Zitto Kabwe: Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge

spika ifikie wakati ajue zitto mmoja ni sawa na wabunge 70 wa ccm kwa fikra...naamin hata kamati hamna mtu au wote uwezo wao wa fikra kisiasa hawamfikii zito hata robo.....wajifunze kutoka kwake sio kumdisturb bila jambo la maana
....Una quote uzi wote ili iweje sasa? Huoni wewe kwamba utaleta usumbufu?
 
Hapa ndio utaona tofauti ya kubenea na zitto, wakati kubenea alipoitwa mbele ya kamati alipata malaria ya gafla (hofu) na kushindwa kujieleza mbele ya kamati zito kwa upande wake yeye amemwaga madini hayo hapo juu .....na ushahidi wa nguvu!
....To be fair subiri kwanza uone na utetezi wa Kubenea, pia it is inhuman kumdhihaki mwenzio anayeumwa.
 
Zitto ameongea ukweli lakini kwa jinsi ilivyo haisaidii utawalaunaotaka kuanguka huwa hauna nafasi ya kurekebisha zaidi ya kuhalibu zaidi...
Tazama hii maamuzi yake yatakavyokuwa ndio utaelewa..
 
Tatizo la viongozi wengi wa dogo ni kujipendekeza kwa wakubwa.
Hata hiyo kamati itapindisha sheria huta Amini hata kidogo.....

Ilimwacha huru BASHITE TU
 
Aliyekwambia Zitto anasimamia uongo Nani? Ulisoma na kuelewa nilichoandika au matope yako kichwani yanakudanganya tu?/ Pimbi makalio yako
...Narudia acha kuleta upimbi hapa na comments zako za kijuha.
 
principle ya watz ...hatupendi kusoma.....ukiona ni usumbufu unakausha...kila kitu sio lazima uchangie
....Acha ujinga ww! Yaani una quote very long text ili utupe kazi ya ku scroll down?? Hata kama sichangii utakuja kunisaidia ku scroll? I wonder if you even understood what you have written.
 
WHICH POLICE?
This is depressing.

If you are sceptical of the:
- Office of the President,
- President,
- Law enforcement organs,
- Courts,
- Parliament,
- Speaker of the Parliament,
- and everything else
then why are you still living in Tanzania?

Acording to many of you Kenya is more free, safer, more democratic, have superb Judiciary etc., than Tanzania. Move over there.

The oposition is so negative about everything Tanzanian. Never heard of you saying anything positive about our country during Magufuli's administration.

If I were you I would migrate and stay out until Magufuli's terms are over. It is really depressing talking to the likes of you cry babies. Just spare us the invectives please.
 
Zitto Zuberi Kabwe hapo umekuwa kama Malcom X, Martin Luther King Jr na Marcus Garvey wa ukweli.

Umenikuna moyo na akili yangu!
 
This is depressing.

If you are sceptical of the:
- Office of the President,
- President,
- Law enforcement organs,
- Courts,
- Parliament,
- Speaker of the Parliament,
- and everything else
then why are you still living in Tanzania?

Acording to many of you Kenya is more free, safer, more democratic, have superb Judiciary etc., than Tanzania. Move over there.

The oposition is so negative about everything Tanzanian. Never heard of you saying anything positive about our country during Magufuli's administration. i future

If I were you I would migrate and stay out until Magufuli's terms are over. It is really depressing talking to the likes of you cry babies. Just spare us the invectives please.[/Q
My question had two words with eleven letters and here comes a reply of million words....... to my sorrowful moments people who are very smart in our country are taken as fools, i was taught about the functions and duties of the Government,Parliament and Judiciary in standard 3 Civics no wonder things are very opposite to what is taught and we expect people to have fruitful future in this kind of mess ONLY time will tell.
why going Kenya........being a Tanzanian does not mean you can not see things in clear picture if you don't some else will.

A Big disappointment comes from those who are educated yet they act as illiterate....i don't know BUT we have been fighting from the three enemies which are Illiteracy,Diseases and Poverty , till today we are still struggling infarct the real enemies to me are those who are enlighten but still illiterate.
 
