Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Zitto Kabwe ndani ya Karatu

Daaaah naona uzito wa hoja si mchezo! Kumbe nyie ni wapishi wa habari namna hii.

Sasa mbona umekwenda off-point

bila shaka unatambua huwezi kupeleka bibilia msiktini....Off point ni result ya watumishi wa mbowe na Slaa wanavyo hahaha kuoka jahazi
 
Tatizonyie watu mnaoendekeza njaa mnaropoka ili mlipwe mpate choo...fanya kazi..hatred and religious dimension will never help you...padri ndio nani?? udini tu unawasumbua nyie malofa

Nikikujibu ntakula BAN wacha nisepe nikuache msukule wa padri slaa
 
Atafanyaje mkuu ,muonee huruma unafiki ndio kula yake mjini !

Makuwadi wa Zitto nyie, (Wewe na fauster john) mnajitahidi sana kufanya kazi yenu. Kila unapoanzishwa uzi khs zitto nawaona mpo busy sana kumtetea. Hongereni kwa kujipatia ajira
 
Tatizonyie watu mnaoendekeza njaa mnaropoka ili mlipwe mpate choo...fanya kazi..hatred and religious dimension will never help you...padri ndio nani?? udini tu unawasumbua nyie malofa
Halafu sijui wanapiga viroba na mavitu gani kabla ya kuja hapa?Maana si kawaida hata mabandiko yao inakuwa kama kuna mihadharati wametumia.Wanakuwa full of energy lakini wanachoandika inakuwa kama wako under influence,sasa sijui ni alcohol ama ni combination?Definetly not normal,na inakuwa shida hata kujadili chochote.
 
Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji[/Blue] Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ?? Mbona nyie chadema niwajinga sana ????

dr Who huyu jamaa ni Padri / Dr Slaa anakutana na. Kijana (Babu v/s Mjukuu) patamu hapo na kwenye Urais kitaeleweka
 
Last edited by a moderator:
Rais wa Chadema Zitto Kabwe kwa kweli anakubalika.
 
hawa ni makuwadi wa zitto au ni zitto mwenyewe anakuwa na id nyingi. Nawafuatilia sana nagundua something common in them.
u-common wetu upon hapa..kwenye kupinga ukabila na udini ndani ya chadema..pia u-common wetu upo kwenye kufichua wizi na ufisadiwa mbowe na dr.slaa

ummoja wetu upo kwenye kumsapoti zitto kijana msafi,,,leo amemfuata dr.slaa kulekule aliko karatu.
Tunajua wewe ni kijakazi wa mbowe huwezi kukaa na sisi tukala sahani moja
 
Mtu ukiuliza swali,jibu linakuja eti sijui padri,eti katerero,eti sijui uchagaa na ukanda!Sasa hayo maneno yanajenga hoja gani hapa kwenye jukwaa la siasa?Hayo maneno si ni kama gia tu ya kufukuza watu wasijadili? Sasa hayo mambo yanahusiana na mkutano wa huko Karatu?Yani vitu vingine ni off point kabisa na vinalivunjia jukwaa hili heshima.

Kama mods hamtawakanya na kuyafuta hayo mabandiko,basi nawashauri wana JF tuwaachie thread yao waendelee kujadiliana kuhusu hizo katerero na uchafu mwingine kadri wanavyotaka,maana thread inakwenda kwa kasi lakini hakuna cha maana kwenye mabandiko.Pathetic!
 
Hakuna haja ya kuweka picha ambayo siyo ya tukio lenyewe eti unaweka "NB",what for?si usubiri hadi wakati ama baada ya mkutano ndo utuwekee hizo picha?

Pia unaweza kutuambia kuwa ni nani anagharamia mikutano yake hiyo?Kwasababu kama ni chama chake,basi sioni shida yoyote,ila kama siyo chama chake kinagharamia,then kuna watakaokuwa na maswali ya ziada...

