Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

-hakika zzito ni mithili ya mtoto aliye mwuliza baba yake atakufa lini ili yeye apate kurithi mali za babaye.
-na nikweli hili lilikuwa gugu lililomea kama mdhabibu kumbe ni gugu maji,
hii dhambi ya ubinafsi na umimi itamtafuna hadi kifo!

Hakika chadema haina mwenyewe na mwenyewe ni chadema.
 
Kuhusu taarifa mh spika..mh spika naomba muongozo kuna mtu kaniita tumbili

Hapa hakuna cha mwongozo wala taarifa tena kaa chini zima mic mmezoa kwa bi kiroboto nimekuja kivingine mimi. Akikuita Tumbili muite Mwizi akirusha ngumi jibu kwa ngumi.
 
We jidanganye tu na intelligensia yako ambayo iko too low
 
Hapa hakuna cha mwongozo wala taarifa tena kaa chini zima mic mmezoa kwa bi kiroboto nimekuja kivingine mimi. Akikuita Tumbili muite Mwizi akirusha ngumi jibu kwa ngumi.

Asante mh spika nimemuita mwizi anataka kunipiga mitama naomba ulinzi
 
waraka unaoutumia hauwezi kua authority ya kujengea hoja kwasababu haujathibitishwa na upande wowote kuwa kweli. Kuna kila dalili kwamba ni "hekaya" batili tu.
Hebu jaribu kujenga hoja yako kwakuonyesha evidence yoyote ya CCM kumtumia zitto.
Hili ndilo siku zote mimi nimekuwa nikisubiri mtu yeyote atokee na kunihakikshia kwamba ZZK kweli anatumiwa na CCM na ushahidi huu hapa. hakuna ushahidi wala sijawahi kuuona ila nyaraka za kuchapishwa ambazo anyone can do that na kuweka mihuri bandia, maana nimeshambiwa hata Mbowe anatumiwa na CCM na kuonyeshwa nyaraka za kuchonga, sasa niamini lipi?

Nimefurahi sana ulipomtumia Mndela maanake umenikumbusha kuwa Mandela alitofautiana sana wala sii kidogo na uongozi wote wa juu wa ANC alipotoka jela, wakamshangaa na wengine wakafikiria pengine yupo upande wa makaburu kwa kutaka suluhu na inasemekana makaburu walimuahidi Urais, hadi leo hakuna aliyewahi kutoa ushahidi amaku prove hili, lakini nani kati yetu leo hii anaweza kusimama na kusema Mandela alitumiwa na Mababuru au kupinga kwamba sio hero wa watu na dunia nzima!.

Kwa kila siku ambayo Viongozi wa Chadema wanaendelea kumpakaza ZZK ndivyo wanavyomuongezea sifa zaidi maana hawatoki kinywani inadhihirisha kuwa ZZK ni tishio lao - Poweful to be reckon with!
Na sidhani kama kuna haja tena ya kumzungumzia ZZK, maana CDM walisha fanya maamuzi ambayo yamechukua mkondo mpya. Marubani wake wameamua kurusha ndege hii ya abiria kupitia maeneo ya vita kali za kisiasa kwa sababu ya jeuri ya baadhi ya watu wachache!
 
Hakika lilikuwa gugu hatari tunashukuru mwenyezi mungu ameweza kutufunulia mapema kabisa japo tulichelewa kidogo.huyu jamaa hafai ona hata sura yake imejaa machozi ya watanzania wanyonge masikini wanaonyonywa na jopo la mafisadi.

Hata hivyo mlichelewa sana kuondoa hicho kirusi kilikuwa kimetumwa kufyonza file lote la chadema pongezi kwa kamati ya ulinzi na usalama
 
haliwezi kamwe kumea katika maji maana sisi wa kulikata tupo tena tumejiandaa ipasavyo kulidhibiti,ni suala la muda tu.

Kule kwetu tuna lugha yetu tunaita (Olumbugu) usipolima vizuri na kuchoma moto yanaota tena.yani ni kama kirusi ardhini.
 
sasa hapo ndipo shida ilipo, na ndipo haki ya maamuzi ya CC inapotokea,.

Halafu by the way, Kuna kitu niliki notice kwenye thread moja wapo ya zitto akijitetea akisema anazushiwa mambo ya kutoa rushwa kwenye uchaguzi ambao yeye alikua anamuunga mkono kafilila ambaye kwa maneno ya zitto mwenywe anasema wazee hawakuwa wanataka ashinde, walikua na mtu wao- wenje. Sasa ninachotaka ukione hapa ni hiki, zitto anasema wanamzushia yeye kama vile ambavyo yeye zitto na wenzake walivyo TUMIWA kumzushia Chacha Wangwe wakati wa uhai wake, Anasema, anamshukuru Mungu alimuomba radhi Marehemu Chacha kabla na baada ya kifo chake siku ya postmortem.

Hii inaniambia kwamba, zitto anafahamu wanacho mfanyia., sasa sitaki kwenda huko sana kwa sababu hayo nayo sina hakika nayo, ila ninachofahamu nikwamba kwa hili la waraka wa ushindi zitto amekosea na CHADEMA kumuwajibisha ni sahihi kabisa as a matter of principle!

mkuu unajua kuwa zitto alihukumiwa kwa kesi nyingine na aliita press comference na kuongelea shutuma nyinge kwawaandishi ili kuweza kupata huruma za wananchi, Character X mtu kama huyu siwezi amini kauli yake hata siku moja, kuna tuhuma nyingi sana amekuwa akitoa kauli zenye mkanganyiko how can i trust him kwa kauli zake
 
Last edited by a moderator:
Mbunge-wa-Kigoma-Kaskazini-Kabwe-Zitto.jpg
View attachment 172928
ZittoHCH(2).jpg

Zitto Kabwe kwa upembuzi yakinifu anaonekana ni mtu asiyejiamini kabisa, anaonekana kutumia watu wengine kudandia migongoni mwao ili kufikia malengo. Hayuko tayari kutoka kifua mbele katika kufanya anayokusudia ila kuwasagizia wenzake ili mambo yakiwa magumu aingie mitini kiulaini.

Wengi waliofukuzwa Chadema hata kabla ya yeye kufukuzwa kama akina Shonza na wenzake ilielezwa wazi kuwa walisukumizwa kufanywa hayo na Zitto Kabwe lakini yeye hakuwa mwazi na akwa anajifichaficha kutoonekana anahusika huku akiwaingiza kwenye mfereji wa maji taka yaliyowasomba na sasa wamebaki taka katika ulingo wa siasa.

Akina Mwigamba na wenzake hata wanaogopa kumtaja wazi Zitto Kabwe na wamebaki wamebeba gunia la misumari vichwani mwao huku yeye akiendelea kuwa kivuli tu ndani ya chama chao kwa visingizio kadhaa, na wakati ukifika mwakani atajitokeza kugombea Urais kupitia chama hicho walichoanzisha akina Mwigamba.

Chadema walipojizatiti hata na kupigwa mabomu na polisi hata siku moja Zitto hakuhudhuria mikutano hiyo akawa anakwepakwepa. Siasa huwezi kujenga mafanikio ya mtandao kiujanjaujanja hatima ni kuporomoka na kupigika vibaya. Suala la kuishi na kufanya mambo kiujanjaujanja Zitto alitamka wazi ilipotokea suala la Posho bungeni alipomwambia Speaker Makinda kwamba atatumia ujanja wa kishule kwa kuchangia hoja kila siku kuonyesha mahudhurio badala ya kusaidi kitabu cha mahudhurio ya wabunge.

Mtu aina hiyo ataongozaje nchi anayokazania kugombea hadhi ya juu ya Urais wakati hajitumia na huku akiwa na tabia ya uwazi ya kuendesha mambo kiujanjaujanja, je nchi huendeshwa kwa taratibu za sheria au kiujanjaujanja?

Haya ndiyo maisha ya Zitto Kabwe katika siasa kwa mwendo wa ujanjaujanja unaoonyesha kutojiamini ila kutumia migongo ya wengine kufikia malengo.
 
Wewe tatizo lako ni mvivu wa kufikili hebu ni nikukumbushe hii ukiacha mgombea urais ni mbunge yupi aliyezunguka majimbo mengi zaidi kuwapigia kampeni wabunge wenzake zaidi ya zitto n
 
Proxy politics zina madhara yake. Kikubwa na kibaya kukubali kutumika kama sehemu ya kuharibu na kuvuruga upinzani, kitu kingine ni ego inayosukumwa na dhamira ya mtu kutoka katika moyo wake. Atajifanya kwa mdomo, maneno na hata maandishi na maandiko kueleza nia yake na ujumbe wake huku akificha ficha hisia zake lakini matendo yake yanajidhirisha wazi juu ya hila zilizojaa chuki, propaganda za udini na ukabila kwa kigezo cha uanasiasa uzalendo. Wapo wengi ambao hawajui hatima yao baada ya 2015 na wanajijua wazi kwamba uwepo wao kwenye ulingo wa siasa umechangiwa moja kwa moja ama isiwe moja kwa moja na mfumo uliopo madarakani wa Bwana Jakaya Kikwete (simwiti Dokta-kwa sababu hajawahi kuwa zaidi ya kupewa zawadi kama mkate wa boflo).