Lissu alianza siku nyingi (late 90's) kuikemea serikali kuhusu mikataba mibovu na sheria mbovu za madini. Serikali zilizopita za CCM ndizo zolizofanya madudu haya. Magufuli alipoingia madarakani akadhamiria kurekebisha kosa hili.
Magufuli amekuwa sehemu ya serikali (utawala) kwa muda wa miaka zaidi ya 20 toka mwaka 1995 katika ngazi ya uwaziri. Wakati mikataba mingi inasainiwa, Magufuli alikuwa Cabinet Minister akihudhuria na kushiriki katika vikao vyote vilivyojadili na kupitisha sera za serikali. Baadhi ya utekelezaji alisimamia yeye mwenyewe kama Magufuli na kama Waziri.
Nilimshangaa Lissu alivyogeuka kuwatetea ACACIA pale makinikia yalipokamatwa. Akageuka kuwa mtetezi wa haya makampuni na kuitisha serikali badala ya kuwa kwenye timu ya serikali.
Acha uzushi ndugu yangu, hakuna hata mara moja Mh. Tundu Lissu ameitetea ACACIA, alichofanya ni kuitahadharisha serikali madhara yanayoweza kuikabili nchi wakivunjaa mikataba hovyo bila kufuata taratibu za kisheria. Naomba uwe muungwana uweke hapa ushahidi wa Lissu kuwatetea ACACIA zaidi ya kuitaka serikali kuheshimu mikataba waliyoingia kwa ridhaa zao bila kulazimishwa.
Sasa hivi bado majadiliano ya makinikia yanaendelea lakini sheria ya madini imekwisha rekebishwa na mikataba kadhaa imetakiwa kupitia upya. Hivi Lissu yupo upande wa nani?
Kama kweli wewe ni msomi kama unavyotaka kutuaminisha, je unaweza kutufafanulia marakebisho yoyote ya sheria yanaanza kutumika lini. Unasema umeishi Marekani miaka 35 lakini, bila hata kuwa mwanasheria, what do you understand by the term retroactive law or legislation. Mh. Tundu Lissu alikuwa anatoa angalizo tu ya namna serikali ishughulikie hilo jambo la mikataba kwa busara na hekima bila kulisababishia taifa madhara.
Kumchukia Magufuli haimaanishi uichukie hata nchi yako kufikia kuwaomba wafadhili wa nje wasiisaidie TZ. What is this?
Hivyo hivyo kumpenda Magufuli haimaanishi asikosolewe pale anapokurupuka na kuipeleka nchi kusiko. Ukurupukaji wake umeishatuingizia kama taifa hasara ya mabilioni kwa mabilioni ambayo yangeepukwa kama angesikiliza ushauri. Yeye anawachukulia wapinzani kama maadui na kila mara anatenda mambo kama vile anawakomesha wapinzani akisahau nao ni wananchi wenye uchungu na rasilimali za taifa hili.
Oh yes, CDM has a lot to gain kama Lissu hayupo. Sidhani kama wamefanya hivi lakini fikiria:
If you are what you claim to be this is beneath you and I don't think it is worth responding to...on the contrary I believe Chadema has a lot to gain kama Mh. Tundu Lissu yupo. Nadhani kuishi kwako nje has a lot to do with your kind of thinking.
1. Lissu nyota yake imepaa kiasi cha kuzifunika nyota za Mbowe, Lowassa, na Mashinji. Akiondoka Lissu nyota za hawa vinara zitarudi.
2. Kuna uchaguzi wa mwenyekiti wa CDM. Wanachama wengi wa CDM wanafikiria Lissu anafaa kuwa mwenyekiti. Lissu akiondoka huu ushindani wake utakuwa haupo tena.
3. Kuna uchaguzi wa rais ifikapo 2020. Lowassa pengine atataka kusimama tena. Lakini mvuto wa Lissu umewafanya wanachama wengi wa CDM kutaka agombee urais.
4. La nne na la mwisho. Kama Lissu akiuawa, na kama waTZ wakihisi serikali ndiyo iliyohusika, watu wengi pamoja na wasio na vyama na hata wanachama wa CCM watakasirishwa na serikali ya Magufuli na kuwaonea huruma CDM. CDM watashinda uchaguzi wa 2020 na kuchukua dola.
Naona ni wazi kabisa kwamba huijui historia ya Mh. Tundu Lissu tukiacha vichache ulivyookota mitaani. Ungejua jitihada zilizofanywa pamoja na vishawishi vilivyotolewa na serikali ya CCM kutaka kumrubuni kwa miaka karibu ishirini lakini zote zikashindikana. Mh. Tundu Lissu aliwapigania na kuwatetea watu mahakamani kwa kujitolea na bila malipo kwa sababu ni mtu anayeamini katika uhuru na haki...hakusubiri hadi awe mbunge au Rais wa nchi.
Sasa hizi 4 ndizo sababu za kwa nini CDM wangetaka Lissu afe. Nipe sababu kuu kwa nini Magufuli na/au serikali yake ingetaka Lissu afe.
Kifyatu Mh. Tundu Lissu hangekuwa mkosoaji wa kwanza wa hii serikali kutishwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa. Bila shaka unajua jinsi madikteta wanavyochipuka na kuimarika kwa kutumia vyombo vya dola kuzima sauti za wasiokubaliana na utendaji wao. Kwa namna hiyo idadi kubwa ya wananchi wanasikia tu upande moja.

