Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Zitto Kabwe ndani ya Karatu

sasa tunaomba mtuwekee na hotuba yake kama kuna mwenye nayo,ili tujadili hoja na si matusi na chuki tu humu ndani.jf ni kisima cha fikra na si majungu,uzandiki,maneno machafu na yenye kuchochea chuki.tunashukuru kwa picha,sasa tupeni hotuba.
hotuba yake itapatikana muda si mrefu,muda huu kamanda anajiandaa na mkutano wa kesho pale karatu mjini
 
Acheni ubwege,mwanachadema yeyote,mtanganyika yeyote anawezakua rais,kwa maana ya kiongozi wa nchi.ZITO anahaki ya kusema au kujitangaza kua atagombea uraisi,kunashida gani kwani?!...kamati kuu ndio itakayokaa na uchaguzi utafanywa na atakae pata kura nyingi ndio atakae peperusha bendera yetu.ZITTO jembe langu,karibu home karatu,kule hakuna **** wala ***** watu wanauelewa mkubwa sana,wanaelewa nini maana ya siasa na demokrasia pia.hao wanaopiga kelele hamana jipya ni mamluki wa magamba na tumeshawazoea.CHADEMA ni chama makini na wanachama makini.
 
MH:NAIBU KATIBU MKUU NA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE AMEMALIZA MKUTANO WAKE ALIOUFANYA HUKO KARATU KATA YA ENDAMARARIEK AMBAYO INAPATIKANA MAENEO YA VIJINI.
MKUTANO WAKE ULIKUWA MKUBWA SANA,UMATI WA WATU ULIKUWA NI WAHALI YA JUU SANA TOFAUTI NA MTU YEYOTE AMBAYE ANGEFIKIRIA UPATIKANAJI WATU.

ZILIKUWA NI SHANGWE NA KELELE ZA PEOPLES POWER HUKU WANANCHI WALIOWENGI WAKITAMANI KUMSHIKA AU KUMGUSA MBUNGE WAO(CHADEMA) MH:ZITTO KABWE.

KATIKA MKUTANO ULE MH:KABWE AKUTANA NA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA TATIZO LA MAJI KWA WANACHI WA KATA ILE NA MAENEO YA JIRANI,PIA HUDUMA ZA AFYA NI TATIZO KUBWA.
AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KWENYE MKUTANO HUO,MH ZITTO AMEELEZA MAMBO MBALIMBALI YANAYOLIHUSU TAIFA LETU,AMEZUNGUMZIA SWALA LA UFISADI,AMEZUNGUMZIA NAFASI YA HALMASHAURI NA MAENDELEO YA WILAYA YA KARATU,AMEZUNGUMZIA NAFASI YA KILA MWANAKARATU KUIUNGA MKONO CHADEMA ILI KUPATA UKOMBOZI WA KWELI KATIKA NCHI HII

SEHEMU KUBWA YA WANANCHI WA KARATU WALIKUWA NA OMBI KWA MH:ZITTO LA KWENDA KUWAFIKISHIA MATATIZO YAO SEHEMU HUSIKA HASA JUU YA UPATIKANAJI WA MAJI.

KESHO TAR:30/09/2012 MH;ZITTO ATAFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA KARATU MJINI IKIWA NI MWENDELEZO WA MIKUTANO YAKE YA KUJENGA NA KUIMARISHA CHAMA NDANI YA NCHI.
HIVYO WANACHADEMA,WANANCHI,WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI SANA KWENYE MKUTANO HUO,KWANI MBUNGE WENU WA CHADEMA TAKUWA NA NAFASI KUBWA YA KUONGEA NA WANANCHI WAKE JUU YA MUSTAKABARI WA TAIFA LETU.
NAWASILISHA
(karatu)
 
Mimi nampenda zitto sana hasa kwenye siasa zake,Lakini kwa matusi haya ndhani umeharibu kila kitu.Zitto kweli ni Kiongozi Bora ndani ya chadema.
 
Nina hofu sana na huyu Kamanda,ila kwa kuwa anakutana na vichwa vya uhakika bila shaka anaweza badilika

Bila shaka ni wakati wa kumfanyia huyu Kamanda MAOMBI ya kutosha asiwe mioyo miwili!
 
Nimefyatilia hii thread sijaona alichozungumza au reporters hawataki kuweka ili na sie tulio mbali tujue madhumuni ya safari yake hasa ukizingatia Karatu ni sehemu ambayo upinzani umeimarika hivyo sehemu nyingine za nchi yetu ndio zinahitaji kuhubiriwa ukombozi.
Sasa tunaomba mtuwekee na hotuba yake kama kuna mwenye nayo,ili tujadili hoja na si matusi na chuki tu humu ndani.JF ni kisima cha fikra na si majungu,uzandiki,maneno machafu na yenye kuchochea chuki.Tunashukuru kwa picha,sasa tupeni hotuba.
 