Je ameandamana na kiongozi mwenzake yoyote yule?

Mkuu jmushi1, hii picha nasikia tetesi imeamuliwa itumike katika kikao maalum katika harakati za kuisambaratisha Chadema na jeshi maalum limeundwa kutekeleza kazi hiyo. Ukienda Michuzi blogs hii picha ndiyo hiyo imetumika hata huko ikiambatana na Zitto kutangaza nia yake ya kugombea Uraisi 2015.

Kwangu mimi hiyo nia yake sina tatizo nalo, ni haki yake kikatiba ndani ya nchi ingawa si haki yake kikanuni ndani ya chama, kila chama kina kanuni zake. Tatizo ni lengo la huu mpango unaosimamiwa na mahasimu wanaojulikana ndani na nje ya chama, kuwagawa wanachama na wapenzi wa Chadema.

Ukweli ni kwamba picha za aina hii zimetayarishwa na ziko nyingi na zote zilipigwa kwenye matukio tofauti lakini ya kweli tangu mwaka 2010 hadi 2012. Ajabu ni kwamba zilizochaguliwa ni zile tu zinazomwonesha Zitto, lengo likiwa ni kujenga taswira kwamba Chadema bila Zitto si lolote si chochote.

Mimi binafsi ninavyoamini, Chadema imevuka inayoitwa "threshhold" ya kuweza kusambaratishwa kwa mbinu za kipuuzi kama hizi. Hebu waangalie wote wanaotokwa mapovu kumtetea Zitto humu ndani, ni wale wale na bado wataongezeka. Wanachosahau ni kuwa Chadema ni zaidi ya Mbowe, Zitto na Dr. Slaa.

Dai la ukabila lilishindwa, dai la ukanda lilishindwa, dai la udini lilishindwa na sasa turufu iliyobaki ni hiyo moja...fitina na uchonganishi. Nashindwa kuamini mtu kama Zitto kukubali kutumika kwa namna hii...wenzio wahangaike juani kuitangaza na kuijenga chama, wewe unakesha kivulini kusubiri mavuno! La hapana, si Zitto!
 
Halafu sijui wanapiga viroba na mavitu gani kabla ya kuja hapa?Maana si kawaida hata mabandiko yao inakuwa kama kuna mihadharati wametumia.Wanakuwa full of energy lakini wanachoandika inakuwa kama wako under influence,sasa sijui ni alcohol ama ni combination?Definetly not normal,na inakuwa shida hata kujadili chochote.

Njaa ni mbaya sana hawa wote ni njaa tu..wanadhani Urais ni mchezo mchezo tu..tumeshaonja joto hii miaka 10 sasa hatutafaya makosa tena
 
Naona umetoka kwenye hoja ya msingi sasa una leta viroja!

Kamwe mtazidi kuhaa mkisubiri mkono udondoke!
;labda mfanye kile cha CHACHA WANGWE lakini napo safari hii hadi CHADEMA HURU IPATIKANE
 
Usiwe na shaka Zitto hawezi kuhusika kwa hili kabisa!
Hawa wana nia yao na nia yao ni kuivuruga cdm hawana lolote!

Zitto alishesema yeye ni chadema lakini chadema si zitto!
Hawa ni makuwadi wa zitto au ni zitto mwenyewe anakuwa na ID nyingi. Nawafuatilia sana nagundua something common in them.
 
njaa ni mbaya sana hawa wote ni njaa tu..wanadhani urais ni mchezo mchezo tu..tumeshaonja joto hii miaka 10 sasa hatutafaya makosa tena
yaani wewe umekaa na bibi hapo unadhani ukombzi unapatikana kwa kupiga hadithi???
Mbowe na dr.slaa wanapeleka chama shimoni...kimbia fasta
 
Mkuu jmushi1, hii picha nasikia tetesi imeamuliwa itumike katika kikao maalum katika harakati za kuisambaratisha Chadema na jeshi maalum limeundwa kutekeleza kazi hiyo. Ukienda Michuzi blogs hii picha ndiyo hiyo imetumika hata huko ikiambatana na Zitto kutangaza nia yake ya kugombea Uraisi 2015.