Hakuna aliyedai kupendwa na asilimia kubwa ya wananchi wake kama Adolf Hitler wa Ujerumani au kwa hivi sasa Kim Un-Jung wa Korea Kaskazini. Swali lililojitokeza kwa Adolf Hitler ni kwa nini alihitaji chombo kama GESTAPO kama kweli alipendwa kiasi hicho? Kumbuka madaraka hulevya na bila checks and balance huzaa umungu-mtu.

Umedai hapo awali kuishi Marekani kwa miaka 35, sasa fikiria hii scenario...Senator au House Rep bila kujali itikadi yake anamiminiwa risasi kama alizomiminiwa Mh. Tundu Lissu. Je wananchi wangezuiwa kuandamana kulaani kiendo hicho? Je kuna chombo cha habari kama TV hakingelipa uzito tukio hilo kama kipaumbele (Breaking News)?

Nina hakika vyombo husika vingekuwa vinatoa update ya uchunguzi kila baada ya muda na swali la Democrat au Republican halingeibuka. Rais angekuwa ameshatoa tamko na kuagiza kupewa maendeleo yalikofikia nyakati zote na Waandishi wangekuwa wanadai ripoti hatua kwa hatua juhudi za serikali kukabiliana na tukio hilo.

Ningetaka nieleze mengi lakini kama wewe kweli ni huyo unayedai ndiye then I give up...umeshinda. I give up kwa sababu hata ambaye hakuona milango ya shule hangejitokeza na dhana ya utetevi wa kipuuzi na hovyo kama ulivyofanya. Ujasiri wako kama msomi ni wa aina yake, ni ujasiri ambao mimi sina na nakupongeza sana kwa hilo.
 
Your question was very short. However, some of us read between the lines. That is why my answer was long and verbose.
 
Ngoja tujikumbushe umahiri wake...

img-20170605-wa0029-jpg.519893
Taarifa zinaonyesha kwamba huyo mhanga alipewa U-DC kama kipoza maumivu .
 
Eeeh, hapa ipo kazi. Ngoja nidadavue hizi hoja zako moja moja.

Lakini safari nyingine mkuu elimu yangu isikusumbue sana. Nimebobea kwenye uhandisi lakini sio kwenye siasa. Kwa hiyo maoni yangu katika masuala ya siasa ni sawa au pengine chini ya yule wa darasa la 7. Nirarue tu ninapokosea.

