Zitto Kabwe na Ya Mkalimani wa Lugha za Alama wa Msiba wa Mandela

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
Wanabodi,

Kama kuna matukio makubwa ambayo yametokea juma hili na kupelekea kumshusha binadamu toka kwenye sifa aliyoitegemea mpaka kwenye aibu ya karne basi ni hili suala la ZZK na lile la Mkalimani wa Lugha za alama kwenye msiba wa Madiba.
Wote wawili wameshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta habari potofu kwa jamii iliyokuwa ikiwaamini kwamba wanachokiwakilisha kwao ni kitu chenye ukweli mtupu pasipo shaka yoyote, mpaka mwisho wa siku walipokuja kubainika kwamba walichokuwa wanakiwakilisha kwa jamii ni Upotofu wa hali ya juu na kuwasababishia kupatwa na matatizo na aibu na kutokuja kuaminika tena ambayo hawatakaa wasahau juma hili katika maisha yao yote.
Kwa kifupi ni kwamba ni watu waliokata tawi walilolikalia.

Nawakilisha.
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?

Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.

Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?

Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.

Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.

Divide and rule priciple.
 
tumwombee asije kujinyonga kama Yuda iskarioti
hii iemchangiwa pia na kiherehere cha wakili wake bwana Msando
amezidi kumbomoa mteja wake kwenye media.
mambo ya chama malizia ndani ya chama na sio kwenye media
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?

Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.

Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?

Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.

Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.

Divide and rule priciple.

Wewe nae vipi? Kwanini msikiri tu kuwa mliingia mkenge kumsapoti mwanasiasa tapeli? Sasa ndo mnaona divide and rule kwa vile usaliti wa ZITTO umebainishwa? Mbona alipotumia mbinu hiyo hiyo kwa 'wasomi' vs 'wenye elimu pungufu' hamkulalamika?

Imekula kwenu hiyo!
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.Divide and rule priciple.
kaka leo chadema wamejiabisha vibaya mnoyaani hawajui siasa hata kidogo, wamejaa kulekulekesho lukuvi na werema watasema kitu gani mtakataa??jamani chadema kweli wana akili timamundio maana tunamwona zitto ana akili sana
 
Wanabodi,Kama kuna matukio makubwa ambayo yametokea juma hili na kupelekea kumshusha binadamu toka kwenye sifa aliyoitegemea mpaka kwenye aibu ya karne basi ni hili suala la ZZK na lile la Mkalimani wa Lugha za alama kwenye msiba wa Madiba.Wote wawili wameshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta habari potofu kwa jamii iliyokuwa ikiwaamini kwamba wanachokiwakilisha kwao ni kitu chenye ukweli mtupu pasipo shaka yoyote, mpaka mwisho wa siku walipokuja kubainika kwamba walichokuwa wanakiwakilisha kwa jamii ni Upotofu wa hali ya juu na kuwasababishia kupatwa na matatizo na aibu na kutokuja kuaminika tena ambayo hawatakaa wasahau juma hili katika maisha yao yote.Kwa kifupi ni kwamba ni watu waliokata tawi walilolikalia.Nawakilisha.
yaani kwa akili za kuzaliwa na wazazi wako wawili, unaamini kuwa hakuna hela zilizifichwa kwenye mabenki ya nje ya nchi??zimo kweli wewe??
 
Afadhali yule wa South africa kakiri yeye ni mgonjwa wa akili.Huyu wa kwetu bado tunamsubiri.
 
Wewe mwambie werema afungue mdomo kuhusu sakata la arusha uone hilo maccm yameshikwa pabaya na hawachomoki hapo lazima siku msiyo dhani uovu huo na unyama mlio wafanyia watu wasio na hatia utawekwa peupe
 
mkalimani kitu gani amepotosha? Yaani alitafasiri nini badala ya nini? Zzk kwa hili hana kosa, mnataka aape ili iweje? Kwani hakuja fedha zilizofichwa uswis? Chenge alikiri kuwa na 1+billion nje ya nchi ina maana kwa vile zzk hajaapa fedha hizo zimehama zikaja tz?
 