Kwangu mimi hiyo nia yake sina tatizo nalo, ni haki yake kikatiba ndani ya nchi ingawa siku haki yake kikanuni ndani ya chama, kila chama kina kanuni zake. Tatizo ni lengo la huu mpango unaosimamiwa na mahasimu wanaojulikana ndani na nje ya chama, kuwagawa wanachama wa Chadema.

Ukweli ni kwamba picha za aina hii zimetayarishwa na ziko nyingi na zote zilipigwa kwenye matukio tofauti lakini ya kweli tangu mwaka 2010 hadi 2012. Ajabu ni kwamba zilizochaguliwa ni zile tu zinazomwonesha Zitto, lengo likiwa ni kujenga taswira kwamba Chadema bila Zitto si lolote si chochote.

Mimi binafsi ninavyoamini, Chadema imevuka inayoitwa "threshhold" ya kuweza kusambaratishwa kwa mbinu za kipuuzi kama hizi. Hebu waangalie wote wanaotokwa mapovu kumtetea Zitto humu ndani, ni wale wale na bado wataongezeka. Wanachosahau ni kuwa Chadema ni zaidi ya Mbowe, Zitto na Dr. Slaa.

Dai la ukabila lilishindwa, dai la ukanda lilishindwa, dai la udini lilishindwa na sasa turufu iliyobaki ni hiyo moja...fitina na uchonganishi. Nashindwa kuamini mtu kama Zitto kukubali kutumika kwa namna hii...wenzio wahangaike juani kuitangaza na kuijenga chama, wewe unakesha kivulini kusubiri mavuno! La hapana, si Zitto!
Halafu mkuu kama hawa ndiyo wanaomsapoti Mh,basi anajidharaulisha yeye mwenyewe kusema ukweli.

Inaonyesha kabisa wanatumika tu,maana hawawezi hata kujadiliana,ni matusi tu na kejeli,hawana hoja za kuzisimamia,ukiwauliza maswali,wanakujibu kwa namna ambayo huwezi tena kuendelea na mjadala.Angalia mabandiko yao wote hao waliongia kwa kasi kumtetea Zitto uone kama kuna cha kujibu!
 
u-common wetu upon hapa..kwenye kupinga ukabila na udini ndani ya chadema..pia u-common wetu upo kwenye kufichua wizi na ufisadiwa mbowe na dr.slaa

ummoja wetu upo kwenye kumsapoti zitto kijana msafi,,,leo amemfuata dr.slaa kulekule aliko karatu.
Tunajua wewe ni kijakazi wa mbowe huwezi kukaa na sisi tukala sahani moja

Maneno ya zitto wenu khs udini ndani ya CDM uliyaskia mwenyewe. Jitahidi ku post kwa kasi mpk ufikie "Premium Member".
 
hata wewe tunawasiwasi sijui unaandika hapa huku unafanya ile kitu ya cameroon au la?kwa sababu maneno yako yanautelezi utelezi hivi hayakamatiki,hayaeleweki..wala husomeki.

Pole sana kamanda wangu,,chadema huru inapatikana very soooon
Again,kama nilivyomweleza mwenzako,jadili kwa hoja,nitawareport kwa matusi hayo.Maneno hayo ni uchafu usiostahili kuwepo humu jukwaa la siasa kwenye mijadala.Nakutahadharisha tu,maana sidhani kama ulikuwa unaifahamu JF.Inaonyesha umeletwa hapa kuharibu jukwaa hili.
 
Wakuu kama kuna mtu mwenye kuipenda chadema,basi msijibizane nao tena,waachieni thread yao.
 
Back
Top Bottom