee urais.
Kuanzia 2020 ndio ataanza kugombea. Na ataendelea kugombea hadi avunje rekodi ya Lipumba.
Mbona mtei kamuachia uongoz mkwewe?...
Zitto hatakomandi kamwe audience kama alivyokuwa ana komandi akiwa chadema manake mikutano yake ilikuwa mafuriko Zitto A.Ya.to.lla.h. mikutano ya sasa ni ukame chukua picha yeyete ya mkutano wake akiwa chadema ulinganishe na sasa uone alivyokataliwa na wananchiMKUTANO WA ACT-MAFINGA wamejitokeza watu wengi
Akishindwa A..yato...llajh Zitto anarudi na yule anafukuzwaView attachment 242555
Zitto ameshaona dalili mapema kuna giza nene mbeleni sasa hicho cheo anamwachie atayegombea uraisi huyu mgombea akishindwa anarudisha hicho kwa Zitto sijaelewa hapo.
Zitto nyota ing'aayo Tanzania.Kila baada ya dakika moja Zitto anafunguliwa thread hii inaonyesha jinsi gani wanavyomkubali.Hata kama wakibadilisha maneno.