Magufuli amekuwa sehemu ya serikali (utawala) kwa muda wa miaka zaidi ya 20 toka mwaka 1995 katika ngazi ya uwaziri. Wakati mikataba mingi inasainiwa, Magufuli alikuwa Cabinet Minister akihudhuria na kushiriki katika vikao vyote vilivyojadili na kupitisha sera za serikali. Baadhi ya utekelezaji alisimamia yeye mwenyewe kama Magufuli na kama Waziri.
Nyie wana CDM mmekuwa kama kasuku. Mnarudia rudia kitu hicho hicho kuhusu Magufuli kuwepo kwenye serikali za awamu za nyuma wakati mikataba inasainiwa.

Hilo ninalijua, na Magufuli analijua na ndio maana alipopata urais akaamua kulirekebisha. Sasa kinachogomba hapa ni nini? Yani mnataka asirekebishe sheria na mikataba ya madini kwa sababu zilitokea wakati yeye akiwa waziri? What kind of oxymoronic logic is this?

Acha uzushi ndugu yangu, hakuna hata mara moja Mh. Tundu Lissu ameitetea ACACIA, alichofanya ni kuitahadharisha serikali madhara yanayoweza kuikabili nchi wakivunjaa mikataba hovyo bila kufuata taratibu za kisheria. Naomba uwe muungwana uweke hapa ushahidi wa Lissu kuwatetea ACACIA zaidi ya kuitaka serikali kuheshimu mikataba waliyoingia kwa ridhaa zao bila kulazimishwa.
Makinikia hayakuzuiwa kwa sababu ya mikataba mibovu. Makinikia yalikamatwa kwa sababu ACACIA walikuwa wanadanganya ni kiasi gani cha dhahabu kimo ndani yake.

Rais siku zote alikuwa anatafuta mwanya wa kuwavaa hawa wawekezaji ili abadilishe sheria na kurekebisha mikataba. Alipopata taarifa za ki-intelijensia kuwa mzigo uliopo bandarini una mali ya wizi ndipo alipojua wakati umefika kutekeleza his strategic goal ya kubadilisha sheria na mikataba.

Angalia u-genius wa Magufuli hapa. Alitumia kakosa kadogo kalichofanywa na ACACIA (a tactical/short-term manoeuvre) ka wizi katika makontena ili kukamilisha lengo lake la kudumu/muda mrefu (a strategic goal) la kurekebisha sheria ya madini pamoja na mikataba yake. You have got to give it to him, the man is a genius. This is straight from Sun Tzu's book "THE ART OF WAR".

Lissu wakati wote huu alikuwa anaishauri/anaikemea serikali iachie yale makinikia kwa sababu ACACIA watatushitaki mahakama za ulaya "watakao tushughulikia kikweli kweli" na "tutakiona cha mtema kuni". Hakuna hata siku moja Lissu alipozungumzia ule wizi wanaoufanya ACACIA ambalo ni kosa la jinai.

Mawili, ama Lissu alikuwa analipwa na ACACIA aifanye serikali iachie yale makinikia, au Lissu ni mwana sheria mbumbumbu sana kutaka kuwaachia wahalifu wa kosa la jinai. Chagua jibu moja hapa.

Kama kweli wewe ni msomi kama unavyotaka kutuaminisha, je unaweza kutufafanulia marakebisho yoyote ya sheria yanaanza kutumika lini. Unasema umeishi Marekani miaka 35 lakini, bila hata kuwa mwanasheria, what do you understand by the term retroactive law or legislation. Mh. Tundu Lissu alikuwa anatoa angalizo tu ya namna serikali ishughulikie hilo jambo la mikataba kwa busara na hekima bila kulisababishia taifa madhara.
Sijui kwa nini elimu yangu na ninapoishi vinakutia kiwewe. Mimi ni mtu wa kawaida sana. Elimu ni makaratasi tu. Tuzungumzie utu wetu.

