Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Kama watanzania hatuwezi kunyamaza kimya tukiwachekea wanasiasa wa hivi inaonekana kuna faida fulani wanayo ipata kwa kupitia haya matamko.
Mnataka kutuaminisha nini watanzania na tukisha amini hicho mnachotaka tukiamini Kisha nini kifuate?
Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu kuwa watanzania hatugawiki Kama mnavyodhani hata kama mkichochea namna gani.