Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.
Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya hapa katika( mfano kwenye kipindi cha kampeni)na ulikuwa unataraji utayalipaje iwapo hutakuwa mbunge.
Kwa kifupi na ikukupendeza, tueleze shughuli zinazokuingizia kipato nje ya ubunge .
CC: Halima Mdee na kundi lako maarufu kama Covid 19.