Nawashangaa mnaomshabikia ZK.Hivi are you crazy.Can't you see kwamba huyu jamaa yuko kwa ajili ya kui-sabotage CDM.Sijui kawaroga?!He was supposed to have been sacked a long time ago.

Naibu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh:Zitto Zuberi Kabwe (CHADEMA)muda huu ameshaingia Wilaya ya Karatu tayari kwa Mikutano yake mbalimbali maeneo ya vivijini na Kesho atafanya Mkutano Mkubwa KARATU mjini.

Mikutano ya Leo anaifanya kata ya ENDAMARARIEK ambapo atakuwa na mikutano miwili ya kujenga na kuimarisha chama. Huu ni mwendelezo wake wa mikutano mbalimbali ndani ya nchi baada ya kufanya mikutano siku nne mfululizo ndani ya Kigoma,Jana alikuwa mwanza akalala Dar es salaam na Asubuhi ya leo amesafiri kuelekea KARATU kwa lengo la kujenga na kuimarisha chama.

WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI MKUTANO MKUBWA SIKU YA KESHO UTAKAO FANYIKA KARATU MJINI
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
PEOPLE'S POWER

Kwahiyo alikwenda kusikiliza kero za wananchi? si wana mbunge wao ambaye ni moja ya jukumu lake kusikiliza kero na kuwakilisha?
Tunaomba alichozungumza na nukuu kabisa ili tuone mantiki ya safari yake.
MH:NAIBU KATIBU MKUU NA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE AMEMALIZA MKUTANO WAKE ALIOUFANYA HUKO KARATU KATA YA ENDAMARARIEK AMBAYO INAPATIKANA MAENEO YA VIJINI.
MKUTANO WAKE ULIKUWA MKUBWA SANA,UMATI WA WATU ULIKUWA NI WAHALI YA JUU SANA TOFAUTI NA MTU YEYOTE AMBAYE ANGEFIKIRIA UPATIKANAJI WATU.

ZILIKUWA NI SHANGWE NA KELELE ZA PEOPLES POWER HUKU WANANCHI WALIOWENGI WAKITAMANI KUMSHIKA AU KUMGUSA MBUNGE WAO(CHADEMA) MH:ZITTO KABWE.

KATIKA MKUTANO ULE MH:KABWE AKUTANA NA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA TATIZO LA MAJI KWA WANACHI WA KATA ILE NA MAENEO YA JIRANI,PIA HUDUMA ZA AFYA NI TATIZO KUBWA.
AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KWENYE MKUTANO HUO,MH ZITTO AMEELEZA MAMBO MBALIMBALI YANAYOLIHUSU TAIFA LETU,AMEZUNGUMZIA SWALA LA UFISADI,AMEZUNGUMZIA NAFASI YA HALMASHAURI NA MAENDELEO YA WILAYA YA KARATU,AMEZUNGUMZIA NAFASI YA KILA MWANAKARATU KUIUNGA MKONO CHADEMA ILI KUPATA UKOMBOZI WA KWELI KATIKA NCHI HII

SEHEMU KUBWA YA WANANCHI WA KARATU WALIKUWA NA OMBI KWA MH:ZITTO LA KWENDA KUWAFIKISHIA MATATIZO YAO SEHEMU HUSIKA HASA JUU YA UPATIKANAJI WA MAJI.

KESHO TAR:30/09/2012 MH;ZITTO ATAFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA KARATU MJINI IKIWA NI MWENDELEZO WA MIKUTANO YAKE YA KUJENGA NA KUIMARISHA CHAMA NDANI YA NCHI.
HIVYO WANACHADEMA,WANANCHI,WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI SANA KWENYE MKUTANO HUO,KWANI MBUNGE WENU WA CHADEMA TAKUWA NA NAFASI KUBWA YA KUONGEA NA WANANCHI WAKE JUU YA MUSTAKABARI WA TAIFA LETU.
NAWASILISHA
(karatu)
 
Naibu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh:Zitto Zuberi Kabwe (CHADEMA)muda huu ameshaingia Wilaya ya Karatu tayari kwa Mikutano yake mbalimbali maeneo ya vivijini na Kesho atafanya Mkutano Mkubwa KARATU mjini.Mikutano ya Leo anaifanya kata ya ENDAMARARIEK ambapo atakuwa na mikutano miwili ya kujenga na kuimarisha chama. Huu ni mwendelezo wake wa mikutano mbalimbali ndani ya nchi baada ya kufanya mikutano siku nne mfululizo ndani ya Kigoma,Jana alikuwa mwanza akalala Dar es salaam na Asubuhi ya leo amesafiri kuelekea KARATU kwa lengo la kujenga na kuimarisha chama.WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI MKUTANO MKUBWA SIKU YA KESHO UTAKAO FANYIKA KARATU MJINICHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFAPEOPLE'S POWER
Maneno yenye rangi ya blue!!! Kwani Zitto anafanya kazi ya nani?? kama ni CDM kwa nini isiwe CDM wanafanya mikutano karatu, kwa nini iwe atakuwa badala ya watakuwa!!! Mbona kama kiongozi yoyote cdm akiwa anaongoza mikutano huandikwa cdm wanaanza ama ccm wamefanya, cuf walikuwa!!! Huyu jamaa ni mbinafsi sana!! Ama labda atuambie amekatazwa na chama kuonekana kwenye M4C!!!Zitto uwe makini na hizi post unazotuma humu!!!
 
