Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Ndugu Mnyika,
Heshima yako mkuu,asante sana kwa kuja hapa jamvini kuweka mambo balanced maanake nimeona spinning ya kitoto kwenye hilo gazeti.Kwa hii taarifa yao sioni kama kiutendaji linatofautiana na magazeti ya udaku.
Mkuu,ndio maana nikaseama hapo juu Chadema ni chama chenye Demokrasia inayomruhusu mtu kutoa mawazo bila kuketishwa chini kama wale wa CCM bungeni.Unajua katika kuaangalia mbali tukitaka kujua chama makini kinachohubiri demokrasia ya kweli tukiangalie jinsi kinavyoendesha mambo yake ya ndani kwanza,leo hii Chadema iliyojizoesha kutoa uhuru wa mawazo kwa viongozi na wanachama wake hat siku moja ikichukua Dola haitaogopa tena kukabiliana challenge zitakazoletwa na wabunge wake au na wananchi au kutoa uhuru huo kwa wananchi.Demokrasia ya nchi yetu imedumaa kwa sababu CCM wenyewe hawana demokrasia ndani yao unadhani watawezaje kutoa demokrasia kwa watu wa nje?