Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
Sheria gani umetumia kuzindua kampeni hii? Na je, umefikiri suala la umri wa mgombea wako?
 
zitto ni sawa na kopo tupu la samli..samli imekwisha na kopo limetupwa ktk dustbin..halina kazi tena!
 
ni desturi yangu kutochangia hread za kipuuzi especially zinzoanzishwa na magamba
 

acha uchuro wewe, waambie wavuaji magamba wamweke NAPE 2015.
 
Bado kwanza, asubiri, anatakiwa akue na ajifunze. Ikulu si mahali pa kutafutia uzoefu kama alivyodai JK wakati wa kampeni 2010 "Miaka mi5 iliyopita ilikuwa ya kujifunza, sasa tuna uzoefu" ambao pia bado hatujauona.
 

kama mmefikia hapo nitarudi ccm
 

Naomba twende kisayansi kidogo kuliko kutumia makalio na tumbo kufikiri,je unaweza kuniambia ni kwa nini kura za Zitto zimepunguwa sana alizopata kweye jimbo lake?
Ni vizuri ukiwa na mapenzi binafsi na mtu kama jinsia yako inakuruhusu ni heri umuombe akuoe maana Zitto hana mke, kuliko kutuletea habari za kusadikika hapa jamvini. Nenda kawashauri CUF kwamba safari hii urais agombee Mtatiro, na Zanzibar urais agombee Juma Ladhu, huu unaweza kuwa ushauri halisi.
 

Haikuhusu kwani CDM wanawachagulia CCM mgombea?Hamjamaliza kuvuana magamba mnarukia mgombea wa CDM 2015. Kwani nyie mtamsimamisha nani vile?
 
Kwanza unajua kuwa kwa tabia zake mbaya sana hata siku zake zinahesabika cdm. Ataenda nccr au TLP kwa taarifa zilizopo. Fisadi hatakiwi chadema. Hajatuambia walikuwa wanaongea nini na Rostam pamoja na Jack Zoka wakati wa uchaguzi mkuu 2010. Hajatuambia alivyokula fedha za Nimrodi mkono ili zitto amtoe mgombea wa chadema
 

Huyu ni gt wa cdm.
 
Nitamsaidia hata kampeni akigombea CUF ama Magamba Party. CDM asahau msaliti huyo
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Zitto ni Tunu kubwa kwa CDM,kila anayejifaragua hujifaragua kwa kujilinganisha na zitto, na hata wananchi husema ivi"tungepata vijana wengine kama Zitto". Kuna baadhi ya vijana walidhani siasa ni kuongea tu, kumbe ni zaidi ya hapo. Zitto ni mbunifu ambaye ubunifu wake huwakuna watanzania.
 
Uraisi ni wa Zitto 2015. Vinginevyo chadema itachakachuka balaaaaaaaaaaaaaaa. ndiye ataweza kupambana na The Dream Team.
 

ninamashaka na uwezo wako wa kupambanua siasa.nakushauri uhamie jukwaa lingine!!
 

Sisi wengine ni vipofu labda ungetusaidia tu kujuza huo ubunifu wake ni upi? au amebuni kitu gani? au jimbo lake lina maendeleo gani?
Nitarudi nasubili jibu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…