Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

Zitto amenukiliwa na Mwananchi (la leo) kuwa atamwachia nafasi yake ya kiongozi mkuu wa ACT.

My take: Hii siyo demokrasia, kama watu wanaachiana vyeo katika chama cha siasa kama kurithishana ufalme.
======================

Chanzo:Mwananchi

Zzk hawezi kumwachia mtu cheo hata siku moja,zzk kikwazo ni umri hajatosha ,zzk ana tamaa ya madaraka sana
 
Zzk hawezi kumwachia mtu cheo hata siku moja,zzk kikwazo ni umri hajatosha ,zzk ana tamaa ya madaraka sana
mtaje mmoja tu ambaye hana tamaa ya madaraka

acha ku kremu

muulize lowasa, mbowe, magufuli....rungwe....n.k watakueleza

chuki tu
 
mtaje mmoja tu ambaye hana tamaa ya madaraka

acha ku kremu

muulize lowasa, mbowe, magufuli....rungwe....n.k watakueleza

chuki tu
Sasa si amwachie madaraka mgombea urais mbona anan'gan'gania kama Nkurunzinza?
 
mtaje mmoja tu ambaye hana tamaa ya madaraka

acha ku kremu

muulize lowasa, mbowe, magufuli....rungwe....n.k watakueleza

chuki tu

Zzk anatamaa sana ya madaraka kuliko mtu yeyote hapa Tanzania na mtu kama huyo ni wakuogopwa kama ukoma
 
Zzk hawezi kumwachia mtu cheo hata siku moja,zzk kikwazo ni umri hajatosha ,zzk ana tamaa ya madaraka sana

Ukiwa mwanasiasa halafu huna tamaa ya madaraka tafuta nshu nyingine ya kufanya.......kwa muono wangu siasa ni madaraka...uchaguzi ni utafutaji wa madaraka
 
Ukiwa mwanasiasa halafu huna tamaa ya madaraka tafuta nshu nyingine ya kufanya.......kwa muono wangu siasa ni madaraka...uchaguzi ni utafutaji wa madaraka

Kuna tofauti kubwa ya tamaa ya madaraka na kutaka uongozi
 
Jamani wagombea wanaume wametuonyesha wenzao wa ndoa. Je mama yetu wa ACT mumewe vipi?
 
Hakuna mwanasiasa anayeniboa na simpendi kama ZZK.kamwe hata aje agombe nafasi yoyote kura yangu asahau
 
Ninachokiona Tanzania inabidi ijitahidi sana kuwekeza kwenye "JKT ya kujitolea" na Uzazi wa mpango maana nchi imekuwa na vijana wengi wasio na faida kabisa "Washabiki waliopitiliza,wanaazimwa kwa maandamano,wazomeaji,Wavivu,wafanya fujo,wazomeaji,wanashinda vijiweni na mitandaoni kutukana watu.Yaani SIKU HIZI KILA MWENYE MCHINA NI "Mchambuzi,mshauri,mungu,mwamuzi,hakimu etc"ACT Wazalendo wako katika uchaguzi mkuu ninyi mnataka mambo yaende simulteneously kama mnavyotaka.Taifa hili lina vijana wachache sana.Wengi MAZUZU....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom