Pole. Hivi CCM walishakulipa vile ile michuzi ya Contract ya kuwachonganisha na baadae kuwasambaratisha CHADEMA?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.
zitto alikosea angekuwa nccr leo angekuwa na nguvu zaidi....
Naunga mkono hoja. Ukiachilia dosari na mapungufu madogo madogo,, ZITTO KABWE ndiye anafaa zaidi na mvuto zaidi ndani ya CDM kuliko Slaa au Mbowe. Huyu kijana anapendwa na watu wa rika zote na amejaa busara na hekima kuliko wengine. Hana mabo ya "hovyo hovyo" Sijawahi kusikia kaiba mke au girl friend wa mtu. Go ZITTOO!
Si Zitto wala Slaa wala Mbowe wanaofaa.
1) Zitto: jazba, hasira, hamaki, hafichi "emotions zake". Anafaa kuwa mkurungenzi wa idara katika serikali.
2) Slaa: hawezi kabisa uongozi. Alishindwa wa kanisa unaohudumia jamii yenye imani kama yake, na maadili ndio hivyo tena kama tujuavyo. Hafai hata kuwa diwani. Anafaa kuwa mfugaji na ajilimbikizie wake wa kumsaidia.
Mbowe: Huyu anafaa kuwa waziri wa starehe kutokana na ujuzi wake wa kuchezesha Disko kwa muda mrefu. Uongozi wowote wenye utendaji hauwezi kwani hata kampuni yake ilioanzishwa kwa mali za kurithi "kaifilisi" haina hata hela za kulipa deni alilokopa NSSF. Sasa huyu akipewa nchi si kasheshe.
Hukumsikia Mufti? ama unataka afuate maagizo ya maskofu?
Kusini hamna waislamu ? Natoka Mbeya na waislamu ni wengi tu.mufti asijisahau siasa unamhusu nini? hawa ndio wanaomponza JK, waonekane wanamtetea, watulie, arudishe kauli yake na akikataa poa, kusini hamna waislamu, amsaidie kwanza bosi wake gaddafi anaefanywa vibaya na DAVID na NICOLA, si aliaahidiwa msikiti wa gorofa shirin? ndio mana meitisha mandamano ya kumuunga mkono.
Kusini hamna waislamu ? Natoka Mbeya na waislamu ni wengi tu.
Nikienda kwa kigezo chako basi ata Zanzibar kuna Wakristo wengi tu!!
Hukumsikia Mufti? ama unataka afuate maagizo ya maskofu?
Hukumsikia Mufti? ama unataka afuate maagizo ya maskofu?