Sukuma gang naona jiwe limewagusaUgumu kwa Zitto ulikuja kwasababu Zitto ni tapeli wa siasa, Magufuri hakupenda matapeli kwasababu Magufuri ananjua tokea ikiwa Chadema,jinsi Kikwete alivyokuwa akimtumia akiwa Chadema,hivo Magufuri alimkatia hiyo milija ndio chanzo ugonvi juu ya magufuri,kwani Zitto anausafi upi?
Kuna figures kawekaFacts na figures za zitto ziko wapi?
Marais ndio wananunua korosho? Au kwakuwa yeye alikuwa anaingilia kila jambo basi mnadhani kila rais anafanya huo upuuzi.Yani mnamuamini zito kwenye huu upuuzi !!! Korosho haziwezi kukosa soko,magufuli alikuwa na namba za simu za Marais wengi Duniani kwenye ma viwanda huko asingeshindwa kuzipeleka
Zitto muongo,huu ujinga awadanganye watoto,naweza kukubali jiwe alisababisha hasara Ila sio hii
Kuna figures kawekaZito kaleta facta gani hapo?ushahidi.kwamba zilimwagwa baharini uko wapi?
Naye atoe ukweli kwa ushahidi. Mie kusema wewe ni mwizi naihakikishia vipi mahakama sasaHoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Mh!Huyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.
Kuna figures kawekaNaye atoe ukweli kwa ushahidi. Mie kusema wewe ni mwizi naihakikishia vipi mahakama sasa
Lipia kipindi ITV ili watu wengi zaidi wakusikie. JPM hakamatiki, akiwa hai na sasa kaburini so put that in pipe and smoke it!Dikiteeta
Mirija ya ufisadi ilivyofungwa,si yeye tu hata hao mloimba miaka nenda rudi wanamaliza tembo wetu.Leo ndo mnawashangilia wamerudi.Nyi hamjitambui na hamtokaa kuja kujitambua
Umwage baharini wananchi wasijui.. hebu akanye kwanza huyo nyepesiBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Korosho zinavuliwaje kiongozi?!!!Hakuna mvuvi aliyevua korosho baharini muangalie jinsi ya kusema uongo wenu.
Hapa hakuna cha jiwe, Zitto ni tapeli wa siasa tu,Kama ni mkweli haweke ushaidi wa picha tu.Sukuma gang naona jiwe limewagusa
Hahaha Najiuliza Kwanini Wasipewe Watu Wale.Korosho sio maembe au mapapai kwamba zikikaa week zinaoza.Zitto ni muongo mkubwa hana tofauti na Kibwetere.Yaani korosho ipite bandarini ilipiwe gharama zote halafu ikatupwe??? Huyu kijana sio bure laana ya uchawi wa kwao imeanza kumtafuna.
Aisee. Sasa mambo ni mengi.Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765