Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

ni upepo tu. CCM NDIO HABARI YA MJINI. KAMA RUZUKU NA MISAADA MWAITAFUNA JE TUKIWAPA DOLA HATA KIDOGO TULICHONACHO SIMTATUNYANGANYA. POLENI SANA WAUWAJI HATUDANGANYIKI. UGAIDI HAUKUBALIKI TANZANIA. CCM DAIMA.

masikini ya Mungu unahitaji utabibu si mzima kichwani,leo Lumumba hawakulipi post yako so cheeap.
RAMA IGHONDU na waajiri wake utawaitaje kama siyo kikosi cha magaidi?
 
CDM waonesheni wanairamba jinsi Mwigulu alivyo janga la taifa- waambieni njia sahihi ya kumwadabisha ni kura zao 2015 na hii ndo njia sahihi ya kuwandoa magamba na watetezi wa mafisadi.
 
mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya iramba ni MUSHI!?:!!! KWANI WANYIRAMBA hakuna wanaoweza kuongoza?? kweli CDM kina wenyewe na wenyewe ni kina MANGI

mmepanda udini umeanza kututafuna na damu za watu zimeshamwagika,sasa mnapanda ukabila.
Ama kweli ccm hamfai nyie ni janga la kitaifa
 
Wachache wasiotulia na nakutafakari huamini cdm hawamtaki,hii ni sehemu ya matokeo ya operation chaos ambayo inajengwa lumumba, kama mwanachadema hupaswi kuaminishwa propaganda za ccm zenye nia ya kugawa chama chetu makini.
Back to the topic:
Wakati Nchemba anagawa pesa kwenye vijiwe na kuhariri you tube za kutengeneza matukio mabaya dhidi ya chadema, huku kwetu Zitto na @Dr Kitila Mkumbo wanaenda kuongea na walalahoi juu ya kunufaika kwa rasilimali zao kupata na nishati stahiki kwa matumizi ya mtanzania anayelipa kodi tena kipindi hiki ambacho wanairamba hawana umeme kwa zaidi ya wiki kadhaa.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu siyo chadema hilo bonge la gamba,la mamba mgongonii kwa jinsi lilivyokomaa
 
Last edited by a moderator:
Wachache wasiotulia na nakutafakari huamini cdm hawamtaki,hii ni sehemu ya matokeo ya operation chaos ambayo inajengwa lumumba, kama mwanachadema hupaswi kuaminishwa propaganda za ccm zenye nia ya kugawa chama chetu makini.
Back to the topic:
Wakati Nchemba anagawa pesa kwenye vijiwe na kuhariri you tube za kutengeneza matukio mabaya dhidi ya chadema, huku kwetu Zitto na @Dr Kitila Mkumbo wanaenda kuongea na walalahoi juu ya kunufaika kwa rasilimali zao kupata na nishati stahiki kwa matumizi ya mtanzania anayelipa kodi tena kipindi hiki ambacho wanairamba hawana umeme kwa zaidi ya wiki kadhaa.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hamna kitu kibaya mkuu wangu kama kujaribu kuzuia upepo kwa viganja vya mikono!! Nimesema WANAZI wa CHADEMA, yaani unataka kubisha hata hili?! Mara ngapi humu jukwaani watu wa CHADEMA wamekuwa wakimsakama Zitto tena kwa maneno makali makali?! Mara ngapi mashabiki wa CDM humu jamvini wamekuwa wakimwita Zitto ni TRAITOR, MASALIA na mambo mengine kama hayo?! Tena wengine wanaomshambulia ni watu wanaofahamika kabisa......najua, katika kuendeleza unazi utasema "nimejuaje kwamba ni watu wa CDM".....unaweza kuhoji lakini kwa hakika haitasaidia na wala haitafuta ukweli wenyewe!!!
 
we endelea na biashara ya mpesa na uratibu wa movie coz ndiyo mchepuo uliyoamua kuchukua wacha makamanda wapige kazi

