Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

Zitto kumwachia cheo Mgombea Urais ACT

unaongea tu hauelewi... ivi unajua maana ya kurithisha??? au unaropoka tu!! haya unasema chama wanarithushana tuambie mrithi wa ZZK n nan? katiba ya ACT ipo waz kuwa mgombea urais ndiye atakua kiongoz wa chama na endapo akishidwa uchaguz ndan ya miez sita kutaitishwa mkurano mkuu na atakua amepoteza sifa ya kuwa kiongoz wa chama hivyo atachaguliwa mwingine. Sifa ya kuwa kiongoz wa chama n lazma ushinde uchaguz wa serkal

Naona mnamuandalia njia Lowasa???
 
Zitto amenukiliwa na Mwananchi (la leo) kuwa atamwachia nafasi yake ya kiongozi mkuu wa ACT.

My take: Hii siyo demokrasia, kama watu wanaachiana vyeo katika chama cha siasa kama kurithishana ufalme.
======================

Chanzo:Mwananchi

Atamwachia lowassa tutashuhudia mengi mwaka huu.
 
Ni kwamba Zitto amesema kuwa atamrithisha cheo chake cha kiongozi mkuu mgombea urais atakayeteuliwa na ACT. Habari kamili gazeti la Mwananchi la leo (ukurasa wa kwanza na inaendelea ukurasa wa sita). Hapo utaona watu wanarithishana vyeo katika ACT kama ufalme.
Mtei kameachia Bob Makani Mbowe ulikuwa unalijuwa hilo! Huo ndio ufalme nyang'a wee!
 
Alishindwa kuachia Unaibu katibu Mkuu,aliamua kudai atagombea uongozi wa Kiongozi wa KUB leo atamwachia mtu uongozi?

Ifahamike,zitto ni cheo, ndiyo maana alipeleka kesi mahakama kuu kupinga kuvuliwa nyadhifa zake alizokuwa nazo.

Sasa anatafuta mbinu ili arudi bungeni
 
sijaelewa.
ni kwambbakwa vile hhajatimizaamiaka ya kkugombea akipatikana mgombea wa muda atakakabidhiwa uongozi wa chama akishindwa uchaguzi tu ang'atuke asing'ang'ani cheo cha kiongozi wetu mkuu wa kudumu ndo tahadhali anayotoa kwa atakayekuja kugombea asijeleta timbwili
 
Na huyo mgombea akishindwa urais watamnyang'anya huo uongozi na kumrudishia zitto?
 
Alishindwa kuachia Unaibu katibu Mkuu,aliamua kudai atagombea uongozi wa Kiongozi wa KUB leo atamwachia mtu uongozi?

Ifahamike,zitto ni cheo, ndiyo maana alipeleka kesi mahakama kuu kupinga kuvuliwa nyadhifa zake alizokuwa nazo.

Sasa anatafuta mbinu ili arudi bungeni

Hatamimi napenda kuona Zitto anarudi Bungeni, Maana hao kina Sugu na Lema hawana wakijuacho, nadhani kutokana na elimu zao ndio maana uwepo wao hauna faida kwa Taifa.
 
Jamani, kwani mmeambiwa ACT ni chama cha wananchi?? Hicho ni chama cha wenye nacho! mnayoyaona ndio demokrasia yao! Leave them!!!!
 
Kuna kitu hapa hamjiulizi. sawa atamuachia mtu je huyo Mtu akishindwa kuwa Rais wa Tanzania hicho cheo atabaki nacho mpaka 2020?. Au akishindwa urais ananyang'anywa cheo na ZZK?.
 
ZZK anamwaga mboga baaada ya cdm kumwaga ugali.
maisha yanaendelea.
ni mara ngapi mmeshuhudia mfanyakazi wa duka anaanzisha duka lake na kuboresha huduma kisha kumshinda bosi wake kwa mauzo na wateja kuhamia kwake?:A S 103:

kamahuduma ya chadema haina ladha usishangae ACT kupata wateja toka vyama vingine.:crazy:

kwani wanachama wa chadema wametoaka wap?ukikurupukia siasa za TZ utavurugwa,ukipata upenyo wako fanya yako
,

Tuwe wakweli wakati ZZK yupo Cdm alikuwa anapata watu wengi kuliko hao. Pili watu kwenda kwenye Mikutano yake sio kwamba ni wafuasi wake.
 
