nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,448
- 2,305
-hakika zzito ni mithili ya mtoto aliye mwuliza baba yake atakufa lini ili yeye apate kurithi mali za babaye.
-na nikweli hili lilikuwa gugu lililomea kama mdhabibu kumbe ni gugu maji,
hii dhambi ya ubinafsi na umimi itamtafuna hadi kifo!
Kuhusu taarifa mh spika..mh spika naomba muongozo kuna mtu kaniita tumbili
Huyo aliekuita tumbili unaruhusiwa kumrudishia nawewe, kanuni sio msahafu.....
Hapa hakuna cha mwongozo wala taarifa tena kaa chini zima mic mmezoa kwa bi kiroboto nimekuja kivingine mimi. Akikuita Tumbili muite Mwizi akirusha ngumi jibu kwa ngumi.
Kuhusu taarifa mh spika..mh spika naomba muongozo kuna mtu kaniita tumbili
umejitetea mapema ukiona uzi wenye zitto kuna tabia ya kudelete au kuonganisha which is not fair
Hili ndilo siku zote mimi nimekuwa nikisubiri mtu yeyote atokee na kunihakikshia kwamba ZZK kweli anatumiwa na CCM na ushahidi huu hapa. hakuna ushahidi wala sijawahi kuuona ila nyaraka za kuchapishwa ambazo anyone can do that na kuweka mihuri bandia, maana nimeshambiwa hata Mbowe anatumiwa na CCM na kuonyeshwa nyaraka za kuchonga, sasa niamini lipi?waraka unaoutumia hauwezi kua authority ya kujengea hoja kwasababu haujathibitishwa na upande wowote kuwa kweli. Kuna kila dalili kwamba ni "hekaya" batili tu.
Hebu jaribu kujenga hoja yako kwakuonyesha evidence yoyote ya CCM kumtumia zitto.
Hakika lilikuwa gugu hatari tunashukuru mwenyezi mungu ameweza kutufunulia mapema kabisa japo tulichelewa kidogo.huyu jamaa hafai ona hata sura yake imejaa machozi ya watanzania wanyonge masikini wanaonyonywa na jopo la mafisadi.
haliwezi kamwe kumea katika maji maana sisi wa kulikata tupo tena tumejiandaa ipasavyo kulidhibiti,ni suala la muda tu.
sasa hapo ndipo shida ilipo, na ndipo haki ya maamuzi ya CC inapotokea,.
Halafu by the way, Kuna kitu niliki notice kwenye thread moja wapo ya zitto akijitetea akisema anazushiwa mambo ya kutoa rushwa kwenye uchaguzi ambao yeye alikua anamuunga mkono kafilila ambaye kwa maneno ya zitto mwenywe anasema wazee hawakuwa wanataka ashinde, walikua na mtu wao- wenje. Sasa ninachotaka ukione hapa ni hiki, zitto anasema wanamzushia yeye kama vile ambavyo yeye zitto na wenzake walivyo TUMIWA kumzushia Chacha Wangwe wakati wa uhai wake, Anasema, anamshukuru Mungu alimuomba radhi Marehemu Chacha kabla na baada ya kifo chake siku ya postmortem.
Hii inaniambia kwamba, zitto anafahamu wanacho mfanyia., sasa sitaki kwenda huko sana kwa sababu hayo nayo sina hakika nayo, ila ninachofahamu nikwamba kwa hili la waraka wa ushindi zitto amekosea na CHADEMA kumuwajibisha ni sahihi kabisa as a matter of principle!
Wewe tatizo lako ni mvivu wa kufikili hebu ni nikukumbushe hii ukiacha mgombea urais ni mbunge yupi aliyezunguka majimbo mengi zaidi kuwapigia kampeni wabunge wenzake zaidi ya zitto n
Wewe tatizo lako ni mvivu wa kufikili hebu ni nikukumbushe hii ukiacha mgombea urais ni mbunge yupi aliyezunguka majimbo mengi zaidi kuwapigia kampeni wabunge wenzake zaidi ya zitto n
Zitto anaishi kimjini mjini.Hata mahali anapoishi mlimani kotazi za udsm ni kwa demu wake ambaye ni mtumishi wa chuoView attachment 172928
Zitto Kabwe kwa upembuzi yakinifu anaonekana ni mtu asiyejiamini kabisa, anaonekana kutumia watu wengine kudandia migongoni mwao ili kufikia malengo. Hayuko tayari kutoka kifua mbele katika kufanya anayokusudia ila kuwasagizia wenzake ili mambo yakiwa magumu aingie mitini kiulaini.
Wengi waliofukuzwa Chadema hata kabla ya yeye kufukuzwa kama akina Shonza na wenzake ilielezwa wazi kuwa walisukumizwa kufanywa hayo na Zitto Kabwe lakini yeye hakuwa mwazi na akwa anajifichaficha kutoonekana anahusika huku akiwaingiza kwenye mfereji wa maji taka yaliyowasomba na sasa wamebaki taka katika ulingo wa siasa.
Akina Mwigamba na wenzake hata wanaogopa kumtaja wazi Zitto Kabwe na wamebaki wamebeba gunia la misumari vichwani mwao huku yeye akiendelea kuwa kivuli tu ndani ya chama chao kwa visingizio kadhaa, na wakati ukifika mwakani atajitokeza kugombea Urais kupitia chama hicho walichoanzisha akina Mwigamba.
Chadema walipojizatiti hata na kupigwa mabomu na polisi hata siku moja Zitto hakuhudhuria mikutano hiyo akawa anakwepakwepa. Siasa huwezi kujenga mafanikio ya mtandao kiujanjaujanja hatima ni kuporomoka na kupigika vibaya. Suala la kuishi na kufanya mambo kiujanjaujanja Zitto alitamka wazi ilipotokea suala la Posho bungeni alipomwambia Speaker Makinda kwamba atatumia ujanja wa kishule kwa kuchangia hoja kila siku kuonyesha mahudhurio badala ya kusaidi kitabu cha mahudhurio ya wabunge.
Mtu aina hiyo ataongozaje nchi anayokazania kugombea hadhi ya juu ya Urais wakati hajitumia na huku akiwa na tabia ya uwazi ya kuendesha mambo kiujanjaujanja, je nchi huendeshwa kwa taratibu za sheria au kiujanjaujanja?
Haya ndiyo maisha ya Zitto Kabwe katika siasa kwa mwendo wa ujanjaujanja unaoonyesha kutojiamini ila kutumia migongo ya wengine kufikia malengo.