Zitto ni sehemu ya mfumo huo ambao ulikuwa unamtia kiburi na jeuri pengine na mizimu na uchawi wa huko kwao vinamfanya pia ajiamini. Mungu amwongoze huyu jamaa aende katika njia njema, vinginevyo hili ndilo anguko lake kisiasa atakuwa sehemu tu itakayotumika na mfumo kandamizi wa chama tawala kuuvuruga upinzani kama ilivyo kwa akina Cheyo, Mtikila, Mbatia, Lipumba na Mrema.
 
Wewe tatizo lako ni mvivu wa kufikili hebu ni nikukumbushe hii ukiacha mgombea urais ni mbunge yupi aliyezunguka majimbo mengi zaidi kuwapigia kampeni wabunge wenzake zaidi ya zitto n

Jadili hoja, Zitto ni mwoga na hana ujasiri. Anapojitutumua ni pale ambapo kuna kinga la sivyo anaingia mitini. Angalia alivyowatumia akina Mwigamba yeye kajificha, akiona mambo magumu anaingia mitini na kuwaacha wenzake wakihangaika kama yaliyowakuta akina Shonza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwigamba alifukuzwa kwa kosa la nani? Najua hecho ni kiwewe chenu cdm kutaka kujua msimo wa zitto tulieni mda ukifika mtavuna mlichopanda
 
Wewe tatizo lako ni mvivu wa kufikili hebu ni nikukumbushe hii ukiacha mgombea urais ni mbunge yupi aliyezunguka majimbo mengi zaidi kuwapigia kampeni wabunge wenzake zaidi ya zitto n

Acha kukaririshwa maneno kama zuzu......
 
Mbunge-wa-Kigoma-Kaskazini-Kabwe-Zitto.jpg
View attachment 172928
ZittoHCH(2).jpg

Zitto Kabwe kwa upembuzi yakinifu anaonekana ni mtu asiyejiamini kabisa, anaonekana kutumia watu wengine kudandia migongoni mwao ili kufikia malengo. Hayuko tayari kutoka kifua mbele katika kufanya anayokusudia ila kuwasagizia wenzake ili mambo yakiwa magumu aingie mitini kiulaini.

Wengi waliofukuzwa Chadema hata kabla ya yeye kufukuzwa kama akina Shonza na wenzake ilielezwa wazi kuwa walisukumizwa kufanywa hayo na Zitto Kabwe lakini yeye hakuwa mwazi na akwa anajifichaficha kutoonekana anahusika huku akiwaingiza kwenye mfereji wa maji taka yaliyowasomba na sasa wamebaki taka katika ulingo wa siasa.

Akina Mwigamba na wenzake hata wanaogopa kumtaja wazi Zitto Kabwe na wamebaki wamebeba gunia la misumari vichwani mwao huku yeye akiendelea kuwa kivuli tu ndani ya chama chao kwa visingizio kadhaa, na wakati ukifika mwakani atajitokeza kugombea Urais kupitia chama hicho walichoanzisha akina Mwigamba.

Chadema walipojizatiti hata na kupigwa mabomu na polisi hata siku moja Zitto hakuhudhuria mikutano hiyo akawa anakwepakwepa. Siasa huwezi kujenga mafanikio ya mtandao kiujanjaujanja hatima ni kuporomoka na kupigika vibaya. Suala la kuishi na kufanya mambo kiujanjaujanja Zitto alitamka wazi ilipotokea suala la Posho bungeni alipomwambia Speaker Makinda kwamba atatumia ujanja wa kishule kwa kuchangia hoja kila siku kuonyesha mahudhurio badala ya kusaidi kitabu cha mahudhurio ya wabunge.

Mtu aina hiyo ataongozaje nchi anayokazania kugombea hadhi ya juu ya Urais wakati hajitumia na huku akiwa na tabia ya uwazi ya kuendesha mambo kiujanjaujanja, je nchi huendeshwa kwa taratibu za sheria au kiujanjaujanja?

Haya ndiyo maisha ya Zitto Kabwe katika siasa kwa mwendo wa ujanjaujanja unaoonyesha kutojiamini ila kutumia migongo ya wengine kufikia malengo.
Zitto anaishi kimjini mjini.Hata mahali anapoishi mlimani kotazi za udsm ni kwa demu wake ambaye ni mtumishi wa chuo
 
Back
Top Bottom