Someni Katiba ya ACT, itawasaidia kuepuka kuongelea mambo yaliyo wazi kama mafununu vile.
 
Hatamimi napenda kuona Zitto anarudi Bungeni, Maana hao kina Sugu na Lema hawana wakijuacho, nadhani kutokana na elimu zao ndio maana uwepo wao hauna faida kwa Taifa.

ZZK hatumtaki wewe ndo ugombee uwe mbunge nawewe tukuone,unahoji uwezo wa wenzako wakati wewe hata ukuu wa mtaa hujawahi chaguliwa nyambafu
 
Kuna kitu hapa hamjiulizi. sawa atamuachia mtu je huyo Mtu akishindwa kuwa Rais wa Tanzania hicho cheo atabaki nacho mpaka 2020?. Au akishindwa urais ananyang'anywa cheo na ZZK?.

endapo akishindwa urais atakua amepoteza sifa kwan sifa ya kiongoz wa ACT shart ashinde uchaguz wa serkal, na ikitokea ivo basi ndan ya miez 6 m/kit ataitisha mkutano mkuu kwa ajil ya uchaguz. watakao kuwa na sifa ya kuchaguliwa itakua miongon mwa walioshinda uchaguz wa ubunge au udiwan kwa hiyo km ZZK atakua ameshinda udiwan au ubunge atakua na hako ya kugombea. kiongoz ataweza kuongoza chama kwa awam mbili ambapo awam huhesabika baada ya kukaa kwenye kit kwa muda wa miaka miwil hvyo hii awam ya ZZK haitohesabika coz hajafikisha miaka miwil mpaka agost 2015. SHUKURAN KWA UONGOZ WA CHAMA KUWEKA KATIBA HADHARAN
 
Tuwe wakweli wakati ZZK yupo Cdm alikuwa anapata watu wengi kuliko hao. Pili watu kwenda kwenye Mikutano yake sio kwamba ni wafuasi wake.
wengi wangapi na wanaohudhuria sasa ni wangapi?
wakati ule alikuwa cdm na mikutano ya chadema na walikuwa ni watu wa chADEMA WALIOIKIMBIA CCM,
SASA ni ACT wazalendo chama kupya na waliokimbia chadema.
ona tofauti ya cdm na act kwa mda wa kufanya usaili na kutangaza chama alafu utathmin cdm wakat wa zzk na act ya zzk
 
Msihangaike wanajamvi. Ujumbe uliokusudiwa ni kupelekwa kwa jamii ni kwamba, ZITTO ZUBERI KABWE NDIYE ATAKAYEGOMBEA URAISI KWA TICKET YA ACT!

Mkuu nataka kutofautiana nawe kidogo, kwa mawazo yangu nadhani kuna mtu wanamwandalia nafasi hiyo just incase plan 'A' yake ikishindikana i.e kuteuliwa ndani ya chama tawala, basi atakimbilia plan 'B' (kwa Zitto) akiwa na wafuasi wake wengi tu na hii inaweza kutikisa Chama tawala kwa muda lakini wakiwa makini wanaweza ku-nip in the bud ontime tatizo/changamoto hilo - mimi sio Mtume wala Nabii lakini naona tatizo hilo liko njani linakuja - Chama tawala tusipokuwa makini ya KANU yanaweza kuwa replicated hapa kwetu sooner than we think, forewarned....
 
Mkuu, sijajua ni kiasi gani those two guys are closer to each other. Hoja yako ni ya msingi. Lakini ninachokifahamu mimi, hata kama wangeunganisha nguvu, kwa kudhani wanakubalika na wanawafuasi wengi, hawawezi kushinda nafasi ya uraisi. Tena kama ikiwa ndivyo, hapo UKAWA watakuwa ni wafungaji kwenye goli lisilokuwa na keeper!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom