Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Wanabodi,
Kama kuna matukio makubwa ambayo yametokea juma hili na kupelekea kumshusha binadamu toka kwenye sifa aliyoitegemea mpaka kwenye aibu ya karne basi ni hili suala la ZZK na lile la Mkalimani wa Lugha za alama kwenye msiba wa Madiba.
Wote wawili wameshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta habari potofu kwa jamii iliyokuwa ikiwaamini kwamba wanachokiwakilisha kwao ni kitu chenye ukweli mtupu pasipo shaka yoyote, mpaka mwisho wa siku walipokuja kubainika kwamba walichokuwa wanakiwakilisha kwa jamii ni Upotofu wa hali ya juu na kuwasababishia kupatwa na matatizo na aibu na kutokuja kuaminika tena ambayo hawatakaa wasahau juma hili katika maisha yao yote.
Kwa kifupi ni kwamba ni watu waliokata tawi walilolikalia.
Nawakilisha.