Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

ha ha duh tunaingoja hiyo siku kwa hamu asindikizwe tu
 
Siku kuwagundua ni rahisi sana wala hata hamsumbui kama zamani!!

Kwanini ccm hukimbia maswali si nape, si mwigulu....nijibu maswali yangu kwanza niliyokuuliza nayarudia kwa kukusaidia.......

Hebu naomba jibu kwa hiyo ww uko hapa kutetea CDM isife siyo?
 
mwenyekiti alisema mh akirudishiwa nafasi zake anaachia uenyekiti namwoomba ajiandae kwani tarehe 3 cio mbali
 
Hawana ubavu wa kumuondoa ZZK

mwanasaikojolea,
Nafikiri unaota ndoto za mchana.
Kwa maana hiyo unataka kuliambia jamvi hili ZZK ni zaidi ya CDM kweli? You must be really day dreaming.

Nyie ndiyo kina Mwigulu na Nepi mnaomshabikia ZZK na kumvimbisha kichwa kwamba hatatoka CDM ilhali mnazidi kummaliza kisiasa.
Wewe subiri kibano cha CC hapo Januari,2014 halafu utajua kama CDM ni moto wa kuotea mbali!
Chezea CDM wewe!

Pambaf!
 
Ngoja tupo kwenye kikao cha ukoo huku moshi pamoja nakula sherehe za mwisho wa mwaka tukishatoka huku tutakuwa na maamuzi mazito. Kamati kuu ndio sisi .

Usihusishe cdm na kabila la watu, we kweli gamba. Cdm imemaliza nchi nzima unamana wasukuma nao wachaga - uctukane waTz, akili ya ukoo wa panya fupi km mkia wa panya.
 
I will be more than happy to hear ZZK is kicked out of CDM.
I am not a CDM member; but I wish this party grow stronger and bring some hope to the welfare of most Tanzanians.
 
Hakuna mtu wa kuweza kumfukuza Zitto pale CHADEMA.
Inawezekana lakini ikiwa hivyo ina maana ZITTO ni CDM na CDM ni ZITTO then sio chama tena.
Nampenda sana Zitto na ujengaji hoja wake lakini katika CDM naamini safari yake imefikia mwisho.
CCM watampa cheo ili 2015 apunguze kasi.
 
Msaliti, Mbinafsi mwache akaendelee na buku 7 Lumumba wenzake. Huku kwa watu makini hana nafasi tena. Asingekuwa mbinafsi na msaliti mkoa wa Kigoma leo hii kungekuwa na wabunge watatu au zaidi wa CDM.
 
Msaliti, Mbinafsi mwache akaendelee na buku 7 Lumumba wenzake. Huku kwa watu makini hana nafasi tena. Asingekuwa mbinafsi na msaliti mkoa wa Kigoma leo hii kungekuwa na wabunge watatu au zaidi wa CDM.

Alitoa sandakalawe NCCR wote hao.
 
Back
Top Bottom