Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Hizo ni habari ambazo msingi wake ni hisia zaidi huwezi kata tawi ulilokalia mbowe.
 
Hii CC ya CHADEMA haiendani na kasi ya mabadiliko ya nchi. Mtu ni msaliti na kila Mtanzania anajua hilo, lakini kumtimua hadi Mbowe afurahi, how come. Ndio maana wanahitajika viongozi wengi jasiri kama Lema ili mambo yaende. Bush alishasema No negotiations with terrorists, but CHADEMA wanataka negotiations na msaliti ambaye ni hatari kuliko terrorists
 
Ndg. wanajamvi,

Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.

Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Source: Gazeti la Raia Tanzania.

I'm waiting anxously!
 
Hizo ni habari ambazo msingi wake ni hisia zaidi huwezi kata tawi ulilokalia mbowe.

Nyie wabaya kumbe ndivyo mnavyomdanganya mwenzenu enh' mshamharibia future yake kisiasa maskini.....'
 
Ukweli hujitenga na uongo zzk wembe ulio mnyoa kaburu ndo utakao kunyolea wewe.
 
ujanja wa dagaa mchele ni baharini tu , ukimtoa tu kwisha kazi !
 
Hizo ni habari ambazo msingi wake ni hisia zaidi huwezi kata tawi ulilokalia mbowe.

Nyie misukule yake,ndio mmaomuharibia mwenzenu! atatimuliwa na hamtakuwa na cha kumsaidia.CDM IPO,ITAKUWEPO NA TUTAILINDA KWA NGUVU ZETU ZOTE!
 
kuna wananchi wengi wanataka kujiunga na cdm lakini wanasubiri mpaka MSALITI MKUU atimuliwe , hakuna namna yoyote ya kuishi na wasaliti , NI HERI SIMBA WAKALI 200 WALIO NJE YA NYUMBA KULIKO KITOTO KIMOJA KIDOGO CHA NYOKA KILICHOKO UVUNGUNI .
 
wangenipa zawadi ya mwaka mpya bana.......huu ukakasi unachosha.
 
Ndg. wanajamvi,

Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.

Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Source: Gazeti la Raia Tanzania.

Kamati kuu ilichelewa sana....Nitashukuru Mungu kama atafukuziwa mbali..
 
Ni wale wale tu habari ni ileile tu sidhani kama mnazidi elfu!!!!!

Ila mnavyopeana mioyo sasa!!!!!!!!!
 
Ngoja tupo kwenye kikao cha ukoo huku moshi pamoja nakula sherehe za mwisho wa mwaka tukishatoka huku tutakuwa na maamuzi mazito. Kamati kuu ndio sisi .

HILO NENO mkitoka makao makuu ya Chadema Uchagani pitisheni uamuzi Mgumu Juu ya Mbege na Kisusio
 
Zitto Zuberi Kabwe, ni mwanachama mkongwe katika chadema kuliko hao vibaraka waliongia juzi chadema kutoka vyama vingine, zito si msaliti bali hawa wageni wa juzi walioingia chadema kufata madaraka. kila chama kina ukomo wa nafasi ya uenyekiti, sasa hawa wachaga wanataka tena mwenyekiti atoke tena kaskazini.
 
Back
Top Bottom