Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...

mkuu umekula pesa za sanda nini?naona zimeanza kukurudia ebu jaribu kusoma kabla ujapost yawezakuwa unachanganya post
 
Kapige kazi kamanda wakati wao wakiangaika na kujifanya BONGO MOVIE
sisi tunawapiga za uso kwa wananchi
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Zemarcopolo,unanifurahisha jinsi unavyohaha na kutokwa na povu jingi kuitetea ccm kwa garama yoyote.kweli wewe ni mtumwa mwaminifu.Hongera
 
Safi sana wakati ccm wako bize studio na stationary kutengeneza muvi na barua chadema wako bize na m4c safi magamba mpaka yakae chini bado kidogo kazeni buti chadema
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Acha unafiki wa kubadilisha mtazamo wa Hoja. Kwani Zitto anafanya kazi TANESCO hadi ahujumu umeme? Hata Kama angekuwa nMkurugenzi wa TANESCO ndio asingeeda kabisa maana angepigwa mawe. Acha kuupotoshwa umma wa wanamabadiliko kwa kuupindisha ukweli. Ukweli nk kama maji hufuata mkondo wake.
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

ONA ANAVYOTETEMEKA. Hata kule Kigoma Kimama mzee wa "weka mbali na Tembo" alilalamika eti CDM wamekata umeme, nyie ccm vip? CDM leo wanamiliki TANESCO, yamewafika puan mnahaha. Ngoja MWEHUGULU Akashikishwe adabu. Zitttooooo, waambie wana Iramba mbunge wao kawa EDITOR wa muvi
 
Sana makamanda mpaka CCM wahame nchi ..kuweni makini na wazee wa movie wasije wakatengeneza movie zao za kichina
 
Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...

Kweli nimeamini hamna kitu kibaya duniani kama njaa kuingia kichwani;
Hivi huyu mburula hawezi kulipwa post yake bila kumtaja Dr.Slaa ?
Amini amini nawaambieni, hadi tunafika 2015, wengi wa hawa misukule wa Lumumba watakuwa wamesha shushwa kwa stroke na Pressure;
Zemarcpolo anagalia mda si mrefu utaanza okota makopo.
 
Sasa kuna faida gani ya chama chenu kurendelea kuwa madarakani kama dr slaa peke yake anawazidi nguvu? Yani mnajeshi na usalama wa ccm bado mnalalamika chadema ina wahujumu! Kama mnakili kushindwa kwa nini msiachie nchi wanao weza! Wewe una lalamika, Nape ana lalamika, raisa nae ana lalamika!

Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...
 
ZITTO ni zitto tu hakuna figure nyingine nayo ikubali kama kabwe zitto CDM hata ninywe dawa sijawakubali wengine na kwa mtizamo wangu mpaka kieleweke zitto na ndoto za uraisi nitampa kura kuliko waliotangulia CDM wote

Mkubwa, kwenye katiba lakini umeona suala la mgombea binafsi litakubalika?; Make kwa jina lako tu inaonekana ni kwa nini unataka Zito tu peke yake!
 
Huyo ndiye Zitto bhana, wanazi wa CHADEMA hawamtaki, wana-CCM wanapenda kumtumia lakini haoni wala kusikia!!! No wonder hata Ben Saanane hamjui....atamjua vipi wakati anafumba macho!!!?

Tulia ndugu. Asiyemjua mwenziye ni Zitto. Hata hivyo tunawatakia mkutano mwema
 
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba

Mimi nilidhani nyinyi viongozi wa BAVICHA ndio hazina ya CHADEMA ya kuja kufanya siasa safi, kumbe ndio hakuna kitu bora hata hao vibabu ndani ya chama chenu.

Swala la kutokuwepo umeme Iramba halina haja ya ndugu, jembe Mwigulu kulitolea maelezo, na wala sio swala la kisiasa, na wala CHADEMA msilitumie tukio hilo la umeme kujitangaza kisiasa hapo Iramba, maana ni swala la kitaalamu na linahusu kufanyia matengenezo nguzo mbalimbali za umeme karibu maeneo mengi nchini ikiwemo Iramba, linaloratibiwa na kutekelezwa na TANESCO.

Nilitarajia viongozi wa CHADEMA muwe mabarozi wazuri wa taasisi zetu kama vile TANESCO kwa wananchi, sanasana huko vijijini juu ya kuwaelimisha na kuwafanya wakaelewa, juhudi za TANESCO kutokomeza kabisa kero ya kukosekana kwa uhakika nishati nyeti kama hii ya umeme, kwa kupata ufumbuzi wa kudumu, kama huo wa kufanyia nguzo matengenezo, instead mnakua mstari wa mbele kulifanya jambo hilo kama mtaji wenu wa kuropoka majukwaani.

Kuna haja kweli ya kufanya mikutano yenu hiyo, lakini ajenda zenu ziwe za msingi na zisiwe za kupotosha wala kukashfu mtu, ndugu, jembe Mwigulu hajachukua jimbo kwa kukashfu wapinzani wake kipindi cha uchaguzi, na nyinyi hiwe hivyo kwenu, msitake kuchukua jimbo kwa kumkashfu jembe Mwigulu.

Nakupa tu angalizo.
 
mkuu wacha kumwekea bw mushi maneno.ninaamini umeelewa vyema ujumbe ila unataka kudilute uzi.zitto ahusiki na umeme ila kwa kipindi chote ambacho wana iramba wamekaa bila umeme hawajawahi kusikia kauli toka kwa mbunge wao usichoelewa nini hapo?

Huyo jamaa si mwemepesi kuelewa na akielewa anapindisha maelezo kwa faida yake, magamba na mafisadi 'wenzie'.
 
Kwa pamoja makamanda tutashinda umoja ni nguvu .
 
Back
Top Bottom