Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Hakuna haja kumuita Paw au PAIN Killer ili akuadhibu, kwa busara zako tu ndogo ulipaswa kujua huyo ni mama wa mtu na haya matusi unampomoshea bila sababu ni ukosefu wa nidhamu kwake na mama yako aliyekuzaa. Asante kwa kunielewa.

Mkuu, Naona imekuchoooooma kwa vile kaguswa Malkia wenu, mie nilijaribu tu Kuonesha uwezo wa Dr Slaa jinsi ulivyomkubwa kama Ritz a.k.a Riz1 alivyo mention
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu sasa hata hutu tucheo twa BAVICHA ndugu zangu wanyiramba hawapati sijui watatokea wapi, haya akina Mushi wakati wenu huu.

mkuu kwani kuna limit ya ukabila kwenye kugombea?niligombea nikashinda,mbona mwigulu nchemba ni msukuma kwa jina ila ni mbunge iramba,hivyo uwezi jua kuwa mimi ni mnyiramba kwa asili ila ni mchaga kwa jina mkuu.
 
Mwenzangu sasa hata hutu tucheo twa BAVICHA ndugu zangu wanyiramba hawapati sijui watatokea wapi, haya akina Mushi wakati wenu huu.

Sie tuki question Uhalali wa wa Kwere kutawala Tanzania nzima utasema tuna Matusi.
Akili nyingine Bwana
 
Huyo ndiye Zitto bhana, wanazi wa CHADEMA hawamtaki, wana-CCM wanapenda kumtumia lakini haoni wala kusikia!!! No wonder hata Ben Saanane hamjui....atamjua vipi wakati anafumba macho!!!?

sory wewe ni mzima wa akili au zimevuja?uulize maswali kisha ujijibu,
 
Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...
ZeMarcopolo acha unafiki......wewe tunakufamu ni gamba mkubwa, tena la konokono....toka lini wewe ukawa mtetezi wa ZK!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...

mmmmmmh mkubwa dah
 
Mkuu, Naona imekuchoooooma kwa vile kaguswa Malkia wenu, mie nilijaribu tu Kuonesha uwezo wa Dr Slaa jinsi ulivyomkubwa kama Ritz a.k.a Riz1 alivyo mention

Hili swala limeachiwa busara zako mwenyewe uamue, naamini mama yako mzazi naye ni mwanamke.
 
mkuu kwani kuna limit ya ukabila kwenye kugombea?niligombea nikashinda,mbona mwigulu nchemba ni msukuma kwa jina ila ni mbunge iramba,hivyo uwezi jua kuwa mimi ni mnyiramba kwa asili ila ni mchaga kwa jina mkuu.

Hakuna Limit kabisa mwenyekiti, sisi watanzania hatubaguani kwa makabila huko tumekwisha pita makabila yetu yamebakia kwa kutambikia tu ndio maana natamani siku moja pale Rombo mwenyekiti awe msukuma au mluguru.
 
Mwezi uliopita nilikuwa huko Iramba Mashariki. Kiukweli Nchemba ana wakati mgumu jimboni kwake pengine kuliko wabunge wote wa CCM. Dr Mkumbo ajiandae kuwa mwakilishi wao 2015. Hali iko hivyo vivyo hata Iramba Mashariki kwa Salome. Nadhani hii ni golden moment kwa CDM kuliko wakati mwingine wowote.

mkuu mi pia nakuwa huko mara nyingi sana, hali ni mbaya sana kwa Mwigulu maana hata wazee wameshachukizwa na siasa zake. Wasiwasi wangu mkuu ni matumizi ya Pesa na Policcm katika uchaguzi ujao, haya yakidhibitiwa mwigulu mwisho wake 2015.
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Ona unavyohangaika kama umekalia msumari wa moto,yani mkisikia zito anafanya kazi za chama roho zinawauma kama wachawi,na bado mwaka huu mtakufa na roho mbaya zenu,ndo anaanza hvyo
 
wasaa mzuri wa yeye na mwigulu kupanga mipango haramu dhidi ya CHADEMA. dah, kweli mwanaume mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
sory wewe ni mzima wa akili au zimevuja?uulize maswali kisha ujijibu,

Product za watu wanao-type huku wakiwa na mashuka ya Milembe utawajua tu! Malizia dozi kwanza akili zako zikae sawa ndipo uingie jukwaani!! Au ni trial ya doctor kufahamu kama umepona au hapana?! Ushampa jibu, sina shaka una miezi mingine kadhaa ya kubaki hapo.
 