Sheria mpya mara nyingi haziwahusu waliofanya mikataba kabla ya marekebisho mapya ya sheria (yani sheria mpya hai-affect mikataba yote ya zamani retroactively). Hiki kipengele kinajulikana kama "Grandfather Clause" ambapo mikataba ya zamani itafuata makubaliano ya sheria za zamani wakati sheria mpya ikitekelezwa kwa wanaoingia mikataba mipya.

Sasa mimi sio mwanasheria na sijui kama hii sheria mpya ina grandfather clause ndani yake. Waliosimamia haya maboresho ya sheria ni wabobezi wa sheria kama Prof. Kabudi (a very close friend of mine). Sitegemei wamepitwa na kipengele chochote kile. I trust them implicitly.

Hivyo hivyo kumpenda Magufuli haimaanishi asikosolewe pale anapokurupuka na kuipeleka nchi kusiko. Ukurupukaji wake umeishatuingizia kama taifa hasara ya mabilioni kwa mabilioni ambayo yangeepukwa kama angesikiliza ushauri. Yeye anawachukulia wapinzani kama maadui na kila mara anatenda mambo kama vile anawakomesha wapinzani akisahau nao ni wananchi wenye uchungu na rasilimali za taifa hili.
Sidhani kama ni kweli Magufuli hapokei ushauri. Kinachogomba ni kuwa kila wakati wapinzani wanapotaka kumpa ushauri Rais hufanya hivyo kwa kupanda majukwaani au kwenye mitandao na kuutangazia ulimwengu wote pale anapokosea.

Hivi ilikwishatokea hata siku moja kambi ya upinzani kuomba kukutana faragha na Rais kujadili mambo nyeti yanayolihusu taifa letu? Au walikwisha mpelekea waraka Raisi uliosheheni maoni yao na wakakosa majibu?

CDM bado kinajiendesha kiharakati na hutumia sababu yoyote ile kubwatuka kwa wananchi ili wa-score political points. Hii sio njia nzuri ya kuendesha upinzani katika plural politics.

Sasa kwa sababu wanajiendesha kiharakati, ina maana kuwa mara nyingi wanavunja sheria ili kuamsha hisia kwa wananchi na ndipo wanapokamatwa na vyombo vya dola. Harakati za kisiasa siku zote zinaambatana na mtafaruku kati ya wanaharakati na vyombo vya dola.

If you are what you claim to be this is beneath you and I don't think it is worth responding to...on the contrary I believe Chadema has a lot to gain kama Mh. Tundu Lissu yupo. Nadhani kuishi kwako nje has a lot to do with your kind of thinking.
Forget about what I am. I can go as low as it takes. I can wrestle with pigs in the mud if need be.

Nyie CDM, don't throw rocks while living in glass houses. Nyie kila leo mnamshutumu Magufuli na serikali yake kuwa imehusika na shambulizi la Lissu bila ushahidi wowote. Hamtoi hata rationale ya kwa nini serikali inahusika. Lakini you cry foul mtu akidokeza tu possibility ya kuwa CDM wenyewe ndio wanaohusika.

No, this is not beneath me. It is plausible that some elements within CDM were responsible for this heinous act. Why are you muzzling people for even hinting about the idea? Allow people to explore this avenue and let the chips fall where they may. What are you afraid of?

Naona ni wazi kabisa kwamba huijui historia ya Mh. Tundu Lissu tukiacha vichache ulivyookota mitaani. Ungejua jitihada zilizofanywa pamoja na vishawishi vilivyotolewa na serikali ya CCM kutaka kumrubuni kwa miaka karibu ishirini lakini zote zikashindikana. Mh. Tundu Lissu aliwapigania na kuwatetea watu mahakamani kwa kujitolea na bila malipo kwa sababu ni mtu anayeamini katika uhuru na haki...hakusubiri hadi awe mbunge au Rais wa nchi.
Kufanya kazi za kujitolea (pro bono) ni kitu cha kawaida sana. Mimi nimefanya na ninaendelea kutoa huduma za taaluma yangu kwenye sehemu yangu kwa kujitolea. Kwa yeyote yule mwenye taaluma, kufanya community service ni kitu cha kawaida sana na ni wajibu wake. Wengine tunatoa hizi services globally (Engineers without Borders). Kwa hiyo Lissu sio unique in that area.

