Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

Congrats ZZK. We hope you will be just and fair. I wish you all the best.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Afadhali sana...Kwa hivyo lile lengo baya la kuzuia yale yaliyokuwa yakifanywa na POAC limeshindikana?

Hongera Zitto
 
Last edited by a moderator:
nakutakia utendaji mwema ulotukuka kamanda zitto.
 
Hiyo PAC majukumu yake ni yepi.? ufafanuzi tafadhali.!!
 
Maelekezo toka CCM
partycocus! Mana wangemwaga jamaa wananchi tungeichukia zaidi CCM coz
tungeamini CHADEMA kaonewa! HONGERA Z. Z. Kabwe.

you have a point mkuu CCM Hawawezi kuwa waungwana kwa CDM labda kwa maelekezo maalum
 
Wanaweza kufuta CHADEMA, lakini hawawezi kufuta mawazo ya Ukombozi yaliyo ndani ya wanachadema. Chadema sio chama cha siasa tu bali ni wazo la ukombozi.
 
Pigo kwa Mama Makinda alidhani wabunge wote hawamtaki. Kwa taarifa yenu ingawa wapo CCM kwa Gamba ni CHADEMA kwa Damu

 
Kwa kweli hizi ni habari njema kwa kila mzalendo wa Tanzania. Hongera sana ZZK, sasa chapa kazi kama kawaida.
 
  • Public Accounts Committee (PAC)
This Committee consists of not less than eight and not more than twelve Members appointed by the Speaker.

Functions

· To scrutinize Government expenditure, Government Financial Year Accounts and any other accounts presented to the Assembly as the Committee deems fit;

  • In exercise of its functions of scrutinizing the Government Finance and the report of the Controller and Auditor General, it shall be the duty of this Committee to see that:-
    • Moneys reflected in the estimates of expenditure are expended as authorized; and
    • Expenditures were duly authorized by appropriate Authority under existing accounting procedure;
  • To scrutinize all such accounts in respect of which inspection is conducted by the Controller and Auditor General under a Presidential directive or any existing law;
  • To scrutinize and consider any report from the Controller and Auditor General where the President directed such audit to be effected;
  • Shall give its opinions as it deems fit after conducting examination on the utilization of supplementary funds allocated for the financial year concerned

  • Parastatal Organization Accounts Committee (POAC)
This Committee consists of not less than twelve Members appointed by the Speaker.

Functions

· To scrutinize the accounts relating to existing Parastata1s;
· To evaluate the economic prosperity of existing Parastatal;
· To scrutinize in every manner possible, the accounts, projects and other ventures of the Parastatal Corporations;
· To make follow up of The Formation and Management of the Parastatal

Nadhani tumechezewa akili hapa....
Mtu yeyote atakuambia jinsi ambavyo mashirika ya kiserikali kama EWURA, SUMATRA, TANESCO, CMSA n.k yalikuwa yakipata shida kuibia serikali kutokana na uwepo wa POAC..kilichofanyika hapa ni kuhamisha hiyo efficiency na kuipeleka kwenye ukaguzi wa mahesabu ya halmashauri za mikoa na wilaya (ambako fedha huwa zinaibiwa lakini mara nyingi mgawanyo wake huwa haufiki Dodoma)

Kwa mtindo huu tunarudisha wizi kwenye mashirika yetu ya umma kule kule ulipokuwa miaka ya 90 na early 2000s..sababu ripoti za CAG zitapelekwa wizarani na state house na kuwekwa kwenye makabati tu bila kufunuliwa wala kusomwa...We are being played!!
 
  • Public Accounts Committee (PAC)
This Committee consists of not less than eight and not more than twelve Members appointed by the Speaker.

Kwa mtindo huu tunarudisha wizi kwenye mashirika yetu ya umma kule kule ulipokuwa miaka ya 90 na early 2000s..sababu ripoti za CAG zitapelekwa wizarani na state house na kuwekwa kwenye makabati tu bila kufunuliwa wala kusomwa...We are being played!!

Hizo hongera zinaenda wapi? Kwa Zitto au CCM?
 
Back
Top Bottom