Kwa ungese huu ipo siku tutasema tuuze hospital tulipe mishahara,eti Asad kasema?!Na hii ndio maana ya Prof. Assad "cash ifanyie mambo mengine" nunua madawa kopa ndege, biashara itajiendesha deni linalipwa.
Ila one man show, mipango ya ndege mwenyewe, mnunuzi mwenyewe, angekua na uwezo angekua rubani ye mwenyewe.
Huu ulioandika sasa ndio ungese og!!!Kwa ungese huu ipo siku tutasema tuuze hospital tulipe mishahara,eti Asad kasema?!
Asad ni fisadi kama hakina kigwa tu. Hana usafi wowote kipindi cha Dau walijiuzia nyumba za NSSF na kununua viwanja kule kigamboni kwa bei sawa na NEW YORK CITY.
Hawa mafisadi wana kawaida kushadadia ya wenzao kama walikosa asilimia 10.
Ndugu yangu shida sio mfumo wa vyama vingi, shida ni sera kama sera mbovu hamna tutachofanikisha, kwani sasaiv chama ni kimoja ila utaona. Bungeni wanawabunge kazi ni unafiki, na hawasemi ukweli wanaongelea mambo ambayo hayana msingi. Wanashindwa kutekeleza wajibu wao na ni kuisimamia serekali. Kila mmoja anasifu ili awe waziri. Hilo ni tatizo. Mifumo mibovu hapa unaongelea ajira hamna tz wakati nafasi za waziri na naibu ni 46 kwa pamoja. Izo ni ajira 46 zimeshikiliwa na watu wenye ajira tayari halafu inategemea watatuangalia watz wengine. Shida sio chama kimoja au 6 shida ni sera na katiba. Na ndo zinatuletea vilaza bungeni watu wenye akili wanatupwa mitaani tunaenda vilaza bungeni na ofisiniSafiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961
Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
Haya Shauri Zetu
Ishu sio kutukanana, watu ni capitalist,ata ww kwenye mianya utapiga. Sijui km ulisema yana ukweli ila ukweli amesema we need strong institutions and rule of law. Katiba imara au tutegee ujinga mwengine akiingia mungu mtu mwengineKwa ungese huu ipo siku tutasema tuuze hospital tulipe mishahara,eti Asad kasema?!
Asad ni fisadi kama hakina kigwa tu. Hana usafi wowote kipindi cha Dau walijiuzia nyumba za NSSF na kununua viwanja kule kigamboni kwa bei sawa na NEW YORK CITY.
Hawa mafisadi wana kawaida kushadadia ya wenzao kama walikosa asilimia 10.
Unaongea mambo ya kubuni bila taarifa sahihi.Safiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961
Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
Haya Shauri Zetu
Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.
Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.
Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.
CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
Ndege tumejaribu na kufeli. Bora nusu hasara kuliko hasara kamili. Cha kufanya ni kuuza ndege na kubakiwa na kadhaa kwa ajili ya matumizi ya ikulu na kwa majibu ya mahitaji ya serekali tu.Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.
Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.
Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.
CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
Kwenye suala la ndege alicheza vizuri. Kama kuna hasara iangaliwe uhalali wa hasara na sababu au visababishi. Biashara ya ndege duniani kote imekumbwa na mitikisko. Watu hawataki ndege wanataka walete za kukodisha km zamani! Wapige someone behind this move.Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.
Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.
Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.
CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
Usikurupuke tena wakat wa kunijibu, Nilie mquote ndie alisema Singapore ni chama kimoja nimemjibu accord na alichosemaUnaongea mambo ya kubuni bila taarifa sahihi.
Singapore kuna jumla ya vyama vya siasa 30.
...Seven new parties were formed in the 1970s (including the Justice Party, Singapore and the United Front, the preprocessor of today's Democratic Progressive Party), two in the 1980s, two in the 1990s, three in the 2000s, and six in the 2010s. The newest party to be registered is Singapore United Party, on 24 December 2020.[1]There are therefore a total of 30 registered political parties today, of which ten have never contested in an election....
Kwahiyo ww una copy and paste hufanyi Tafiti hata kidogo?🙄🙄🙄Usikurupuke tena wakat wa kunijibu, Nilie mquote ndie alisema Singapore ni chama kimoja nimemjibu accord na alichosema
Zoote hizo zina VYAMA VINGI..Unaijua Botswana? Ni nchi ya chama kimoja? Namibia ni nchi ya chama kimoja? Singapore, Hong Kong, Brazil, ni nchi za chama kimoja?
Safiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961
Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
Haya Shauri Zetu
Unaongea mambo ya kubuni bila taarifa sahihi.
Singapore kuna jumla ya vyama vya siasa 30.
...Seven new parties were formed in the 1970s (including the Justice Party, Singapore and the United Front, the preprocessor of today's Democratic Progressive Party), two in the 1980s, two in the 1990s, three in the 2000s, and six in the 2010s. The newest party to be registered is Singapore United Party, on 24 December 2020.[1]There are therefore a total of 30 registered political parties today, of which ten have never contested in an election....
Hamatan aliuliza swali, hakusema Singapore ina chama kimoja. We ndo ulisema hivyo.Usikurupuke tena wakat wa kunijibu, Nilie mquote ndie alisema Singapore ni chama kimoja nimemjibu accord na alichosema
Mirad bubu ya wazalendoAkichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Mkuu hii statement haina maana kwako?Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries
What is Zitto's point here?Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries
Huyu chizi naye kaamka! Bombardier ilimuokoa kigoma, sasa hivi angeshasahaurika huyu! Sababu nyingine kuwa Magu aliwapenda sana watz, yaani mpska Zito nae alisaidiwa na Magu! Rip shujaa wetu, hatuta kusahau kamwe 😭!Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.