Hakuna Limit kabisa mwenyekiti, sisi watanzania hatubaguani kwa makabila huko tumekwisha pita makabila yetu yamebakia kwa kutambikia tu ndio maana natamani siku moja pale Rombo mwenyekiti awe msukuma au mluguru.

nakubaliana na wewe mchaga/mnyamwezi
 
Godfrey Mushi mchukue tahadhari sana katika mikutano yenu huko Iramba. Bila shaka unakumbuka kwamba mkutano wa Mnyika huko Iramba mwaka jana mwigulu alinywesha watu viroba na mataputapu wakafanya fujo kwenye mkutano hadi wakajikuta wanamuua mwenzao.

Kutegemea polisi pekee haitoshi kwakuwa uzoefu unaonyesha kuwa si watu wa msaada sana kwa Chadema hasa huko wilayani Iramba. Jihadharini na kuwa makini sana na kikosi kazi cha Mwigulu kwakuwa hatopenda kuaibishwa tena nyumbani kwao baada ya kudodewa mkutano wake huko Loliondo.
 
Last edited by a moderator:
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe1h

1/6 Mkutano mzuri na wenye kutia matumaini, #Shelui #IrambaMagharibi. Ajenda kubwa ilikuwa madini na wachimbaji wadogo kulindwa.

2/6 Tutawatetea wananchi kupata maeneo ya uchimbaji kama Sheria ya Madini 2010 inavyoagiza. #IrambaMagharibi #CHADEMA #Shelui


3/6 Tumeeleza umuhimu wa wachimbaji wadogo katika uchumi na kulinganisha na matrilioni tunayopeteza katika uchimbaji mkubwa #IrambaMagharibi


4/6 Tumeeleza udanganyifu katika sekta ya madini ambapo #TMAA imegundua $885m query kwenye kampuni za madini na kupoteza kodi 425bn tshs in 2011


5/6 Tumesisitiza sera yetu #CHADEMA ya uchimbaji mkubwa Kwa makubaliano ya wananchi ie prior informed consent na kwamba madini Ni mali ya w'nchi


6/6 Wananchi wameuliza maswali mengi kuhusu njaa, Mchanga wa Dhahabu, umeme vijijini, kufeli Kwa wanafunzi kidato Cha nne na unyanyasi wa dola
​
 
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba

kaka utakuwa na tatizo kama watu wanakosa umeme ambao tayari ilishatolewa ufafanuzi ni kutokana na matatizo ya kiufundi kwa hiyo unataka kusema zito ataleta umeme hata kama mitambo inamatatizo,sijui unawza nini kichwani mwako.
 
Hakuna haja kumuita Paw au PAIN Killer ili akuadhibu, kwa busara zako tu ndogo ulipaswa kujua huyo ni mama wa mtu na haya matusi unampomoshea bila sababu ni ukosefu wa nidhamu kwake na mama yako aliyekuzaa. Asante kwa kunielewa.
By Mkusa hata Kesho akiamua Kumega Mama Salma yaani ni Kiulaiiiini kama kibogoyo kutafuna Maini Vile........

mods,,,, huu ni udhalilishaji wa kijinsia, unyanyapaa na ni ukiukwaji mkubwa kabisa wa maadili,kanuni na hadhi ya JF
SINA MAMLAKA YA KUKUSHINIKIZA lakini hili halikubaliki na jamvi hili linaelekea kuwa KIJIWE kama huu ujinga utafumbiwa macho...........................
 
Back
Top Bottom