udin, ukabila, umajimbo huu ndio mtaji wa chadema, kwetu chadema ni haramu ZITO NJOO CUF USIPOTEZE MUDA KWA WATU WASOFADHILA WAMESHASAHAU ULIVYOKIBEBA CHADEMA
 
Ritz 1 kumbuka hoja za Urais ulishabandika hapa la E.Lowasa sikulikubali nililipinga na hata ukilileta na la Dr Slaa yote ntayapinga lkn la Zitto ruksa hata mkitaka zile Data alipoenda Malasyia zipo humu JF ntazitafuta alienda watafutia soko la mawese Wakulima wote wa Kigoma bila kujali Chama, aligoma kuTomtambua JK Bungeni alifurumisha
Mawaziri 8 kwa kumbana Pinda ajiuzulu
Sasa JMUshi anapodai tusishirikiane kuchangia simuelewi wakati kwenye wizi wa magogo / nguzo za Tanesco au matairi mabovu tumechangia wote, au hongo ya 600/=m Mufindi Paper mills tumechangia
Hii ya Zitto imekuwa nongwa basi mnitenge lkn Babu Slaa na Babu Lowasa kwa Urais wa 2015 NO Big NO hata km sio wa kutoka Kaskazini
 
Last edited by a moderator:
Nimefyatilia hii thread sijaona alichozungumza au reporters hawataki kuweka ili na sie tulio mbali tujue madhumuni ya safari yake hasa ukizingatia Karatu ni sehemu ambayo upinzani umeimarika hivyo sehemu nyingine za nchi yetu ndio zinahitaji kuhubiriwa ukombozi.
Ukitaka kujuwa hawana nia ya kujadili na ni kama wametumwa,tizama kauli za wenye kusapoti hii thread kuhusiana na mkutano huo.Ni matusi,udini,ukanda na uchafu mwingine ambao hauna nafasi ya kujadiliwa hapa kwenye jukwaa hili.Sasa badala ya kutuwekea hotuba,wanataka tujadili kitu gani?Chunguza tu utajuwa,na wamejipanga kweli kweli...
abousalah2 said:
udin, ukabila, umajimbo huu ndio mtaji wa chadema, kwetu chadema ni haramu

Sasa tutawajibu kitu gani mkuu?Ndo maana tukawaomba walete hotuba,hawaleti.Thread inahusu mkutano wa Karatu,wao wanzungumzia mengine,hapo ndo utajuwa nia yao.Inasikitisha sana.
 
Wana Karatu kama ataanza kuropoka mambo ya URAIS fukuzilieni mbali huyo msaliti.

Calm down Molemo, don't rush into making haste decisions. ZZK has the right to express his opinion, we must respect that. I would encourage more to come up and declare their intentions publicly. This is positive for CDM, trust me.
 
Nimesikitika kuona hii thread imechangiwa kwa ''hoja za nguvu'' badala ya ''nguvu za hoja''.Lugha zisizo na staha na hoja zisizo na uhusiano na mada yetu zinajadiliwa kwa sababu zinazojulikana vema na wahusika.Kuna ubaya gani kujenga hoja pasipo kutukana watu unaotofautiana nao kimtazamo na kimisimamo?Binafsi ninaamini ,hapa JF hakuwezi kumfanya mtu mchovu wa fikra na mbumbumbu wa masuala kugeuka ghafla kuwa Great Thinker.Kuweza kushiriki mijadala JF kwa tija na kwa kina, ni sharti mtu apitie michakato rasmi na isiyo rasmi ya kusaka maarifa na taarifa na hatimaye kupata uwezo wa kujenga hoja za kimantiki na za kiungwana .Baada ya kupita ngazi hiyo ,mtu ataweza kuja hapa JF ,na hata majukwa mbalimbali kushiriki majadiliano pasipo jazba huku akiongozwa na nguvu za hoja na kwa utulivu wa akili. At JF, we ain't learning the art of arguing ,rather we practice what we have already learnt.
 
Wakuu vipi MALIAA whats happenin?wekeni hotuba tumeshaona nyomi la nguvu,sasa tupatieni hotuba basi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom