Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Naona kwaajili ya kuandika mambo mengi ya kupika umepoteza muelekeo na kudhani mimi na pinga zitto kuwania urais!

Come down my dear ninachopinga ni nyie kutumia jina lazitto kutaka kupandikiza chuki na kuivuruga cdm! Kamwe hamuwezi kabisa!

Nilikwambia ni bora urudi kwenye topic kuliko kuongea maneno usiyoweza kuyatolea ushahidi hata mdogo
nikikwambia toa evidence kwa unacho kiongea utashindwa kama kawaida yako!
Ngoja huku ni kusamehe maana huna uwezo nako unachojua ni upishi wa uwongo na kupost!

Jaribu kurudi kwenye topic maana tukija kwenye uwanja wa kutoa ushahidi hakika nita kugalagaza wala hutotoka!

Turudi kwenye hoja za msingi achana na mambo ya mitaani na kwenye vijiwe!

Cdm hatutogombana kwa sababu ya urais-zitto

;labda mfanye kile cha CHACHA WANGWE lakini napo safari hii hadi CHADEMA HURU IPATIKANE
 
Mag3, ruttashobolwa, Shardcole KOMBAJR, Adoya, Nicholas, Ukwaju, Zaha, Mungi, Crashwise Molemo,

Zitto Kabwe

Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.

:violin:

Kweli kabisa!
Maan wana toa tuhuma ambazo hawana ushahidi nazo ukiwauliza ushahidi wana rukia kwingine!
Hoja zao ni matusi tu!
Bora kuwa samehe kabisa!
Wakuu kama kuna mtu mwenye kuipenda chadema,basi msijibizane nao tena,waachieni thread yao.
 
naona kwaajili ya kuandika mambo mengi ya kupika umepoteza muelekeo na kudhani mimi na pinga zitto kuwania urais!

Come down my dear ninachopinga ni nyie kutumia jina lazitto kutaka kupandikiza chuki na kuivuruga cdm! Kamwe hamuwezi kabisa!

Nilikwambia ni bora urudi kwenye topic kuliko kuongea maneno usiyoweza kuyatolea ushahidi hata mdogo
nikikwambia toa evidence kwa unacho kiongea utashindwa kama kawaida yako!
Ngoja huku ni kusamehe maana huna uwezo nako unachojua ni upishi wa uwongo na kupost!

Jaribu kurudi kwenye topic maana tukija kwenye uwanja wa kutoa ushahidi hakika nita kugalagaza wala hutotoka!

Turudi kwenye hoja za msingi achana na mambo ya mitaani na kwenye vijiwe!

Cdm hatutogombana kwa sababu ya urais-zitto
tuarudi kwenye topic mkisha acha kuleta viroja vyenu...upo na mbowe hapo???au upo na hawa mwaifunga demu wa myika anakupetipeti naona umeanzakuwa na busara kidogo japo bado unanukia ile kitu ya josephine
 
thats good, ZZK hichi ndicho hasa tiulichokuwa tunakihitaji kutoka kwako! sio wakati wenzako wanajenga chama ww unakula bata. halafu baadae unakuja kuibuka ëti Nataka uraisi!!
 
Zitto Kabwe
Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.

:violin:

Je unayo habari hapo nyuma aliwahi kutangaza kutogombea ubunge mwaka 2010? Tafakari Ritz.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ??

Mnapoanza kushikana mashati na kunyoosheana vidole badala ya kutaharishana ni yale yale yanayoimomonyoa CCM.

Kwa ye yote mwenye akili timamu si muda muafaka kuhangaika na kampeni za urais wakati tungali msituni kumtimua nduli.
 
Halafu mkuu kama hawa ndiyo wanaomsapoti Mh,basi anajidharaulisha yeye mwenyewe kusema ukweli.

Inaonyesha kabisa wanatumika tu,maana hawawezi hata kujadiliana,ni matusi tu na kejeli,hawana hoja za kuzisimamia,ukiwauliza maswali,wanakujibu kwa namna ambayo huwezi tena kuendelea na mjadala.Angalia mabandiko yao wote hao waliongia kwa kasi kumtetea Zitto uone kama kuna cha kujibu!

Kwani wewe hoja hako ni nini kuhusu zitto kama sio ukanda unaokusumbua.sasa mmeshikwa pabaya naona mnahanya sana.
 
Wakuu kama kuna mtu mwenye kuipenda chadema,basi msijibizane nao tena,waachieni thread yao.

KAKA maadam tunawajua lazima tuwaweka hadharani tukimumunya MANENO watakuja kaharibu CHAMA CHETU. na huyo MWAPAMBA anajinadi yy NI mbunge aliyechakachuliwa. HATA jamii itatushangaa kuwa na Wabunge wa CARIBER ya huyu MVUTA BANGI. Wakienda kwenye misiba wanakunywa pombe mpaka wanalala vibarazani na Mwenzie GWAKISA.
 
Mnapoanza kushikana mashati na kunyoosheana vidole badala ya kutaharishana ni yale yale yanayoimomonyoa CCM.

Kwa ye yote mwenye akili timamu si muda muafaka kuhangaika na kampeni za urais wakati tungali msituni kumtimua nduli.

Zitto yuko msituni akimtimua nduli baada ya hapo anaingia ikulu hatuna muda wa kuombana nani agombee.
 
Mag3, ruttashobolwa, Shardcole KOMBAJR, Adoya, Nicholas, Ukwaju, Zaha, Mungi, Crashwise Molemo,

Zitto Kabwe

Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa chama changu CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa chama changu. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.

:violin:

Zitto yupo hapo kwenye red maana anajuwa hawezi kuchaguliwa tena Ubunge wa Kigoma na anayebisha nitawapa ushahidi wa kisomi hapa hapa.
 
Mpenzi na mshabiki wa chama si lazima awe mwanachama.
Kwa maana ya uanachama sina chama.
Tupo wengi tuliopewa uanachama wa Chadema na wapenzi wa CCM walioko JF kutokana na msimamo wetu usioyumba dhidi ya chama cha mafisadi. In truth, hata hiyo Chadema na viongozi wake hatujawahi hata kukutana nao...ila tuko pamoja nao katika kupinga ufisadi na kutetea rasilimali za taifa kuporwa kama vile hazina mwenyewe. Hata wewe Ritz ni Chadema kama unapinga dhuluma.
 
watu walisema zito hafanyi kazi sasa ameanza kufanya kazi mnamkejeli kwani aliyetangaza nia ni yeye 2 au dini yake ndo mnaichukia cdm wenzangu bana
 
Hata ccmweli hamtogusa lazima lowasa lazima abwagwe!

Zitto ni cdm lakini cdm si zitto-zitto

Ha ha ha ujue Ritz wewe una matatizo sana, nyie ndio mnamdanganya huyu jamaa kama mlivyompoteza Lamwai we mwache hwajui vzr baadae mtamshiti atabroo...zito pandikizi tu hakuna kitu pale...
 
Zitto yupo hapo kwenye red maana anajuwa hawezi kuchaguliwa tena Ubunge wa Kigoma na anayebisha nitawapa ushahidi wa kisomi hapa hapa.

Kwi kwi kwi!umeona wananchi wa kigoma wanavyomlilia kwamba bado wanamuhitaji?
Au wewe ndio msemaji wa wapiga kura wa zitto sikuhizi!
Unatumika vibaya!
 
Back
Top Bottom