samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 215
Sioni tatizo zitto kuhutubia wanachama wa ccm inawezekana alikuwa anawaeleza sera nzuri za chadema ili kuwashawishi wajiunge na chadema.
tumbo linanuuma kuna mwenye dawa
jamani naomba kujulishwa huyu zito matendo anayofanya mpaka picha tumeona anahutubia wanachama wa ccm kwa nini viongozi wa chama chake hawayatolei matamko?nawakilisha
Nona ukiondoka wewe ndio itakuwa swafi unachuki za kisiasa nani kakutuma? mwache zitto awe zitto anachofanya bungeni kinakubalika kuliko kumkosa hoja kazi yako ni kumkera zitto kila ukichangiaShitambala mwenzie kaondoka Zitto sijui anasubiri nini aondoze zake tu
Sasa kama ww unataka kikombe hao wagonjwa we2 waliokuja huko inakuwaje?tumbo linanuuma kuna mwenye dawa
Oohh ahsante sana kwa kunielimisha, kumbe mlipata asilimia 1.34% zaidi ya robo! Hongereni sana, siku mkizidisha hiyo hesabu ikafikia ushindi, JMK atakuwa kisha staafu zamani. Mungu ampe umri mrefu.
Kwa sasa bado uguzeni majeraha.