Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa.

Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo usitishwe hadi andiko litakapoboreshwa ili wanufaika wawe ni wasichana wote bila kujali walipata ujauzito ama la.

Source: BBC Dira ya Dunia

My take: Hii tafsiri ya Uzalendo iliyotolewa na Zitto ni sahihi?
Kapuuzi tu haka! Hawa ndo baadaye wataanza kutetea ushoga. Muhimu ni kuzuia mimba, siyo kuruhusu kuzaa na kurudi shuleni.
 
Kwa nini asitoe mapendekezo ya kuboresha hiyo proposal serikalini? au Angetuma tu proposal yake kwa waziri husika ,kama asinge jibiwa angeweza kumquat hata ofsini kwake moja moja na Kujadiliana kuboresha proposal hiyo, kama una access na world Bank inakuaje ukose access na watu husika nchini, hata kama serikali ikikupuuza its okay mfumo wa democracy tuna debate internally kama hatukubaliani tuna waachia wana nchi waamue wenyewe kwa kura, kama zitto sera yake haita wabagua watoto wa kike wanaopata mimba hiyo nzuri what he needs to do awaambie wananchi tumchague kwa sera zake ili aje kuitekeleza ukishindwa una chill out unapisha wengine wenye sera mbadala sio tena kuanza Kuandika nakala ambazo hazina tija.

Kwani mbona Trump sera zake Hazitmbui mashoga lakini bado alichaguliwa na wananchi kwa sera yake hiyo, baada ya yeye kuwa Rais ,democratic walituma barua kwenda UN kuwa ambia UN isishirikiane na USA kwa sababu Trump hakubaliani na mashoga? ,kaa na sera yako hiyo subiri uchaguzi unadi sera yako.
 
Kwahiyo wanaoisifia serikali siyo wazalendo?!
Huu uzalendo unaosubiri Magufuli akosoe ndo wengine mfuate?
Magu: Lugola wewe ni jembe piga kazi, (thebaptist & Co) shangwe na vigeregere Kangi ni jembe.
Magu: Lugola wewe ni mwizi na mkiukaji wa taratibu(thebaptist &co.) Kangi umetuaibisha CCM tunakutaka kwenye kikao tukusokote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini umlipie nauli na sio kumpa maarifa ya kuipata hiyo nauli, hivi ndiyo mnawafanya vijana waone maisha magumu na waendelee kuwa watumwa wa ccm, wakiamini hakuna maisha nje ya ccm.
Ndio maana vijana wanaoingia ccm wakipata maisha hawakai ccm tena, akikaa jua bado ananyonya (wazoea vya kupewa) kuna hatari huko mbeleni ccm kuwa chama cha kuanzia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ya kichama mkuu
 
Kwenye hili Zitto amecheza vizur mana kama zingetolewa wenye makali huenda wangetumia kinyume na malengo ya waliotoa. Lakini tujiulize je baada ya lile tamko la Rais kuhusu watoto kupata mimba je mimba zimeongezeka au zmepunguaa?takwimu zingeletwa hapa ili tuone kama dhamira ilyokusudiwa imefikiwa. Kama la basi Zitto yuko sahihi mana sasa tunakosa vyote!!
Hapa kinachoumiza mtiaji mimba anapga shule tu.halafu msichana anasota nyumbani..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka kuliwahi kuwa na kashfa moja humu JF kuhusu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM Mzee Makamba.
Kwamba alipokuwa mwalimu wa shule huko Kigoma aliwahi mtia mimba mwanafunzi kisha akakimbia.
Ina maana binti yule hata kama alikuwa na akili kiasi gani pengine kuna kuwa mwanasayansi bingwa wa mambo ya Nyuklia ndio ikawa basi hakuna kusoma tena.
Mwalimu Makamba aliyemtia mimba yeye akaja kupewa ukatibu Tarafa, Katibu wa chama, sijui nani, mara mkuu wa mkoa na mwisho nafasi ya juu Katibu mkuu wa chama utawala.
Jee ubaguzi huu sio ushetani dhidi ya mtoto wa kike?
Aliyepewa jukumu la kumlinda mtoto mwalimu Makamba yeye ndio kaharibu maisha ya mtoto na ndiye anatunukiwa vyeo yule aliyeharibiwa anachombiwa shimo kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa.

Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo usitishwe hadi andiko litakapoboreshwa ili wanufaika wawe ni wasichana wote bila kujali walipata ujauzito ama la.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take: Hii tafsiri ya Uzalendo iliyotolewa na Zitto ni sahihi?

Huyu hapa, yuko very precisely kuhusu hoja hii. Sijui wanaompinga Zito ni kwanini hawaoni ukweli huu. Basi ni kama mbwa ambaye humbwekea kila mtu hata kama ni boss wake

Na kwa kweli WB wameelewa hoja ya Zito akishirikiana na wanaharakati wengine.

Halafu mbona ni rahisi tu? So tunataka hela za Beberu huyu Mkubwa?

Simple. Serikali haraka sana ifanye mabadiliko ktk sera na sheria ya elimu kwa kutoa vipengere vya kibaguzi dhidi ya mtoto wa kike anayepata mimba akiwa shuleni na ieleze mpango thabiti wa kumwendeleza...

Napia waeleze clearly namna fedha hiyo itavyotumika. Daah kumbe mpango wake ni kuzigeuza kifisadi fedha hizi kwa kutumiwa na CCM kwenye kampeni?? Sikujua. Asante Zito kwa kutufumbua macho!!

The loan has been suspended until further notice
.....!!
 
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa.

Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo usitishwe hadi andiko litakapoboreshwa ili wanufaika wawe ni wasichana wote bila kujali walipata ujauzito ama la.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take: Hii tafsiri ya Uzalendo iliyotolewa na Zitto ni sahihi?
Ukiona hivi ujue kuna agenda nyingine iko nyuma.!
 
Mbona amesalimu amri bwashee?!

Hajazuia mkopo bali ameomba maboresho ya andiko uwe unaelewa na wewe!
Vyote ni sawa tu!Inajulikana wazi JPM hawezi kula matapishi yake hivyo basi pesa hiyo haitoki maana kila upande ni ngangari!

Japo kwenye sheria ya Takwimu tulisalimu amri,sidhani kama kwenye watoto wa kike Jiwe atakuwa tayari kumeza pride yake!
 
Back
Top Bottom