pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Jueni kuna wasiojulikana Huenda wameshafanya yao
Hawa wanaumbuka....! Walishawajaza wafuasi wao kuwa ooh! nchi inaendeshwa kwa 'one man show' mara nini sijui! Sasa, uongo wao ndiyo unawatesa, wala hawana lolote zaidi.Pia tumeambiwa nchi imeshindwa kujiendesha mpaka tung'ang'anie kujua alipo mtawala kama vile kuna jambo limekwama?
Tokea waziri mkuu atoe tamko sasa ni siku kadhaa zimepitaSo contradictory!
Zitto unasema Viongozi wa juu wako kimya, wakati huo huo unasem PM ametoa kauli, pia VP ametoa kauli. Sasa hapo issue ni ukimya wa viongozi, au huwaamini?
Pia unataka serikali itoe maelezo. Nani tena atoe maelezo ikiwa Mkuu wa shughuli za serikali ameshatoa kauli?
Usizunguke mbuyu, issue uitakayo ni rais kujitokeza hadharani.
Awamu ya tano wamesha zowea kuvunja katiba. Hii nchi imekuwa kama danguro kule Buzaa. Yaani kila kiongozi analo taka kuongea ndilo hilo ataongea. There is no rule of law.Waache wafiche tu atakapokufa ndo watanyosha maelezo vizuri.Biblia inasema Mwovu akifa watu hupiga kelele.
Makamu wakwanza wa rais Zanzibar majukumu yake nikushauri rais wa zanzibar tu.hanakazi nyingine vilevile wanaweza kumbania kumpa taarifaTena anafaida ya kuongea na Makamu wa kwanza wa Rais, au hata yeye hajui alipo mwenzake?
Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali saa 24 kila siku ndiyo maana hawaachi chochote kiwe kikubwa kidogo wao wanapita navyo vyoteZito bwana, unataka kuiingiza mkenge serikali iseme anaumwa probably Korona then mje na dhihaka zenu.!
Binadamu aisee ukimsikiliza utadhan Anakusud jema kumbe anakutegea tu uingie mtegon mwake.!
Sure tuna sumbuka na mambo madogo sn japo simpendi dikteta lakini kwa hili hapanaHawa wanaumbuka....! Walishawajaza wafuasi wao kuwa ooh! nchi inaendeshwa kwa 'one man show' mara nini sijui! Sasa, uongo wao ndiyo unawatesa, wala hawana lolote zaidi.
Sasa mbwembwe za kuwa na makamo wa kwanza wa Rais ndiyo ile kumshauri tu Rais wa Zanzibar?Makamu wakwanza wa rais Zanzibar majukumu yake nikushauri rais wa zanzibar tu.hanakazi nyingine vilevile wanaweza kumbania kumpa taarifa
Tudai katiba mpya inayokataza mambo ya hovyo ikiwemo Usiri usio na tija kwa TaifaKwa kutokujua nafasi yetu kama "RAIA" wa taifa hili, viongozi wamechagua kutufanya watakavyo. Hiyo ndiyo faida ya ujinga. Tungelijua nafasi yetu, suala la wahusika kutueleza aliko Rais lisingekuwa hisani, bali wajibu.
Bahati mbaya sana, wengi wetu tumempa Rais hadhi ya kuwa "naibu mungu" kiasi kwamba tunaona kuwa kuhoji chochote kuhusu hali yake na vitendo vyake ni sawa na dhambi ipasayo mauti.
INASIKITISHA SANA.
Zitto Kabwe yuko serikalini sasa anamuuliza nani?Zitto ana haki ya kuhoji...tetesi zikiwapo ni vema kutatuliwa. Serikali imekuwa ikitoa matamko kukanusha tetesi na taarifa za uongo, hivyo andiko la Zitto ni njia mojawapo ya kuclear tetesi
Yuko wapi Raisi wetu?!Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Anawauliza viongozi wenzake huko CCM ambao wamejichagua wachache na kuamua kutengeneza Usiri mkubwa uso na tija kwa TaifaZitto Kabwe yuko serikalini sasa anamuuliza nani?