Kifyatu Mh. Tundu Lissu hangekuwa mkosoaji wa kwanza wa hii serikali kutishwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa. Bila shaka unajua jinsi madikteta wanavyochipuka na kuimarika kwa kutumia vyombo vya dola kuzima sauti za wasiokubaliana na utendaji wao. Kwa namna hiyo idadi kubwa ya wananchi wanasikia tu upande moja. Hakuna aliyedai kupendwa na asilimia kubwa ya wananchi wake kama Adolf Hitler wa Ujerumani au kwa hivi sasa Kim Un-Jung wa Korea Kaskazini. Swali lililojitokeza kwa Adolf Hitler ni kwa nini alihitaji chombo kama GESTAPO kama kweli alipendwa kiasi hicho? Kumbuka madaraka hulevya na bila checks and balance huzaa umungu-mtu.
Pia Lissu sio kiongozi wa kwanza kudhuriwa na vidole vikaelekezwa kwa CDM.

Nyie CDM mnajifanya ma-expert sana wa masuala ya madikteta na udikteta. Nitanukuu kutoka kwenye scriptures hapa kwa ajili yako, assuming wewe ni muumini wa dini ya kikristu:

"Toeni kwanza hilo boriti kwenye jicho lenu kisha ndio mtoe kibanzi kwenye jicho la mwenzenu".

Nafikiri umenielewa.
Umedai hapo awali kuishi Marekani kwa miaka 35, sasa fikiria hii scenario...Senator au House Rep bila kujali itikadi yake anamiminiwa risasi kama alizomiminiwa Mh. Tundu Lissu. Je wananchi wangezuiwa kuandamana kulaani kiendo hicho? Je kuna chombo cha habari kama TV hakingelipa uzito tukio hilo kama kipaumbele (Breaking News)?

Nina hakika vyombo husika vingekuwa vinatoa update ya uchunguzi kila baada ya muda na swali la Democrat au Republican halingeibuka. Rais angekuwa ameshatoa tamko na kuagiza kupewa maendeleo yalikofikia nyakati zote na Waandishi wangekuwa wanadai ripoti hatua kwa hatua juhudi za serikali kukabiliana na tukio hilo.

Nikupe majina machache:
Maraisi walioshambuliwa kwa risasi:
- Abe Lincoln (alikufa)
- John Kennedy (alikufa)
- Ronald Reagan (alijeruhiwa)

Mawaziri na wabunge
Hawa ni wengi kuwataja lakini ngoja nikupe summary:

- Wabunge 14 waliuawa kwa risasi
- Wabunge 10 wamejeruhiwa vibaya kwa risasi

Mbunge wa mwisho kujeruhiwa vibaya kwa risasi ni mbunge wa jimbo la Louisiana aitwae STEVE SCALISE aliejeruhiwa hivi juzi tu tarehe 14 June, 2017.

Katika wabunge wote na Rais Reagan waliojeruhiwa, hakukuwa na maandamano hata ya jimbo moja tu kupinga mashambulizi hayo.

Kwa wale waliouwawa, kulikuwa na maombolezo kitaifa wakati wa mazishi yao na sio maandamano.

Kuna mashambulizi ya viongozi wengi hapa Marekani ambayo mpaka sasa hawajawabaini wahusika zaidi ya kubambikizwa kesi watu wengine (fall guys).

Leo tuna wiki ya pili tu tangu Lissu ashambuliwe mnataka tayari kesi iwe imekwisha malizwa na kuwashika watuhumiwa wote? Vipi jamani, huo ndio mwendo kasi mnaoutegemea toka kwa Magufuli? Be realistic, please. The guy is good BUT he doesn't do miracles.

