Kwamba kitu kikikosa soko kinatupwa!!?? Hii ndo naona leo ndugu watz kwann wasingezirudisha kimyakimya sasaBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Nyavu zinase korosho!!?..unajua hata samaki anavyonasa kwenye wavu!?HiHakuna mvuvi aliyevua korosho baharini muangalie jinsi ya kusema uongo wenu.
Halafu wazifanyie nini!?...wake kusema zimekosa soko wakati zimekusanywa na jeshi!!Kwamba kitu kikikosa soko kinatupwa!!?? Hii ndo naona leo ndugu watz kwann wasingezirudisha kimyakimya sasa
Wewe mchaga Tangu lini ukafurahia wazalendo haliyakua nyinyi mna historia nzuri ya kupokea mafisadi ktk vyama vyenu?Kwahiyo urundi ndiyo ulimfanya Jiwe aingilie biashara ya korosho na kufeli?
Hii nchi ukiwa na aibu hauwezi kutajirika🐒Halafu hapo baadhi yawatu kwenye hiyo picha eti bado "wanatumikia" taifa kwenye nyadhifa kubwa kabisa,bila soni wala aibu walilidanganya taifa hadharani.
Nawewe unaitwa baba kabisaaa nyumbani?Sukuma gang kamwe kwenye hili hakuna wa kukubali maana ni aibu
Kwani kukosa soko ni kosa!!?? Hiyo si ilikuwa biashara kama biashara nyingine!?Halafu wazifanyie nini!?...wake kusema zimekosa soko wakati zimekusanywa na jeshi!!
Kwa nini hakusema wakati ule uleHuyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.
Mpelekeni mahakamani huyo Makonda kama una uthibitisho wa makosa ya jinai aliyoyafanyaAfungue mdomo atekwe na kina Makonda?
Mirija ya ufisadi ilivyofungwa,si yeye tu hata hao mloimba miaka nenda rudi wanamaliza tembo wetu.Leo ndo mnawashangilia wamerudi.Nyi hamjitambui na hamtokaa kuja kujitambuaHakuna kipindi Zito amekutana na ugumu kama wakati wa Magufuli. Na yote hayo ilikuwa ni juu ya kumsema huyo kiongozi muovu.
Slaa kasema chadema wanatabia ya kujiteka na kisha kusingizia watu wasiojulikana,jibuni hoja yake acheni kumdhiaki,anza na hoja kwa slaa kwanza.Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Kabla hazikua zikikosa soko,ukuaji ulipokuja ikawa shida...hawakutaka kuonekana hawajuiKwani kukosa soko ni kosa!!?? Hiyo si ilikuwa biashara kama biashara nyingine!?
Sio kila mtu anawaamini bwana. Hata hao wachache wanaowaamini wanajilazimisha kuamini ili kufurahisha nafsi zao japo wanajua sio kweli.anaeleta tuhuma ndio anapaswa kuleta ushahidi na sie kazi yetu ni ku challenge huo ushahidi
Mtume s.a.w katutahadharisha sana dhidi ya uongo hadi akatuamrisha tuuseme ukweli hata kama utatugharinu na tujiepushe na uongo hata kama utatupa maslahi
Hayati JPM anasingiziwa mengi sana na kwa kuwa watu wamejaza chuki vifuani basi kila kitu wanaamini …inanikumbusha baada ya vita ya Kagera kila sifa mbaya akapewa Iddy Amin hadi kuna mijitu hadi leo inaamini alikuwa anaua Mawaziri wake na anahifadhi na kula miili yao
Zito kaleta facta gani hapo?ushahidi.kwamba zilimwagwa baharini uko wapi?Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Ambao mko kwenye nafasi msifanye makosa ili jamii ione kweli Magufuli alikuwa na makosa siyo kulazimisha kuwaaminisha kwa makosa yasiyo na uthibitishotatizo hamtaki kujifunza kutokana na makosa
Bwana mkubwa yule sifa zilikuwa zinamponza sana aiseeKabla hazikua zikikosa soko,ukuaji ulipokuja ikawa shida...hawakutaka kuonekana hawajui
Nenda mahakamani kadai haki yako kama ulidhulumiwaHakika alituumiza sana kuanzia kiakili hadi kiuchumi
Nyavu zinase korosho!!?..unajua hata samaki anavyonasa kwenye wavu!?