Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,352
- 1,881
Kikatiba yupo sahihi tupunguze mahaba na tuwe huruPia tumeambiwa nchi imeshindwa kujiendesha mpaka tung'ang'anie kujua alipo mtawala kama vile kuna jambo limekwama?
Kikatiba yupo sahihi tupunguze mahaba na tuwe huruPia tumeambiwa nchi imeshindwa kujiendesha mpaka tung'ang'anie kujua alipo mtawala kama vile kuna jambo limekwama?
Sasa hapa Uislam umeingiaje? Elewa mada...changia hoja!Waislam wengi ndio tabia zao wanajionaga dini yao ndio dini bora hapa duniani.
Mkuu hili jambo wanalojua ni wachache mnoNyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
Nimekusoma mkuu, vijana wamekuwa shida sana yaani mtu anaweka uChama hata kwenye mambo ambayo yako wazi kikatiba na Zzk ameweka wazi wapi anapata mandate ya kuhoji hayo,Zzb umeongea point tatizo liko kwa wadanganyika waliozea kunywa chai ya moto kwa mrija. Ni maumivu.
Ni juu ya uelewa wako!Nawe fucha kidogo utahira wako!! wapi kaonyesha udini hapo, sio kila mada lazima uchangie!! Mifala mingine unauzi sana!!


hoja yako ni dhaifu sana, Tuambieni Rais wa JMT leo ni ya 17 yupo wapi??Rais watanzania anatakiwa kuwa wapi?
Tatizo Ni kama umezoea kuivunja hata ikivunjika haitokuwa ishu kwakoKuna mahala katiba imekiukwa?
Ikiwa amededi je mtasemaje? Semeni kiongozi aliyechaguliwa kwa mitutu na kura feki yuko wapi?Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Moshi hauna kawaida ya usiri lazima uje juu tu. Time will tell. .Sasa kama waziri mkuu keshatoa hilo tamko ina maana Zitto hajui anayeongoza nchi nani? Ni Dk Magufuli aliyeongea na Waziri Mkuu
Hata wanaompenda wanamtafuta pia lakini wanaogopa kumtafuta live kwani Polisiccm watawakamata kwa kisingizio cha kusambaza habariRais anatafutwa na wanaomchukia kuliko wanaompenda.