Mimi nashukuru chama changu kimenilea vizuri, kimenifundisha namna ya kufanya siasa safi, ikiwemo kuwa muhumini wa nguvu ya hoja, jambo lililo washinda wapinzani wengi, bila kuandaa matusi, kashfa na kejeli, CHADEMA aisimami majukwaani.
 
mkuu wacha kumwekea bw mushi maneno.ninaamini umeelewa vyema ujumbe ila unataka kudilute uzi.zitto ahusiki na umeme ila kwa kipindi chote ambacho wana iramba wamekaa bila umeme hawajawahi kusikia kauli toka kwa mbunge wao usichoelewa nini hapo?
anaelewa sana kilicho postiwa, hebu fatilia comenti zake utajua ni mtu wa aina gani.
 
hata Kesho akiamua Kumega Mama Salma yaani ni Kiulaiiiini kama kibogoyo kutafuna Maini Vile

Hakuna haja kumuita Paw au PAIN Killer ili akuadhibu, kwa busara zako tu ndogo ulipaswa kujua huyo ni mama wa mtu na haya matusi unampomoshea bila sababu ni ukosefu wa nidhamu kwake na mama yako aliyekuzaa. Asante kwa kunielewa.
 
Last edited by a moderator:
By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba

Natamani siku mwenyekiti wa BAVICHA pale wilaya ya Marangu, Rombo, Old Moshi, Machame au Moshi mjini awe anaitwa Maganga Masanja, au Mkude Koba.
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

kama kawaida yako..japo nimekusihi kwa muda sasa na nnaju inakuuma zitto kuwa huko kufa tena ufe kabisa kenge wewe.
 
Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...
haaa, mkuu wote hao ni chadema, hakuna tofauti hapo ni walewale tu!!
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Soma vizuri na uelewe alichokiandika Mushi juu ya ujio wao na suala la kukatika kwa umeme, mbona unarukia treni kwa mbele?! Kwani amekwambia kuwa suala la kuzimika umeme linamhusu zitto au anapendekeza Zitto awasaidie kuuliza kwanini wana siku ya tano hawana umeme??!!
Kumbe kuvaa kanzu si sababu ya kutokuwa kafiri............ Nawe umo.
 
pole sana,inaonekana umeandika kwa uchungu sana, tatizo ulipo wewe ni mbali mno alipo unayemchafua wewe, sana sana tutakuona tu ni walewale mlio kwenye payrol ya Chamba mnahaha mission yenu imegoma,kwani huruhusiwi kukosoa chama?
Kitu gani alichonacho ambacho mimi sina acha ujinga wewe mtu mbaya anambiwa usoni peupe bila kumung.unya maneno sipo kusujudu mumiani wa kisiasa mimi
 
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba
​

Wewe Bw.Mushi huko Iramba, Singida unafanya nini?
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Kwa hiyo unaamini Dr Slaa ni baba yako mzazi manake unaonyesha anapower kubwa kiasi hicho
 
Wape ze fact kuhusu har ya nchi kwan bado hawaujui ukwel baadh ya maeneo,kawa fungue kitambaa cheus walchovikwa na ccm,ili wasije kukataa kwamba hawana taarifa kaz iwekwao kunyoa au kusuka.kumeza au kutema,bg up ZZK.
 
Natamani siku mwenyekiti wa BAVICHA pale wilaya ya Marangu, Rombo, Old Moshi, Machame au Moshi mjini awe anaitwa Maganga Masanja, au Mkude Koba.

Akina mangi ni kama upepo aisee,hamna sehemu uta wakosa.
 
Akina mangi ni kama upepo aisee,hamna sehemu uta wakosa.

Mwenzangu sasa hata hutu tucheo twa BAVICHA ndugu zangu wanyiramba hawapati sijui watatokea wapi, haya akina Mushi wakati wenu huu.
 
Back
Top Bottom