Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Baadhi wanaweza kukubaliana nawe au kukupinga (Kwenye red), ispokuwa kwa kutoa mikakati hiyo ni ipi? na kwa sasa kuna mambo yanayojadiliwa sana kama ya Ufisadi, Epa, Meremeta, Mikataba ya kisirisiri, Dowans, IPTL, Chenji za ndege ya rais, kufeli fom4, vitendo vya utesaji na mauaji ya kutumia silaha n.k. Ni lipi limehujumiwa na CDM ili tuweze kujua uhalisia kwani hata Taarifa zake zinapatikana kwa manati.
 
ni upepo tu. CCM NDIO HABARI YA MJINI. KAMA RUZUKU NA MISAADA MWAITAFUNA JE TUKIWAPA DOLA HATA KIDOGO TULICHONACHO SIMTATUNYANGANYA. POLENI SANA WAUWAJI HATUDANGANYIKI. UGAIDI HAUKUBALIKI TANZANIA. CCM DAIMA.
 
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba
mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya iramba ni MUSHI!?:!!! KWANI WANYIRAMBA hakuna wanaoweza kuongoza?? kweli CDM kina wenyewe na wenyewe ni kina MANGI
 
Nashangaa na nitaendelea kushangaa mpaka siku ya kufa kwangu kwa mtu mmoja kugeuka shetani ndani ya chama ambacho yeye ni kiongozi bado sijajua ramani ya ubongo wa mtu huyu anaeandika mabaya ya chama chake na bado akawa kwenye chama hichi na katika nafasi kubwa,huyu bindamu anajipindua kama kinyonga mission ya huyu anayejidai kulalamikia chama akiwamo ndani nini haswa ni miaka saba sasa tangu aanza kukandia chama chake kwa kuandika kwenye mitandao ,kutoa kauli chafu kwenye yombo vya habari,kuchonganisha viongozi wake na jamii,mbona chadema haijafa,kaka ungepumzika kidogo roho ya ubaya inakupunguzia umri na hakika uso wako unachoka kwa sababu una multiple personalities
pole sana,inaonekana umeandika kwa uchungu sana, tatizo ulipo wewe ni mbali mno alipo unayemchafua wewe, sana sana tutakuona tu ni walewale mlio kwenye payrol ya Chamba mnahaha mission yenu imegoma,kwani huruhusiwi kukosoa chama?
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Mzee HK Mbona mapovu sana ka umekunywa Foma Gold! Tulia ka unanyolewa kiduku.. Siku hizi hutulii ukiona thread inayohusU CDM kalio zinawasha
 
mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya iramba ni MUSHI!?:!!! KWANI WANYIRAMBA hakuna wanaoweza kuongoza?? kweli CDM kina wenyewe na wenyewe ni kina MANGI

CCM hii dhambi ya ukabila na udini mtakufa nayo............hivi hao wabunge wa DSM ni wazaramo?usituletee BAN plz
 
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba

Kata ya Shelui hatuna maji, hatuna barabara ukiacha hiyo ya Mwanza, hatuna umeme, Miradi ya DADPS, Road Fund, LGCDG, TASAF inaishia kwenye vijiji vya kata ya Mwigulu.

JB najua hujuma mnayoifanya na Mwigulu kuvuruga mkutano, tafadhalini sana acheni watu wangu wapate elimu ya uraia
 
Zzk tunakuhitaji na dodoma,maana toka bungu la 10 likutane dom nikama hatuna mwakilishi bora uje kamanda.
 
Zzk tunakuhitaji na dodoma,maana toka bungu la 10 likutane dom nikama hatuna mwakilishi bora uje kamanda.
sahihisha hapo kamanda ni bunge sio bungu ila samahani kilugha chenu sikijui!!
 
Tusonge mbele makamanda,huyu gamba mla uroda wacha aendelee kuhangaika na chadema na mshahara wake ataupata soon.....
 