Samahani kwa jibu refu.
Ningetaka nieleze mengi lakini kama wewe kweli ni huyo unayedai ndiye then I give up...umeshinda. I give up kwa sababu hata ambaye hakuona milango ya shule hangejitokeza na dhana ya utetevi wa kipuuzi na hovyo kama ulivyofanya. Ujasiri wako kama msomi ni wa aina yake, ni ujasiri ambao mimi sina na nakupongeza sana kwa hilo.
Shule yangu isikusumbue sana bwana. Kwenye masuala ya siasa mimi ni MSHAMBA na LIMBUKENI kuliko watu wengi Tanzania. Usinishangae nikianika ujuha wangu hadharani.

Mwisho, nikushukuru mkuu Mag3 kwa kuchukua muda wako kuchambua nilichokiandika kwa ufasaha sana bila ya matusi na kwa kutumia kejeli za kistaha.

Siku zote ninakichukulia kuwa ni kitendo cha heshima mtu anaposoma kila kitu nilichoandika na kunihoji kwa malumbano. This is how we roll in the scientific world. Asante sana.

I look forward to future engagements with you.

Alamsiki
 
Magufuli amekuwa sehemu ya serikali (utawala) kwa muda wa miaka zaidi ya 20 toka mwaka 1995 katika ngazi ya uwaziri. Wakati mikataba mingi inasainiwa, Magufuli alikuwa Cabinet Minister akihudhuria na kushiriki katika vikao vyote vilivyojadili na kupitisha sera za serikali. Baadhi ya utekelezaji alisimamia yeye mwenyewe kama Magufuli na kama Waziri.
Acha uzushi ndugu yangu, hakuna hata mara moja Mh. Tundu Lissu ameitetea ACACIA, alichofanya ni kuitahadharisha serikali madhara yanayoweza kuikabili nchi wakivunjaa mikataba hovyo bila kufuata taratibu za kisheria. Naomba uwe muungwana uweke hapa ushahidi wa Lissu kuwatetea ACACIA zaidi ya kuitaka serikali kuheshimu mikataba waliyoingia kwa ridhaa zao bila kulazimishwa.
Kama kweli wewe ni msomi kama unavyotaka kutuaminisha, je unaweza kutufafanulia marakebisho yoyote ya sheria yanaanza kutumika lini. Unasema umeishi Marekani miaka 35 lakini, bila hata kuwa mwanasheria, what do you understand by the term retroactive law or legislation. Mh. Tundu Lissu alikuwa anatoa angalizo tu ya namna serikali ishughulikie hilo jambo la mikataba kwa busara na hekima bila kulisababishia taifa madhara.
Hivyo hivyo kumpenda Magufuli haimaanishi asikosolewe pale anapokurupuka na kuipeleka nchi kusiko. Ukurupukaji wake umeishatuingizia kama taifa hasara ya mabilioni kwa mabilioni ambayo yangeepukwa kama angesikiliza ushauri. Yeye anawachukulia wapinzani kama maadui na kila mara anatenda mambo kama vile anawakomesha wapinzani akisahau nao ni wananchi wenye uchungu na rasilimali za taifa hili.
If you are what you claim to be this is beneath you and I don't think it is worth responding to...on the contrary I believe Chadema has a lot to gain kama Mh. Tundu Lissu yupo. Nadhani kuishi kwako nje has a lot to do with your kind of thinking.

Naona ni wazi kabisa kwamba huijui historia ya Mh. Tundu Lissu tukiacha vichache ulivyookota mitaani. Ungejua jitihada zilizofanywa pamoja na vishawishi vilivyotolewa na serikali ya CCM kutaka kumrubuni kwa miaka karibu ishirini lakini zote zikashindikana. Mh. Tundu Lissu aliwapigania na kuwatetea watu mahakamani kwa kujitolea na bila malipo kwa sababu ni mtu anayeamini katika uhuru na haki...hakusubiri hadi awe mbunge au Rais wa nchi.
@Kifyatu Mh. Tundu Lissu hangekuwa mkosoaji wa kwanza wa hii serikali kutishwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa. Bila shaka unajua jinsi madikteta wanavyochipuka na kuimarika kwa kutumia vyombo vya dola kuzima sauti za wasiokubaliana na utendaji wao. Kwa namna hiyo idadi kubwa ya wananchi wanasikia tu upande moja.

