SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,901
Lakini mwenyekiti wa kamati ni lazima atoke chama pinzani au unataka kusemaje?Hongera Zitto ila binafsi naamini mpinzani wa kweli hawezi kupigiwa kura na CCM.
Lakini mwenyekiti wa kamati ni lazima atoke chama pinzani au unataka kusemaje?Hongera Zitto ila binafsi naamini mpinzani wa kweli hawezi kupigiwa kura na CCM.
Shukrani mkuu Ndachuwa; nini kimepungua kutoka POAC hadi PAC...maana niliwasikia Chadema kwenye mkutano wao pale Temeke wakilalamika hili swala, bila shaka na wadau wengi walilipigia kelele...Leo Nashangaa wadau wanaunga mkono bila kuainisha mapungufu walio yapigia kelele mwezi uliopita tu...nimependa mkuu ulivyowasilisha maoni yako maana kwenye serikali za mitaa ndio kwenye uozo.!!PAC itapitia hesabu za mashirika ya umma na za serikali kuu idawa. Ningekuwa Spika ningeunganisha Serikali za Mitaa na Serikali kuu maana kuna mwingiliano zaidi kuliko mashirika ya umma na serikali kuu
Hongera Zitto ila binafsi naamini mpinzani wa kweli hawezi kupigiwa kura na CCM.
CCM wanajitambua hawana unazi wa vyama,sio kama Chadema walionyesha udhaifu,uchoyo,roho mbaya na ubinafsi katika kuchagua mawaziri vivuli wa kambi ya upinzani.Hongera Zitto ila binafsi naamini mpinzani wa kweli hawezi kupigiwa kura na CCM.
CCM wanajitambua hawana unazi wa vyama,sio kama Chadema walionyesha udhaifu,uchoyo,roho mbaya na ubinafsi katika kuchagua mawaziri vivuli wa kambi ya upinzani.
Shukrani mkuu Ndachuwa; nini kimepungua kutoka POAC hadi PAC...maana niliwasikia Chadema kwenye mkutano wao pale Temeke wakilalamika hili swala, bila shaka na wadau wengi walilipigia kelele...Leo Nashangaa wadau wanaunga mkono bila kuainisha mapungufu walio yapigia kelele mwezi uliopita tu...nimependa mkuu ulivyowasilisha maoni yako maana kwenye serikali za mitaa ndio kwenye uozo.!!
Mkuu japo hii sio sehemu ya mada ya uzi huu ial unaweza kutafakari japo kwa miguu kama ubongo wako uko likizo, uendeshaji wa CCM na familia ya JK?
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.
Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.
Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.
nyabhingi kama una maelekezo ya POAC ambayo wewe na bodi ya shirika lako hamjafanyia kazi bora ukaanze utekelezaji maana kamati ya PAC sasa inashighulika na hesabu za mashirika ya umma (PSPF/TANESCO yako) na Serikali kuu (Hesabu za Wizara).i was wrong nilidhani zitto wangemmwaga!!cheyo ovyo tu alikuwa anaifichia serikali maovu mengi kwenye ile kamati,kwa hiyo zitto hatii tena mkono kwenye mashirika kama tanesco na pspf?nielewesheni hapa