CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
sawa ndugu, ila mazingira Yao Yana fanana kabisa, wote wameshutumiwa kuwa wasaliti kwa vyama walivyojitolea sana kuvijenga.,
haha..nimetoa mifano mingi sana ndugu yangu.Km huwezi kuwa mwaminifu ktk haya ni vipi utaweza endesha maisha kw ahisia na kutaka utakacho ndicho kiwe jibu?Sasa km unataka majibu yako ndio yawe matokeo kwanini ufanya research?
NImetoa sana huu mfano..Wanandoa wanapoachana kwa uzinzi mbaya wa mmojawapo...na kuamua achana bila kudhalilishana mbele za watu.Wengine hufikia kusema sababu ya uongo na wote kuisimamai kwa masalahi ya watoto na heshima zao kwa kukumbuka yale mazuri ambayo yaliwapa furaha kipindi wakiwa pamoja.
Zitto kafanya makosa ambayo yamebadili kabisa maisha kwa kiasi cha kufany mahusiano yasiweze ten akuwa km zamani.Hapa ni vyema zaidi mahusiano yakavunjwa kwa afya ya wote na si distructions ya yeyote.
Mh mh hii sasa kali sijui kama MACCM kuendekeza udini wanajua wanavyochafua nchi
wanamtetea kwasababu wanamuamini. Na wanahisi anatendewa isivyo haki
Mfano wako ni butu kwani CHADEMA sio mke/mume na uanachama wa Zitto au mtu mwingine yeyote sio sawa na ndoa ya watu wawili.
CHADEMA ni mali ya watanzania wote walio wanachama na wasio wanachama. Kama kuna maamuzi yanayofikiwa hasa yale yanayogusa uhai wa chama, ni lazima wananchi au at mimimum, wanachama wote wataarifiwe. Hiyo ndio demokrasia. Kujaribu kujifanya kuwa yanayofanyika ni siri, ni njia tu ya kujaribu kuficha madhambi na kuminya demokrasia ya kweli kushamiri chamani.
Mimi nashindwa kuelewa huu unafiki tunaoukumbatia watanzania. Zitto hajaanza leo kuwasaliti CHADEMA, hakuna mtu mwenye akili timamu atasimama na kutamka toka moyoni kuwa Zitto ameonewa. Hata wana CCM tunaotaka ushindani wa kisiasa hakuna haja ya kumsapoti Zitto,mtu msaliti hata akija CCM ataendeleza tu usaliti wake. Mwenyekiti wetu Mh. Kikwete angekuwa na uchu wa madaraka kama Zitto,naapa mbele za mungu asingekuwa raisi wetu hii leo jap6 kama angependa kuigawa CCM hapo 1995. Mimi naenda mbali na kuamini kuna baadhi ya makabila hayapaswi kupewa madaraka makubwa hapa nchini. Huku usukumani ukitaka kuoa hapo miaka ya nyuma tulikuwa tunatahadhariswa kuoa mchanga-wapo kwa pesa, wahaya-si waaminifu kwenye ndoa,msukuma-hajui mapenzi isipokuwa kazi. Waniramba-ujiandae kukamata ugoni dkk yoyote! Kwa mifano hiyo midogo naomba muangalie mwenendo wa Kafulila hata alipoenda NCCR-MAGEUZI baada ya kutoka CHADEMA, angalieni Kaburu,muoneni Zitto alivyowageuka wenzake halafu watu mnaendelea kuunga mkono mchawi! Malaya ni malaya tu hata kama amekulia BOT. Zitto ni malaya wa siasa,mpenda sifa,mwenye kujiona kwa elimu yake ya Wajerumani. Nasema kila mara hapa jf forum Zitto alitumia hoja za migodi yetu ya dhahabu kujulikana na kujitajirisha na baadhi ya wana CCM majinzi. Wapambe wake naomba mjulisheni akome kubeba ajenda za kanda ya ziwa hasa Shinyanga kwani Lembeli anatosha kutuwakilisha akomae na mawese pamoja na migebuka huko kwao. Mimi hakuna kauli iliyoniudhi kama yakudai wakristu hawampendi Kigoma wakati mimi mtoto wangu namwita Zitto huku nikiwa mkiristu.
Acha utoto wewe km hujaelewa si ungesema tuu hujaelewa.Nani kasema ni siri?Ni kwamba mahusiano na CDM hayawezi tena kuwa km siku zile Zitto akiwa na baraka za kila mtu,akiwa anaminiwa na kila mtu.
Sasa km ndivyo na adhabu imempasa, kwa faida yake tuu ni kwamba asiwasukume CDM waseme yote mabaya na kuamua mdhalilisha mjini.Asepe basi kwa makosa yanayoonekana na yaliyotosha hata kwake kujiona mkosefu.Basi,sijasema siri ila heshima na kutofurahia downfall ya mtu mwingine.Hiyo ndio nji aya CDM km nji aya Barcelona.
Timu kubwa huwafukuza wachezaji ambao kuna kipindi walikuwa wakifunga magoli sana kwa wapinzani bila kutaa jenga scene.HUko ndipo kustaarabika.Ila Zitto km anapenda sana.akina Lema wapo wa kumaliza..
Unapigania kuwapo kwa 'siri' lakini hutaki ziitwe jina lake halisi yaani 'siri'. Sijui unaogopa nini au unafikiri wote ni wajinga wasioelewa u-pupu unaoandika.
