si kawaida yangu kutukana naomba nisianze leo, kwa nini baadhi ya watanzania wanadharau hivi wakati hali zao ni duni mara elfu kuliko za hao wanaokashifu? ni wachezesha disco kama mbowe wanaoweza kubadili maisha ya watanzania na washenzi kama nyie muendelee kupiga domo huku mkishindwa hata kitambaa cha kupenga kamasi. Inaudhi sana dharau za wasionacho, unaweza kumlinganisha mbowe na JK? au kwa kuwa anavaa joho la kijani? watanzania wamechoshwa na fikira mgando za kula bila kuzalisha nini disco we are better off kuongozwa na mama ntilie walau anajua kupanga mahitaji ya chakula sipendi kabisa dharau za poppers. mtabaki hivyo hivyo oo slaa kashindwa kuongoza kanisa wakati kura zake mmemuibia ingekua mnagamba mngeacha tuone leo hii baba zetu wangeshakuwa mahospitali wakipata matibabu ya kisayansi badala yake mko nao mnagombea foleni loliondo mavi hapo hapo, halafu mnalaumu maiti zimetapakaa, how about muhimbili tunalala nazo wodini masaa na masaa.