ZITTO ni zitto tu hakuna figure nyingine nayo ikubali kama kabwe zitto CDM hata ninywe dawa sijawakubali wengine na kwa mtizamo wangu mpaka kieleweke zitto na ndoto za uraisi nitampa kura kuliko waliotangulia CDM wote


wewe ni nani haswa? ni katibu mwenezi wa CDM? ACHA ushamba,huwezi kuisemea CHADEMA HATA siku na moja,kwa upeo wako finyu utabaki na UELEWA HUO HUO,HADI UTAKAPOSHUHUDIA kuwa ZZK NI WAZIRI MKUU WA NCHI HII THROUGH CHADEMA,DO unafiki utakuishia.
 
mpeni ushirikiano, awafundishe siasa. hicho ni kifaa cha kuaminika katika kazi
 
Huyo ndiye Zitto bhana, wanazi wa CHADEMA hawamtaki, wana-CCM wanapenda kumtumia lakini haoni wala kusikia!!! No wonder hata Ben Saanane hamjui....atamjua vipi wakati anafumba macho!!!?
Wachache wasiotulia na nakutafakari huamini cdm hawamtaki,hii ni sehemu ya matokeo ya operation chaos ambayo inajengwa lumumba, kama mwanachadema hupaswi kuaminishwa propaganda za ccm zenye nia ya kugawa chama chetu makini.
Back to the topic:
Wakati Nchemba anagawa pesa kwenye vijiwe na kuhariri you tube za kutengeneza matukio mabaya dhidi ya chadema, huku kwetu Zitto na @Dr Kitila Mkumbo wanaenda kuongea na walalahoi juu ya kunufaika kwa rasilimali zao kupata na nishati stahiki kwa matumizi ya mtanzania anayelipa kodi tena kipindi hiki ambacho wanairamba hawana umeme kwa zaidi ya wiki kadhaa.



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilidhani nyinyi viongozi wa BAVICHA ndio hazina ya CHADEMA ya kuja kufanya siasa safi, kumbe ndio hakuna kitu bora hata hao vibabu ndani ya chama chenu.

Swala la kutokuwepo umeme Iramba halina haja ya ndugu, jembe Mwigulu kulitolea maelezo, na wala sio swala la kisiasa, na wala CHADEMA msilitumie tukio hilo la umeme kujitangaza kisiasa hapo Iramba, maana ni swala la kitaalamu na linahusu kufanyia matengenezo nguzo mbalimbali za umeme karibu maeneo mengi nchini ikiwemo Iramba, linaloratibiwa na kutekelezwa na TANESCO.

Nilitarajia viongozi wa CHADEMA muwe mabarozi wazuri wa taasisi zetu kama vile TANESCO kwa wananchi, sanasana huko vijijini juu ya kuwaelimisha na kuwafanya wakaelewa, juhudi za TANESCO kutokomeza kabisa kero ya kukosekana kwa uhakika nishati nyeti kama hii ya umeme, kwa kupata ufumbuzi wa kudumu, kama huo wa kufanyia nguzo matengenezo, instead mnakua mstari wa mbele kulifanya jambo hilo kama mtaji wenu wa kuropoka majukwaani.

Kuna haja kweli ya kufanya mikutano yenu hiyo, lakini ajenda zenu ziwe za msingi na zisiwe za kupotosha wala kukashfu mtu, ndugu, jembe Mwigulu hajachukua jimbo kwa kukashfu wapinzani wake kipindi cha uchaguzi, na nyinyi hiwe hivyo kwenu, msitake kuchukua jimbo kwa kumkashfu jembe Mwigulu.

Nakupa tu angalizo.

we endelea na biashara ya mpesa na uratibu wa movie coz ndiyo mchepuo uliyoamua kuchukua wacha makamanda wapige kazi
 
Wawakilishi wa Jimbo la Iramba magharibi wote hamnzo. Ni siku ya nne (4) sasa toka umeme umekatika hakuna wa kuhangaika nao. Mbunge wao ndio father X-mas. hana habari na Iramba iliyomwezesha kuwa N. katibu mkuu CCM. Kawaambieni wana Iramba yale waliomtuma mbunge wao kayatupa sasa ana STUDIO ya Kurekodi Movies na ana kiwanda cha pesa anagawa ila wao mgao wao hadi 2015 atakapokuja kwa kampeni ya kumrudisha tena Bungeni.Waambieni waandae mifuko yao kuja kubeba pesa maana hatakuwa na la kuwaambia Wananchi zaidi ya kuwanunua kwa pesa.
 
Mwezi uliopita nilikuwa huko Iramba Mashariki. Kiukweli Nchemba ana wakati mgumu jimboni kwake pengine kuliko wabunge wote wa CCM. Dr Mkumbo ajiandae kuwa mwakilishi wao 2015. Hali iko hivyo vivyo hata Iramba Mashariki kwa Salome. Nadhani hii ni golden moment kwa CDM kuliko wakati mwingine wowote.
 
Back
Top Bottom