CHADEMA sio timu ya mpira maana timu ina wamiliki ambao sio lazima kuwajibika kwa washabiki. Chama chochote cha siasa ni cha watu wote, wanachama, mashabiki na wasio mashabiki. Sijui ni makosa gani hayo unayoyajua aliyofanya Zitto ambayo eti ni ya siri eti kwa kisingizio cha kumnusuru Zitto au CHADEMA yakiwekwa wazi. Mifano yako ni ya kitoto na ni vema ukaacha kutetea ujinga kama huna hoja isiyo na ushahidi.
Watanzania tunataka demokrasia, uwazi na kufuatwa kwa sheria, kitu ambacho uongozi wa Mbowe unaelekea haukiamini tena. Kama akina Mbowe wanataka kufanya yale yale wanayofanya CCM ya Kikwete, basi wakahamie huko na kuacha demokrasia ya kweli ishamiri ndani ya CHADEMA.
inaelekea hujifahamu au unapotosha kwa makusudi Chadema watu 11 walioanzisha walitoka maeneo yote ya nchi wawili tu wakitokea Kilimanjaro, baada ya Mtei alikuja BOB - ambaye ni msukuma na pia akafuatiwa na mchaga lakini chama cha CCM tangu 1954 kimeongozwa na mwenyekiti mmoja tu nje ya miko ya Pwani, Mwinyi Zanzibar/Rufiji, KIkwete Bagamoyo,Mkapa Mtwara wote hao pwani ya mashariki kwa hiyo CCM ni chama cha waislamu ndivyo unavyoamini achene ujinga wa kutaka kuharibu nchi kwa udini wenu ili mubaki madarakani na kuendelea kufyonza nguvu ya watanzaniaCCM imesambaa sana na imekuwepo kwa muda mrefu kiasi cha baadhi ya misimamo yake kuhusu udini na ukabila kukubalika na waTZ wengi.
CHADEMA wao bado ni wachanga kwa hiyo doa lolote lenye mwelekeo wa udini au ukabila ni lazima litakuzwa sana hasa ukizingatia uongozi wa wao tokea chama kilipoanzishwa, kutawaliwa na watu wa Kilimanjaro ambao wanaonekana kuendekeza ukabila. Hili pia ni tatizo kwa CUF, UDP n.k. Kwa hiyo kama CDM wanataka kuaminika, hawana budi kufanya kazi ya ziada kuwa tofauti na CCM badala ya kufuata baadhi ya mapungufu ya CCM kwani wenzao wanaweza kusamehewa kirahisi kwenye suala la ukabila na udini kuliko wao.
serikali yenyewe kuna mambo inafanya kwa niaba ya wananchi japo tumewaweka wenyewe pale magogoni ndio maana ya kuwa na baraa la mawaziri na kamwe hatujawaambia kila cha kwenye baraza la mawaziri vianikwe kwenye mbao tusome la hasha kuna mambo tunaelezwa lakini kuna mambo ambayo seikali inafanya kwa niaba yetu ,vivyo nitatokea kwa vyama vya siasa CC wanatuwakilisha na kuna mambo yakuanikwa kwenye mbao na kuna ambayo hayahitaji kuwekwa kwenye mbao kwa hiyo usijifanye wewe ni kipofu huoni kiziwi kwa maana huelewiMfano wako ni butu kwani CHADEMA sio mke/mume na uanachama wa Zitto au mtu mwingine yeyote sio sawa na ndoa ya watu wawili.
CHADEMA ni mali ya watanzania wote walio wanachama na wasio wanachama. Kama kuna maamuzi yanayofikiwa hasa yale yanayogusa uhai wa chama, ni lazima wananchi au at mimimum, wanachama wote wataarifiwe. Hiyo ndio demokrasia. Kujaribu kujifanya kuwa yanayofanyika ni siri, ni njia tu ya kujaribu kuficha madhambi na kuminya demokrasia ya kweli kushamiri chamani.
Too long thread to read, intention seems to defend Zitto & his Co.'s actions which is absolute rubbish.
Unapigania kuwapo kwa 'siri' lakini hutaki ziitwe jina lake halisi yaani 'siri'. Sijui unaogopa nini au unafikiri wote ni wajinga wasioelewa u-pupu unaoandika.
CHADEMA sio timu ya mpira maana timu ina wamiliki ambao sio lazima kuwajibika kwa washabiki. Chama chochote cha siasa ni cha watu wote, wanachama, mashabiki na wasio mashabiki. Sijui ni makosa gani hayo unayoyajua aliyofanya Zitto ambayo eti ni ya siri eti kwa kisingizio cha kumnusuru Zitto au CHADEMA yakiwekwa wazi. Mifano yako ni ya kitoto na ni vema ukaacha kutetea ujinga kama huna hoja isiyo na ushahidi.
Watanzania tunataka demokrasia, uwazi na kufuatwa kwa sheria, kitu ambacho uongozi wa Mbowe unaelekea haukiamini tena. Kama akina Mbowe wanataka kufanya yale yale wanayofanya CCM ya Kikwete, basi wakahamie huko na kuacha demokrasia ya kweli ishamiri ndani ya CHADEMA.
Siyo kauli safi kwa binadamu mwenzako. Huwezi jua, unaweza tangulia wewe. Kila kitu kinawezekana chini ya mbingu hii!ah...nimekuja mbio nilifikiri kafa....