Wewe kibori nangai siyo mfuatiliaji wa mambo. Zitto ni kati ya watu ambao wamemkosoa sana Magufuli akiwa Rais. Nitakupa ushahidi hapa;Haituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
We hufikiri,ukavue korosho bahati kuu!?Korosho zingevuliwa/kuchotwa kutoka baharini hata kwa kutumia masinia ya kupakulia ubwabwa.
Angeuwawa.Alikuwa wapi kuyasema hayo jamaa akiwa hai?
Zitto again, Kikwete is at work 😀✍️Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Hii post ya Maria Nyedetse ni ya kijinga sana. Unasema hakuna korosho ulizoziona zinaelea ufukweni? Wewe huijui bahari Kaa kimya!!Jamani tusitoe tuhuma zisizo na ushahidi, korosho za kiwango hicho umwage baharini hakuna hata zilizoelea mpaka ufukweni tukapata na KACLIP!!!???
Let the past be the past, heal and move on....
Hizi frictions na kukumbusha madonda huwa hazina mwisho mwema maana zitaendelea kujenga makundi na chuki baina ya makundi haya jambo ambalo ni bomu kwani ikitokea akapatikana mwehu mmoja akaliamsha dude tunaweza kujikuta tunaanzisha migogoro baina ya wenyewe kwa wenyewe!!!!
Inatosha jamani let us move on kama taifa!!!!
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Tulikuwa hatuna Rais aisee kama Hali ndio hii,daaBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Hii post ya Maria Nyedetse ni ya kijinga sana. Unasema hakuna korosho ulizoziona zinaelea ufukweni? Wewe huijui bahari Kaa kimya!!
Unasema tu move on?? How can we move on bila kujua tulipokosea??
Yule mburura wa Chato kwa ujinga wake wa kujiffanya much now kaharibu biashara ya korosho na kuwatia watu hasara. Na nyinyi mlivyokuwa wajinga mlimshangilia aliposema Serikali itanunua korosho!!
Sasa hapa tunaweka wazi uhayawani alioufanya eti mtu mmoja anasema tu move on!! Pumbafu kabisa, na ndiyo hawa wanasema tuache kumchafua marehemu
Dah!...hawa jamaa hawakujali kabisa kuhusu uchumi wa hii nchi.Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Kangomba sio kosa wala sio uhalifu.Zito alikua kangomba namba moja.
halafu mtu analeta hii km habari rasmi.dah hata km magu alikosea sio kwa style hiiHakuna mvuvi aliyevua korosho baharini muangalie jinsi ya kusema uongo wenu.
Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
CCM walitukosea Sana kuleta mtu wa hivi aisee..Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Washenzi kama wewe mlionufaika lazima mjitahidi kutetea mtu wenu.We don't trust you na cheap politics zako,another drama reloaded......after kumwaga hizo korosho baharini then akafanya nini tena!
Drama since morning up to evening,na si mfanye kazi mmmscheeeew!
kuficha aibu ya kuingiza jeshi kufanya Kazi za kipuuzi harafu korosho kwa kukosa soko mkamwaga Ili watu wasijue.Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
CCM watutake radhi kabisa, Magufuli alikuwa na rekodi za uharibifu kila Wizara lakini ccm wakakomaa nae kwa kumuogopa Lowassa.Yule baba kaiingiza hii nchi hasara kubwa
Wewe ungeweza kumsema Magufuli akiwa hai na Rais?Alikuwa wapi kuyasema hayo jamaa akiwa hai?