Wewe nae vipi? Kwanini msikiri tu kuwa mliingia mkenge kumsapoti mwanasiasa tapeli? Sasa ndo mnaona divide and rule kwa vile usaliti wa ZITTO umebainishwa? Mbona alipotumia mbinu hiyo hiyo kwa 'wasomi' vs 'wenye elimu pungufu' hamkulalamika?

Imekula kwenu hiyo!

Hii IMEKULA CDM! VIONGOZI WENU WALIKUWA WANATUMIA FALSAFA YA 'HITLER NA GOEBBELS' KWAMBA "URONGO UKIRUDIWA MARA NYINGI SANA BASI HUGEUKA UKWELI KWA UMMA LENGWA". NA MMEZUSHA MENGI SANA YA URONGO DHIDI YA CCM, SASA MNAMTOSA MWENZENU KAMA KUMTOA KAFARA!
LAKINI JAMII YA 'WADANGANYIKA' KWA UMOJA WAKE IMESHANG'MUA HILA ZENU KAMA CHAMA NA HAMTAKUA NA JIPYA TENA!
HATUDANGANYIKI!
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?

Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.

Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?

Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.

Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.

Divide and rule priciple.
Kama hadanganyi ni wakati muafaka sasa kutokea hadharani na orodha hiyo ikiambatanisha majina, namba za account na kiasi ambacho kila mmoja ameweka. Vinginevyo hana namna nyingine ya kuiaminisha jamii kuwa anayo!!
 
Hii IMEKULA CDM! VIONGOZI WENU WALIKUWA WANATUMIA FALSAFA YA 'HITLER NA GOEBBELS' KWAMBA "URONGO UKIRUDIWA MARA NYINGI SANA GASI HUGEUKA UKWELI KWA UMMA LENGWA". NA MMEZUSHA MENGI SANA YA URONGO DHIDI YA CCM, SASA MNAMTOSA MWENZENU KAMA KUMTOA KAFARA!
LAKINI JAMII YA 'WADANGANYIKA' KWA UMOJA WAKE IMESHANG'MUA HILA ZENU KAMA CHAMA NA HAMTAKUA NA JIPYA TENA!
HATUDANGANYIKI!
Bwana Kishi, Zito ni pandikizi lenu chadema ndo maana hata bungeni ni Lema ndiye aliyewasha moto wa kumuumbua Zitto!
 
mkalimani kitu gani amepotosha? Yaani alitafasiri nini badala ya nini? Zzk kwa hili hana kosa, mnataka aape ili iweje? Kwani hakuja fedha zilizofichwa uswis? Chenge alikiri kuwa na 1+billion nje ya nchi ina maana kwa vile zzk hajaapa fedha hizo zimehama zikaja tz?
Mkalimani alitakiwa kutafsiri kwenda kwenye "sign language",mahsusi kwa wale wasosikia.Lakini jamaa kumbe alikuwa hajui anachofanya,yani hana ujuzi huo,so nadhani alikuwa anabuni tu nakurusha rusha mikono,kumbe utapeli mtupu.
 
Wanasiasa WaKweli daima hupata matatizo. Ona hata Mrema watu walisema ni Pandikizi! wakati alikua anafanya kazi nzuri...hakuaminika ,
Hadi sasa vyama vya siasa viko kama NGO maana kila anaekianzisha ni cha kwake , na bila shaka kanuni na katiba zinalinda Lengo hilo.
Sasa ni Kiongozi gani mwenye uhakika wa kubakia chamani hasa ikiwa yeye si 'mmiliki'?
 
cheki ukurasa wa kwanza na thread za Zitto...

Kati ya thread 29 zilizopo ukurasa wa kwanza(none sticky),16 kati ya hizo zinamuhusu Zitto.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom