Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

unatustua mioyo bure kwa lugha zako za kitoto utamlilia vp mtu mzima kama yule tena akiwa hai?
 
Anayo siri nzito sana kifuani mwake.

1. Akiwa masomoni ujerumani, ndio alianzisha urafiki na chama cha CDU na chadema ambacho kiliipa chadema ufadhili wa mabilioni ya fedha kuanzisha media zake yaani tv, radio na magazeti. Zitto aliandika very scholary write up, ikawavutia CDU wakatoa mapesa kwa chadema, Matokeo yake fedha hizo mbowe alizitumia kuanzisha free media kama kampuni binafsi ambayo ndio mchapaji wa gazeti la tanzania daima. Zitto alipohoji hali hiyo akaambiwa unatafuta matatizo. Na ndio chanzo kikuu cha ugomvi wake ma mbowe na ndio kilichomsukuma kugombea uenyekiti mwaka 2009.

2. Sabodo kuifadhili chadema ni efforts za write up za zitto.

3. Kustawi kwa chadema kanda ya ziwa ni ushawishi na ukubalikaji wa zitto maeneo hayo.

sasa dogo amenyamaza, mnamuona mjinga. Ole wenu siku akifunguka..
 
kwani cdu wako kuzimu au duniani hapa kwann hakuwaambia kwani baada ya zito kubananishwa cdu wametoa tamko kumtetea zito ni msaliti nukta
 
lol ndivyo anavyowadanganya hivyo?? Pesa ya mjeruami haitoki hovyo! muulize alipewa na nani na ni Euro ngapi?? lol eti CDU unakijua hicho chama kweli?
 
CDM Pamoja na fadhila zote walizotendewa na zitto wanamfanyia waliomfanyia ngoja tuone mwisho wake.
 
fadhira gani?
Kule kwao kigoma chadema ina madiwani watatu tu na mbunge mmoja ambaye ni yeye ZZK.
Kuna nini cha maana kafanya?
 
Wabunge wote kanda ya ziwa ni effort zake na ushawishi wake including madiwani na wanachama
 
Unadhani urafiki wa CDM na CDU ulianza pale tu Zitto alipokwenda German, Zitto alipelekwa na CDM kwa ufadhili wa CDU jiulize ilikuwaje, hafu unamwona Zitto kama mtukufu mbona anamadhambi yake yanajulikana! Ngoja tumsubirie ajibu mapigo ya mapesa ya Uswiss akishindwa ndo kajichimbia kaburi hakuna atakaye msikiliza tena

Anayo siri nzito sana kifuani mwake.

1. Akiwa masomoni ujerumani, ndio alianzisha urafiki na chama cha CDU na chadema ambacho kiliipa chadema ufadhili wa mabilioni ya fedha kuanzisha media zake yaani tv, radio na magazeti. Zitto aliandika very scholary write up, ikawavutia CDU wakatoa mapesa kwa chadema, Matokeo yake fedha hizo mbowe alizitumia kuanzisha free media kama kampuni binafsi ambayo ndio mchapaji wa gazeti la tanzania daima. Zitto alipohoji hali hiyo akaambiwa unatafuta matatizo. Na ndio chanzo kikuu cha ugomvi wake ma mbowe na ndio kilichomsukuma kugombea uenyekiti mwaka 2009.

2. Sabodo kuifadhili chadema ni efforts za write up za zitto.

3. Kustawi kwa chadema kanda ya ziwa ni ushawishi na ukubalikaji wa zitto maeneo hayo.

sasa dogo amenyamaza, mnamuona mjinga. Ole wenu siku akifunguka..
 
Anayo siri nzito sana kifuani mwake.

1. Akiwa masomoni ujerumani, ndio alianzisha urafiki na chama cha CDU na chadema ambacho kiliipa chadema ufadhili wa mabilioni ya fedha kuanzisha media zake yaani tv, radio na magazeti. Zitto aliandika very scholary write up, ikawavutia CDU wakatoa mapesa kwa chadema, Matokeo yake fedha hizo mbowe alizitumia kuanzisha free media kama kampuni binafsi ambayo ndio mchapaji wa gazeti la tanzania daima. Zitto alipohoji hali hiyo akaambiwa unatafuta matatizo. Na ndio chanzo kikuu cha ugomvi wake ma mbowe na ndio kilichomsukuma kugombea uenyekiti mwaka 2009.

2. Sabodo kuifadhili chadema ni efforts za write up za zitto.

3. Kustawi kwa chadema kanda ya ziwa ni ushawishi na ukubalikaji wa zitto maeneo hayo.

sasa dogo amenyamaza, mnamuona mjinga. Ole wenu siku akifunguka..

Weka picha......
 
Acha kupoteza mda wako kwa unoko tu,kwai hao wote unao wasema wanajua kinachoendelea cdm na si mpaka zitto aseme hao cdu walishakuwa marafiki na cdm hata kabla ya zkk kuijua hiyo ujerumani........acha upotoshaji wewe ni mfa maji tu
 
Anayo siri nzito sana kifuani mwake.

1. Akiwa masomoni ujerumani, ndio alianzisha urafiki na chama cha CDU na chadema ambacho kiliipa chadema ufadhili wa mabilioni ya fedha kuanzisha media zake yaani tv, radio na magazeti. Zitto aliandika very scholary write up, ikawavutia CDU wakatoa mapesa kwa chadema, Matokeo yake fedha hizo mbowe alizitumia kuanzisha free media kama kampuni binafsi ambayo ndio mchapaji wa gazeti la tanzania daima. Zitto alipohoji hali hiyo akaambiwa unatafuta matatizo. Na ndio chanzo kikuu cha ugomvi wake ma mbowe na ndio kilichomsukuma kugombea uenyekiti mwaka 2009.

2. Sabodo kuifadhili chadema ni efforts za write up za zitto.

3. Kustawi kwa chadema kanda ya ziwa ni ushawishi na ukubalikaji wa zitto maeneo hayo.

sasa dogo amenyamaza, mnamuona mjinga. Ole wenu siku akifunguka..

ni watu wenye ukungu wa ubongo wanaweza kuwaza sawa na weweee .
narudia zitto anatetewa na mapunguani wa akili
 
Back
Top Bottom