Hakuna aliyedai kupendwa na asilimia kubwa ya wananchi wake kama Adolf Hitler wa Ujerumani au kwa hivi sasa Kim Un-Jung wa Korea Kaskazini. Swali lililojitokeza kwa Adolf Hitler ni kwa nini alihitaji chombo kama GESTAPO kama kweli alipendwa kiasi hicho? Kumbuka madaraka hulevya na bila checks and balance huzaa umungu-mtu.

Umedai hapo awali kuishi Marekani kwa miaka 35, sasa fikiria hii scenario...Senator au House Rep bila kujali itikadi yake anamiminiwa risasi kama alizomiminiwa Mh. Tundu Lissu. Je wananchi wangezuiwa kuandamana kulaani kiendo hicho? Je kuna chombo cha habari kama TV hakingelipa uzito tukio hilo kama kipaumbele (Breaking News)?

Nina hakika vyombo husika vingekuwa vinatoa update ya uchunguzi kila baada ya muda na swali la Democrat au Republican halingeibuka. Rais angekuwa ameshatoa tamko na kuagiza kupewa maendeleo yalikofikia nyakati zote na Waandishi wangekuwa wanadai ripoti hatua kwa hatua juhudi za serikali kukabiliana na tukio hilo.

Ningetaka nieleze mengi lakini kama wewe kweli ni huyo unayedai ndiye then I give up...umeshinda. I give up kwa sababu hata ambaye hakuona milango ya shule hangejitokeza na dhana ya utetevi wa kipuuzi na hovyo kama ulivyofanya. Ujasiri wako kama msomi ni wa aina yake, ni ujasiri ambao mimi sina na nakupongeza sana kwa hilo.
Mkuu asante sana kwakumjibu huyu kiumbe wa shetani, ameokoteza Maneno ya mtaani nakuyaleta humu. Naomba usimjibu tena maana hata kaa aelewe Kama ameshindwa kuelewa alipokuwa Marekani wewe hutoweza kumuelimisha
 
...Nyie wana CDM mmekuwa kama kasuku. Mnarudia rudia kitu hicho hicho kuhusu Magufuli kuwepo kwenye serikali za awamu za nyuma wakati mikataba inasainiwa...

Nyie CDM mnajifanya ma-experts sana na masuala ya madikteta na udikteta, Nitanukuu scriptures hapa kwa ajili yako assuming wewe ni muumini wa dini ya kikristu:

I look forward to future engagements with you.

Alamsiki
Asante sana kwa response yako. Nitajihidi nijibu hoja zako kama ulivyozitoa...muda tu ndio kikwazo. Hata hivyo utumiaji wako wa nyie Chadema umenishangaza, kuniacha hoi na kunihuzunisha kidogo.

Ni kweli mimi ni mpinzani mkubwa wa CCM kwani kwa hali tuliyo nayo kama taifa sina wa kumlaumu bali CCM na naamini mtu yeyote mwenye akili timamu akijaribu kuvihusisha vyama pinzani na hali tuliyo nayo kama taifa sitamuelewa.

Hatujawahi kuwa chini ya serikali yoyote zaidi ya CCM na kwa Katiba tuliyo nayo hakuna kinachoweza kutendeka hapa nchini bila baraka za CCM na hata kama kuna uhalifu umefanywa na kikundi chochote, dola ni ya CCM.

Nasikitika kukufahamisha kwamba mimi si Chadema ingawa nimewaunga mkono kwa nyakati tofauti kwa jitihada zao za kuikosoa serikali ya CCM inapokosa dira na kuanza kulipeleka taifa kusiko.

Nasoma tu habari za Chadema kama unavyozisoma na ili tuweze kuwa na majadiliano mapana na chanya, nakuomba ufute kabisa hiyo dhana ya kunihusisha na Chadema kama mwanachama.

Nitarudi nikipata nafasi...
 
Back
Top Bottom